havumi lakini wamo: ali mustafa 'barthez' wa simba ni mmoja wa makipa hodari waliochipukia hivi karibuni, na tayari yeye ni mmoja wa walinda mlango wa taifa staaz. wadadisi wa mambo wemeshamtabilia kwamba endapo atakaza buti atakuwa kipa namba moja bongo muda si mrefu ujao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba tupe matokeo ya mpira.Yanga vs Adema na Simba na Awassa.

    ReplyDelete
  2. TZ kulikuwa na makipa wawili tuu wa sifa...OMAR MAHADHI BIN JABIR na ATHUMANI MAMBOSASA...those were the days!!!

    ReplyDelete
  3. Jamani ee mimi sielewi kwa nini wachezaji wa nyumbani wanapenda kujipachika majina ya watu wengine mfano huyo juu "Barthez" mara "Carnavaro". Au na mashabiki wanafanya hivyo? Mimi naona huu ni ushamba na kuwapa wenzao sifa tu. Fabien Barthez mwenyewe hakujiita "Shilton" au Fabio Carnavaro hakujiita "Koeman" nk. Umaarufu utakuja wenyewe kama wao kina Mambosasa n.k
    Ali nakushauri ujipe sifa na jina lako mwenyewe.

    ReplyDelete
  4. Woow and huyu jamaa ni cute....pia..ati nitampata wapi huyu...naomba info...Dada wa NJ natafuta mume..athletic ni big plus. Nimemkubali huyu kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...