mdau wa botswana katuletea hii sasa hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hata thabeet wa bongo naona hapa anaokuwa mbilikimo,maana jamaa ni extra super tall,mdosi huyo sio mchezo

    ReplyDelete
  2. mkubwa hao ndo mastaa wetu huku india, ukimwona mtu kama huyo aliyesimama kwenye kiti ni nadra sana anawalinzi kibao ndo anaitwa KING SHAR RUKH KHAN,THE KING,NI ACTOR MKUBWA HAPA INDIA BOLLYWOOD NA YUPO PAMOJA NA SPERSTAA WA CRICKRT ANAITWA SHARMA NDO MASTAA WETU HAO, HUYO SHARMA MREFU USIPIME ANATISHA KWENYE CRICKET.

    ReplyDelete
  3. mheshimiwa anon wa 2, usituaibishe!
    unamuintroduce huyo shahrukh umesahau kama wabongo kwa udeo wa kihindi ndo wenyewe? hata mtoto mdogo anamjua usitufanye washamba labda huyo supa tolu maana cricket tumeacha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...