
Nakusalim sana kaka Michuzi na hongera kwa kazi yako nzuri ya kuwakutanisha Watanzania kutoka sehem mbali mbali katika globu yako nzuri.
Pia napenda kuwasalim ndugu zangu Dida na Hafidh pamoja na Watanzania wote kwa ujumla.nawatakieni kila la kheri katika shughuli zenu za kila siku.
Mamy.
Mdau Birmingham.
Woot !!!! I'd hit that !!!
ReplyDeletemh, haya bibie laazizi salamu zimefika, mbona wanionea aibu hivyo mtoto mzuri waangalia pembeni ntizame basi au unaogopa chemistry from fist glance? haya ngoja nikutafute baadae basi
ReplyDeletemremmbo wewe hujambo lakini? hii sio sehemu yakuweka picha utapakwa kishenzi WaTanzania hatuna dogo kuepukana na matusi niheri kutuma salamu bila picha.
ReplyDeleteYou ar cute baby, can you spare me a litle moment please! My ID is Majaliwamahnali@yahoo.com, don't ignore baby!Ciao.
ReplyDeleteMdau,Rome.
Mamy, hivi hafidh yuko wapi? Ebu nicheki hgkahama@yahoo.com. Washington DC
ReplyDeletewe anonym unaesema kuwa huyu bibie kuweka picha hapa atapakwa nakuomba usije ukwa wewe ndo wa kwanza kumpaka manake ..halafu muone na huyu eti katoa email yake atafutwe eti yupo rome ooh mwingine huyu yupo washington dc acheni uzushi nyie hampo hapa manzese uzuri nyie pale kwa ...nitaje?
ReplyDeleteMhh! Kazuri haka kademu! Manka i hope u mzuri kama huyu!! Yarabi...
ReplyDeleteWewe acha kuuza sura, kuna haja gani ya kuweka sura yako humu, au una hamu ya kupakwa kama chibiriti, mwenzako hana mshipa wa aibu, kama na wewe huna huo mshipa sawa, vinginevyo yasije yakakukuta yaliyomkuta manka.
ReplyDeleteBig Sam.
mtoto jicho hilo!mbona watuchanganya na hilo jicho!!??GAH DAMN!!!!
ReplyDeleteJamani mbona hii sura inaonekana kama imefanyiwa modification hasa sehemu ya macho!!??
ReplyDeleteMambo gani tena Michuzi kuruhusu 'mitego' kama hii kwenye blog!
ReplyDeletePS: Silalamiki...lol Hizo lips, dah!
anon mar 26, 3:20 mbona hujamalizia sawasawa hilo onyo? ngojea mi nimpasulie jipu. Humu kadogo ketu, mna wakware wana kiraru cha mda, hivyo wakiona dizaini hiyo si hasha ukasikia wanaanza kukashifu zabibu na wanajua ziko mbali wanaanza kashifa. kwanzaaaaa mbichi zinaukakasi ilhali zimewiva kishenzi.
ReplyDeleteusjiali kadogoo, hicho ndo kilimwengu, kuna watu wa kila aina kuwa ujionee, bytheway asanta kwa salamu za upendo
Anon 3:20:00, Kutuma salam pamoja na picha bila kujali utani na matusi ni moja ya kuonyesha kujiamini....
ReplyDeleteBig up dada kwa kuonyesha self confidence.
wewe Anonymous hapo juu, mtoto kama ni mzuri na ana confidence, hakuna mtu hata mmoja atakayemtukana. huyu mtoto ni mzuri, na ana confidence ndiyo maana hajaogopa kutuma picha yake. humuoni chiribiti mpaka amekuwa super star wa bongo?
ReplyDeleteMamy, habari za masiku! naomba tuwasiliane. rdor7819@hotmail.com Mdau, UK.
ReplyDeletemrembo uko bomba kinoma!!haswah hayo macho!!haya fanya basi tuwasiliane!!ni mimi rafiki mwema!!ka email kangu ako hapo!!macnight78@hotmail.com
ReplyDeleteIs she a girl from Lionel Richie song 'Hello'?
ReplyDeleteMAMY ASALAM ALEYKUM.ASANTE KWA SALAM ZAKO NA UZURI WAKO.MIE MJUKUU WA ALHAJI HAJI TUMBO PALE RAHA LEO NATAKA KUKUPOSA. NITAMTUNA NASSORO KWA WAZAZI WAKO HUKO BIRMINGHAM WIKIENDI HII INSHALLAH KUKULETEA PICHA ZANGU.
ReplyDeletePUA
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteDada yangu hao watu wote waliotoa email wako phishing,hopefuly unaelewa hilo.Kaa nao mbali sana,ls kama huelewi muulize Michusi maana kashakumbana na hayo mambo.
ReplyDeleteka mkorogo?! no way...huyu demu ni bomba ingawa sijaona full body + tabia. hakyanani hata akitaka kikwembe kila wiki ntamnunulia
ReplyDeleteMamy hivi hakuna matata hapo b'ham bado iko kwa operation? andy_bwai@yahoo.com
ReplyDeleteLondon
SALAMU TUMEZIPATA DADA ASENTI KWA SALAMU HENO HENO HIYO PUA NI YAKU AU UMEBANDIKA?OK POA HIVI WEWE NI DADA YAKE MANKA MUSHI ? NISALIMIE MANKA MWAMBIE BADO TUNAMTAFUTIA NUMBER TISA NI NGUMU KUIPATA HIYO LKN KWA YEYE TUTAIPATA TU ASICHOKE
ReplyDeleteMWENZENU NIMECHEKA,YAANI KUITWA MWANAUME INA MAANA NI UGONJWA WA KUSHINDWA KUFIKIRI.SAMAHANI TO ALL THE GOOD AND DECENT MEN OUT THERE, BUT THE MAJORITY ARE JUST AN EMBARASSMENT.MKIANGALIA HIYO PICHA,HAMUONI KAMA HUYO NI MTOTO MDOGO ALIE WEKA PICHA,OOH MACHO,OOH PUA,OOH EMAIL,OOH LIPS.YOTE YA NINI WAKOSA HAYA NYIE.ILA ALIE NIKATA MBAVU HUYO ALIYEJIFANYA KUULIZA HAFIDH YUKO WAPI?NA PEMBENI AKAACHA NA EMAIL
ReplyDeletemichuzi sifa ya mwanamke lazima uwe na macho mazuri, mwanamke macho bibi.
ReplyDeleteWell assault with a deadly weapon wote hao waliotoa emails zao.Mikanda ya jeshi
ReplyDeleteThursday, March 27, 2008 7:52:00 AM EAT
ReplyDeleteUlaya america hakuna hayo wewe tu na huko uliko hata moyo ukisimama unawekewa pump unadunda mpaka utakaporudi normal
pole wee kula vumbi tu
Mtoto? Us'take n'cheke. Nadhani hata mwenyewe ..she's offended.
ReplyDeleteDecent Man.
jamaaaani!! pua langu limefanya nini!! msiwe ma-haters namna hiyo.kuna mtu kasema anataka kuona full figure, well, figa yangu ya chini ni kama aisha madinda!
ReplyDeleteAno.March 27, 2008 7:52:00 AM EAT
ReplyDeletekama hauna hata email ya kuplay online si useme tu ushamba bwana kama uwezi kuflick kaa kimya.
Ano March 27, 2008 7:52:00 AM EAT
ReplyDeleteAcha wivu kama unataka nawe weka ya photo u will get some big up and thumb up only if u don look like ya grandy
Asanteni sana wote mlioniachia email zenu, sikupata muda wa kuwaandikia mnaweza kunitumia email katika hii address mamy_jam98@yahoo.co.uk
ReplyDeleteThanks kwa kuniadmaya
wenu MAMY
do umependeza niambie uko wapi nikufuwate uwe wangu acha viwasiliano vyako basi katika e mail hii ya ngarakg@yahoo.com au tembelea waswahili.blogsport.com kwamaelezo zaidi
ReplyDelete