HONGERA MANI YUU KWA USHINDI WA KUBEBWA...
HABARI TOKA ABA, NIGERIA, ZINASEMA SIMBA KESHAFUNGWA 2-0 NA ENYIMBA YA HUKO NA HAFTAIMU BADO.
MENEJA WA SIMBA INNOCENT NJOVU ANALALAMIKA KWAMBA WAAMUZI WANAWAUMA ILE MBAYA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. ushindi wa haki kabisaaaa asiye kubali kushinda sio mshindani

    ReplyDelete
  2. Shetani mwekundu kaingia katika bwawa la maini, kajilia maini tani yake. sasa hapo tatizo liko wapi

    ReplyDelete
  3. Mzee mzima ulitabiri mwenyewe kuharibika kwa bwawa la maini, lakini usikonde, ndio mambo hayo hakuna ushindi wa kubebwa goli tatu zilikuwa tamu kwanini usiseme bwana. Lakini hawa simba mpaka mwisho na kulalamika kwao watabamizwa tano bila huruma, wanabaki kulialia tu

    ReplyDelete
  4. Poleni sana watani wetu wa jadi(Bongo)Simba kwa kuruhusu mbili mpaka half time,ila mlichonga sana baadaya Yanga kutoa draw.
    Na Braza Michu kubali kushindwa na usianze visingizio vya kubebwa,mbona Bwawa la Maini mliwatoa Inter Milan kwny UEFA na mechi zote mbili walikuwa pungufu mtu mmoja kwhy na nyie mlibebewa!!??Au ndio Mkuki kwa Nguruwe kwa Binaadam mchungu?

    ReplyDelete
  5. LOL NAPIGA DUA HAPA CHELSEE NA ARSENAL WAFUNGWE IF POSSIBLE!

    ReplyDelete
  6. TUWEKEE PICHA YA NANI? WHO? AU NKUTUMIE?

    ReplyDelete
  7. manchester united, kabebwa MSHIKA KIBENDERA SEKUNDE 30 ndio ananyanyua TENA AKIPPENDA. REFA NDIO KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAA MAN U TIMU YA KUBEBWA UWENGEREZA, arsenal tumefungwa tutarudi tu.

    ReplyDelete
  8. watu wamekula maini mara tatu na hakuna cha kusema mkafundishe hadabu wachezaji wenu na sio kiburi hatuko argentina kwa maharamia.Poleni bwawa la mikojo ya man utd

    ReplyDelete
  9. HAHAHAH

    Kaka michuzi William (Man utd for life) hapa pole sana kwa kichapo ambacho nilikitabiri lakini mesahau mwaka jana Scholes alipewa RED card Anfield lakini bado tuka wachapa kimoja au mnajidai mesahau yani nyie kwetu ni watoto kabisa haya kuhuhu torres na ronaldo nadhani tumepata jibu nani zaidi haina haja ya kuuliza tena,halikadhalika mjue hamjatufunga kwenye league tokea 2003 liverpool na arsenal bado wachanga , haya kilala kher kwa nafasi ya nne hahahahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...