akifuata nyayo za marehemu bada yake tx moshi william, hassan anaendeleza libeneke kwa sana tu akiwa na bendi ya msondo ngoma ambayo baada ya kuhama klabu ya amana kwa muda kupisha matengenezo hivi sasa baba ya muziki bongo wanatumbuiza kila jumapili klabu ya afri centre maeneo ya ilala kota.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Duh...hapo panaonekana kama disco la walalahoi!!!ni kama kimpumu na kangala ndio zimeshafika vichwani!!!

    ReplyDelete
  2. Chonde chonde transfoma zetu kaka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...