ni miaka miwili toka gwiji la muziki hayati tx moshi william wa msondo ngoma atutoke. shukrani kaka mjengwa kwa kutukumbusha hilo
ni miaka miwili toka gwiji la muziki hayati tx moshi william wa msondo ngoma atutoke. shukrani kaka mjengwa kwa kutukumbusha hilo

mungu amlaze pema pepon , jamaa alikuwa na kipaji kikubwa cha utunzi na uimbaji, basi tu kuzaliwa afrika vingnevyo huyu jamaa angiacha familia yake na raha tele za kimaisha
ReplyDeletetangu atutoke hata baba ya muziki haijatoa tena vibao vya maana kuonyesha kuwa yeye ndiye alikuwa mtaalamu wa utunzi katka bendi hiyo
tunakukumbuka kwa kazi zako mahiri