MPIRA UMEKWISHA SASA HIVI HUKO ABA, NIGERIA, NA ENYIMBA IMEIPIGA SIMBA 4-0 KATIKA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRIKA
Home
Unlabelled
SIMBA YALALA 0-4
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bahati mbaya!!!naam,si kitu kwani marudiano bado,si mnakumbuka 1979 baada ya kuchapwa 4-0 na Mufulira Wanderers hapo Dar,Simba walilipiza
ReplyDeletekisasi kwa kunguruma 5-0 huko Mufulira...na hayo yote mbele ya Mzee KK...Enyimba karibuni Dar ili muone chemtemakuni na mikwaruzo ya mnyama!!!
Whaoooooo!! Sorry Msimbazi Bways. Tutalipiza wakija nyumbani.
ReplyDeleteBlessings
We Michu muongo. Haiwezekani tukafungwa namna hiyo kama Yanga. Hebu tafuta habari za kweli. Vipi kaseja alicheza? Lete habari nzuri bwana.
ReplyDeleteTatizo la mpira wa mfukoni huo. Msipo nunua wachezaji mambo hayaendi vema. Rudini home sababu kibao.
ReplyDeleteSIMBA KWA ENYIMBA JAMANI SASA BASI KWA MAANA HIYO NI KIAMA 4-0 INAMAANA WALIKUWA WANAFANYA NINI KWENYE PITCH HADI KUKANDIKWA 4 BILA HATA LA KUFUTIA MACHOZI.ANYWAY WAJIPANGE TAIFA WATAFUTE 5-0.
ReplyDeleteFriday Mar 21, 2008
ReplyDeleteJS Kabylie 3 - 0 Ashanti Gold
Saturday Mar 22, 2008
Sahel FC 5 - 0 Douanes
Saturday Mar 22, 2008 OCK Khouribga 2 - 0 ES Setif
Saturday Mar 22, 2008
Platinum Stars 2 - 0 US Stade Tamponnaise
Saturday Mar 22, 2008
Mamelodi Sundowns 3 - 0 Curepipe Starlight
Saturday Mar 22, 2008
Sporting Praia 2 - 1 Interclube
Sunday Mar 23, 2008
ASKO Kara 2 - 0 Club Africain
Sunday Mar 23, 2008
Enyimba Aba 4 - 0 Simba
Sunday Mar 23, 2008
ASEC Mimosas 1 - 1 AS Kaloum Star
Sunday Mar 23, 2008
Al Ahly Cairo 18 : 00 Al Tahrir
Sunday Mar 23, 2008
Coton 5 - 0 Gombe United
Sunday Mar 23, 2008
Al Hilal Omdurman 2 - 0 ZESCO United
Sunday Mar 23, 2008
Dynamos 3 - 0 CD Costa do Sol
Sunday Mar 23, 2008
Al Zamalek Cairo 2 - 0 Africa Sports
Sunday Mar 23, 2008
Al-Ittihad 1 - 0 Primeiro de Agosto
Sunday Mar 23, 2008
TP Mazembe Englebert 1 - 1 FC 105 Libreville
Simba inabidi kujipanga kuanzia sasa, ninavyowafahamu matajiri wa Enyimba watakwenda Kenya kuanzia leo (waamuzi wa mechi ya marudiano wanatoka Kenya)na watakuja DSM na waamuzi kwa mechi ya marudiano kwa hali hiyo hata hapa mambo yatakuwa kama Nigeria. Inabidi kazi kubwa ifanyike kwa kushirikiana wa ngazi zote hasa serikali kama Nigeria walivyofanya kwa Enyimba. Bila hivyo simba bye bye.
ReplyDeletewe anon 1:05 pm, usitake watu wapoteze fweza zao bure, usawa wenyewe huu, hata nyanya imepanda bei we wasema tuwahonge marefa!!!we nadhani huwajui simba..hata uhonge hadi FIFA watafungwa tuu, tunamuelewa vizuri huyu jamaa, ni mbabe kwa Ashanti tuu na sometimes Yanga. Ushindi kwa Simba always ni bahati nasibu, muulize Wambura atakueleza.
ReplyDeleteMungu wangu wee!!!! Simba kumbe mdebwedo kiasi hicho?
ReplyDeletePoleni sana, ila kumbukeni ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi, msiogope tena jina la enyimba kazeni buti mtashinda mkiwa nyumbani. Julio anasemaje?
JULIO ATASEMA KUWA SIMBA ILIKUWA BUSY KUJIANDAA KUIFUNGA YANGA NDO MAANA WAMEFUNGWA NA ENYIMBA. JULIO YEYE HUFIKIRIA KUWA MPIRA NI KUIFUNGA YANGA TU. POLE SANA SIMBA, sisi Yanga tunadunda tu.
ReplyDelete