MPIRA UMEKWISHA SASA HIVI HUKO ABA, NIGERIA, NA ENYIMBA IMEIPIGA SIMBA 4-0 KATIKA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRIKA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Bahati mbaya!!!naam,si kitu kwani marudiano bado,si mnakumbuka 1979 baada ya kuchapwa 4-0 na Mufulira Wanderers hapo Dar,Simba walilipiza
    kisasi kwa kunguruma 5-0 huko Mufulira...na hayo yote mbele ya Mzee KK...Enyimba karibuni Dar ili muone chemtemakuni na mikwaruzo ya mnyama!!!

    ReplyDelete
  2. Whaoooooo!! Sorry Msimbazi Bways. Tutalipiza wakija nyumbani.
    Blessings

    ReplyDelete
  3. We Michu muongo. Haiwezekani tukafungwa namna hiyo kama Yanga. Hebu tafuta habari za kweli. Vipi kaseja alicheza? Lete habari nzuri bwana.

    ReplyDelete
  4. Tatizo la mpira wa mfukoni huo. Msipo nunua wachezaji mambo hayaendi vema. Rudini home sababu kibao.

    ReplyDelete
  5. SIMBA KWA ENYIMBA JAMANI SASA BASI KWA MAANA HIYO NI KIAMA 4-0 INAMAANA WALIKUWA WANAFANYA NINI KWENYE PITCH HADI KUKANDIKWA 4 BILA HATA LA KUFUTIA MACHOZI.ANYWAY WAJIPANGE TAIFA WATAFUTE 5-0.

    ReplyDelete
  6. Friday Mar 21, 2008
    JS Kabylie 3 - 0 Ashanti Gold

    Saturday Mar 22, 2008
    Sahel FC 5 - 0 Douanes

    Saturday Mar 22, 2008 OCK Khouribga 2 - 0 ES Setif

    Saturday Mar 22, 2008
    Platinum Stars 2 - 0 US Stade Tamponnaise

    Saturday Mar 22, 2008
    Mamelodi Sundowns 3 - 0 Curepipe Starlight

    Saturday Mar 22, 2008
    Sporting Praia 2 - 1 Interclube

    Sunday Mar 23, 2008
    ASKO Kara 2 - 0 Club Africain

    Sunday Mar 23, 2008
    Enyimba Aba 4 - 0 Simba

    Sunday Mar 23, 2008
    ASEC Mimosas 1 - 1 AS Kaloum Star

    Sunday Mar 23, 2008
    Al Ahly Cairo 18 : 00 Al Tahrir

    Sunday Mar 23, 2008
    Coton 5 - 0 Gombe United

    Sunday Mar 23, 2008
    Al Hilal Omdurman 2 - 0 ZESCO United

    Sunday Mar 23, 2008
    Dynamos 3 - 0 CD Costa do Sol

    Sunday Mar 23, 2008
    Al Zamalek Cairo 2 - 0 Africa Sports

    Sunday Mar 23, 2008
    Al-Ittihad 1 - 0 Primeiro de Agosto

    Sunday Mar 23, 2008
    TP Mazembe Englebert 1 - 1 FC 105 Libreville

    ReplyDelete
  7. Simba inabidi kujipanga kuanzia sasa, ninavyowafahamu matajiri wa Enyimba watakwenda Kenya kuanzia leo (waamuzi wa mechi ya marudiano wanatoka Kenya)na watakuja DSM na waamuzi kwa mechi ya marudiano kwa hali hiyo hata hapa mambo yatakuwa kama Nigeria. Inabidi kazi kubwa ifanyike kwa kushirikiana wa ngazi zote hasa serikali kama Nigeria walivyofanya kwa Enyimba. Bila hivyo simba bye bye.

    ReplyDelete
  8. we anon 1:05 pm, usitake watu wapoteze fweza zao bure, usawa wenyewe huu, hata nyanya imepanda bei we wasema tuwahonge marefa!!!we nadhani huwajui simba..hata uhonge hadi FIFA watafungwa tuu, tunamuelewa vizuri huyu jamaa, ni mbabe kwa Ashanti tuu na sometimes Yanga. Ushindi kwa Simba always ni bahati nasibu, muulize Wambura atakueleza.

    ReplyDelete
  9. Mungu wangu wee!!!! Simba kumbe mdebwedo kiasi hicho?
    Poleni sana, ila kumbukeni ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi, msiogope tena jina la enyimba kazeni buti mtashinda mkiwa nyumbani. Julio anasemaje?

    ReplyDelete
  10. JULIO ATASEMA KUWA SIMBA ILIKUWA BUSY KUJIANDAA KUIFUNGA YANGA NDO MAANA WAMEFUNGWA NA ENYIMBA. JULIO YEYE HUFIKIRIA KUWA MPIRA NI KUIFUNGA YANGA TU. POLE SANA SIMBA, sisi Yanga tunadunda tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...