mdau deo mushi wa daily news a-taun katuletea hii ya moja ya magari yanayopiga tripu toka a-taun kwenda boda ya namanga kwa waendao kwa watani wetu wa jadi chap chap

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani,customs lazima wazipekue hiyo mizigo...kama kuna mapanga na virungu basi ndio vinyan'ganye...hatutaki umwagaji damu zaidi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...