KAKA MICHUZI
HAWA MASHETANI WEKENDU –HAWATAVUNJA RECORD YETU KAMWE JAPOKUWA WANABEBWA NA MAREFA.
FERGUSON SIKU ZOTE HUWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI ANAWATISHA MAREFA NA NDIO MAANA MAREFA WA PREMIER LEAGUE WANAIBEBA TIMU YAKE. MIMI SIKUONA KOSA KUBWA ALOFANYA MASCHERANO NA KUMFANYA REFA KUMPA KADI NYEKUNDU.
WATU WATASEMA LIVERPOOL KAFUNGWA MATATU LAKINI HAWATAUULIZA NI KWA NINI? MIMI NAONA TUMEFUNGWA KWA AJILI YA KUTOKUWEPO MASCHERANO KATIKATI.
LAKINI NPENDA KUWAHAKIKISHIA WAPENZI WOTE WA LIVERPOOL KUWA KWENYA CHAMPIONS LEAGUE WANAKUWEPO MAREFA WENGINE KABISA NA HAWAMSIKILIZI FERGUSON WALA HAWABABAISHWAGI NA MBINU ZA RONALDO ZA KUJIANGUSHA OVYO.
YOU WILL NEVER WALK ALONE.
MDAU SALIM
YOU WILL NEVER WALK ALONE.
MDAU SALIM
MUSCAT
FanzoneVideo:Relive the Fanzone goal celebrations as Manchester United took on Liverpool. http://link.brightcove.com/services/link/bcpid958992159/bctid1466820693
WENYE WIVU WAJINYONGE BABA!!! KUBEBWA TATU INGEKUWA MMOJA NINGEELEWA TATU SASA MAANA MIMI SIO MPENZI WA MPIRA HIVYO ILA MECHI NIMEANGALIA JANA KUSEMA KWELI MANCHESTER UTD WAMECHEZA VIZURI SANA SIFA ZAO WAPEWE NADHANI NA MIMI SOON NITAKUWA MEMBER WA MAN UTD NO DISSAPOINTMENTS
ReplyDeletemtaendeleza uteja mpaka mtubu,
ReplyDeletemana siku hizi tutatumia toothpick
hatutumii tena rungu kukupiga
mana hamna kitu maneno tu
kwanza angalau mjitahidi mpate angalau goli mkicheza na manu,halafu ndo mfikirie ushindi
upenzi ukizidi unakuwa huoni kinachotokea kabisa huyo refa alikuwa anampa yellow card fernando torres na masechareno akakimbia kuja kama yeye ni team captain na alikwisha pewa yellow so alikuja kuomba second ili atoke na big game haitakiwi jazba na sasa wamesha mjua kuwa ana tempa kila big game mkimuweka atatolewa kama awezi kuji control.Swala ni kwanini alikwenda kubishana na refa ndio nyii watu wa bwawa la malojo na maini mjiulize sio kuona tu man utd wamependelewa ni uzembe wenu na alikuwa hataki kutoka mpaka rafe benite mwenyewe amwambie sasa ni heshima gani hiyo kwa proffesional player??3-0 kubali matokeo huko muscat bila shaka ujajua kilichotokea
ReplyDeletekaka tafuta nyimbo nyengine sio hiyo sasa basi hii imebebwa manutd sasa hizo mechi za nyuma mulizopewa kichapo kosa lilikuwa nini tena wacha kufungwa hata goli la kurudisha hamjawahi.wale sio inter milan, kaeni chonjo yoso wanakuja wasije wakawatowa nishai.mana wanahasira ya kuchapwa na na chelsea
ReplyDeletewewe uliangalia mpira kweli?mlifungwa kwa kuwa kiwango chenu bado..mjipe tu matumaini kwamba u guys ll never walk alone...kadi nyekundu alistahili alaa..kumuogopa furgeson hizo habari za bongo ulaya hakuna kuogopana kwani furgeson ni nani ?si ni kocha tu only that is better than most...
ReplyDeletelong live manchester united!!!!!!
mdau wa Oman kama unakumbuka zile hesabu za subset(form II) basi utanielewa pale ninaposema wewe upo kwenye set wya "mnazi wa liverpool" ila unakosekana katika seti ya "mshabiki anaeujua mpira".....hivi ni mara ngapi Rooney ameshawahi kutolewa kwa red card kwa kosa kama alilofanya Mascherano(unaweza ku count ndugu yangu?), hivi pia umesahau kuwa Paul scholes alitolewa kwa kadi nyekundu kwenye mechi ya kwanza pale anfield na bado mkalala kwa bao 1-0? hiz facts zote unazisahau..isitoshe, unakumbuka last two weeks mmecheza na middlesbrough na huyu huyu mascherano akasababisha mtu apewe kadi nyekundu wakati mchokozi alikuwa yeye? hizi ni facts zote ambazo kama mshabiki wa mpira akizitafakari hawezi kusema kuwa refa alipendelea......nakubali kuwa refa pengine hakutumia busara za kuhakikisha kuwa uhondo wa mpira unaendelea vizuri kwa kutompa kadi ya njano mascherano..narudia tena "Busara za kutoharibu uhondo wa burudani" lakini kwa sheria za mpira, alikuwa ana haki zote za kumtoa nje kwa utovu wa nidhamu....alichokisema mascherano kwa refa..wanakijua wao wawili..na wala sio banitez au babbel! lkn ni dhahiri kuwa jamaa alim confront mwamuzi.....akili mbovu kama alizokuwanazo rooney last two season!! naomba wadau pamoja na unazi wa timu..tuwe pia na ushabiki wa mpira...nipende pia kuwapongeza watani wetu wa jani yanga kwa kuonyesha mwanga katika mashindano yao..sisi wa simba tusikate tamaa..bao tano ni ngumu lakini impossible is nothing..inshallah.....
ReplyDeleteMdau wa Muscat,
ReplyDeleteTatizo ni kuwa mchezaji Mascherano na wachezaji wengine wageni Uingereza hawachukui juhudi za zati kujifunza haraka kiingereza cha kuombea maji kama Drogba.
Hivyo tukio la Ashely Cole (Chelsea) alipolumbana sana na refa wiki iliyopita alilambwa kadi ya njano na washabiki wengi wa mpira hawakupendezwa na nyodo za 'millionea-futiballers' kujiona wapo juu ya sheria na marefa kushauriwa na magwiji wa soka ktk Radio/TV wasilaze damu kuzungumza nao kwa kadi kama wakiendeleza 'gubu'. Mascherano yeye ni muargentina kazi yake kuangalia sateliiti TV za ki-spanish hivyo kupitwa na 'current affairs' za hisia za washabiki wa soka Uingereza kuwa ipo lazima kuwafunza adabu wachezaji 'vichwa maji'na ndilo lilomkuba Mascherano.
Mdau
Stamford Bridge
London W6
KAMA ULIANGALIA MPIRA KWENYE UNGO, BASI UMEANGALIA TIMU ZA KWENU HUKO. FANJA VS WAREVA!
ReplyDeleteMLIKUWA MMESHABANDIKWA BAO KABLA YA MASH(MASHETANI) KUTOLEWA DAKIKA YA 43!
MGEKUWA 4-0 BY HALF TIME AU 3-0 KAMA WALIVYOFANYWA ARSENAL KWENYE FA CUP.
NAFASI MBILI ZA WAZI KWA ROONEY NA RONALDO.PENALTI YA WAZI DHIDI YA JAMMIE CARAGHER ALIPOMKTWATUA ROONEY KWENYE NDANI YA SITA HUKU AKIWA AMEBAKI NA PEPE REINA. UPO HAPOOOOOOO.
FERGIE ANAPOLALAMA JUU YA WAAMUZI HUWA ANA USHAHIDI. WACHEZAJI WENGI HUWA NA DHAMIRA YA KUMVUNJA MGUU RONALDO AU NANI KWANI NI MTO WA MBALI.
MNADI FERNANDO TORRES HAKUTENDEWA HAKI. KAMA UTAFUATILIA KWA MAKINI STYLE YA TORRES, NI DIVER, WHINGER, MOUNER TABIA AMBAZO AKINA DROGBA NA RONALDO WALIKUWA NAZO HAPO AWALI WALIPOKUJA KWENYE PL.
TORRES ANAMTEGEMEA GERRALD. HUYO AKIWEKWA KAPUNI, JAMAA HUANZA KUJIANGUSHA, KURUKIA WENZAKE NA KUANGUKA KWA MAGOTI HATA KAMA HAJAGUSWA! NI KAMA DEMU VILE. MWANGALIENI SANA HUYO JAMAA STYLE YAKE.ANACHEZA ILI BEKI ANAYEMKABA APEWE KADI LAKINI SI WA KUTISHA KAMA TEVEZ AU DROGBA.
Kwahiyo na nyie bwawa la maini mlibebwa na marefa wa mechi zote mbili za UEFA Champions league against Inter Milan maana na wao walicheza mechi zote nbili wakiwa pungufu mchezaji mmoja!!!??Au ndio yale yale waliyosema waswahili kuwa Mkuki kwa nguruwe ila kwa binaadam mchungu eeeeeh
ReplyDelete