nipo na wakongwe wa habari bongo, mzee stephen rweikiza (kati) ambaye pamoja na kustaafu anaendeleza libeneke kwa kusaidia chipukizi na sukhdev chhatbar ambaye baada ya kupiga mzigo daily news kwa sana sasa yuko a-taun kwenye kitengo cha habari za mahakama ya kimataifa ya watuhumiwa wa mauaji ya kimbali ya rwanda. hawa na wengine kadhaa nina deni nao kwa kuweza kunisaidia kufika hapa nilipo na bado wananishika mkono kuendelea zaidi. asante suk chat na mzee rweikiza. mbarikiwe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. suk,ame sate football ramtata shaaban robert no ground yad che ke buligo,huu amra bhale reuchu

    ReplyDelete
  2. Ni mauaji ya KIMBARI sio ya KIMBALI kama ulivyo andika.

    ReplyDelete
  3. bro Michu kwa kufagilia bwana!!!
    haya basi hongera zao!

    ReplyDelete
  4. Huyo anony wa 12:10,mshamba au mjinga...kwani hajasikia kiswahili ni lugha ya taifa na kiingereza ni lugha ya kimataifa!!!lugha za kidengu hatuzitaki hapo!!!

    ReplyDelete
  5. Mwanafunzi unang'aa kuliko wakufunzi wako?

    ReplyDelete
  6. Ni ujanja mkubwa kama unajua lugha mbalimbali hasa ya kihindi kama uko uhindini:

    Dogo anasema: "Suk, tulikuwa tunacheza pamoja mpira wa miguu shaaban robert, unakumbuka au umesahau, mimi naishi nje sasa".

    Sasa, sijui kama suk chatini kama atamjua kwa kuwa hajaandika jina lake.

    Michuzi, nipo hapa hapa kama kuna wengine wanaoandika lugha ya Kijapani, Kifaransa au Kireno.

    Aluta Kontinua.

    ReplyDelete
  7. YOU MIGHT BE AN IDIOT:-)

    If you think Barack Obama with little or no experience would be better than Hillary Clinton with 35 years experience.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with no experience can fix an economy on the verge of collapse better than Hillary Clinton. Whose ;-) husband (Bill Clinton) led the greatest economic expansion, and prosperity in American history.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with no experience fighting for universal health care can get it for you better than Hillary Clinton. Who anticipated this current health care crisis back in 1993, and fought a pitched battle against overwhelming odds to get universal health care for all the American people.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with no experience can manage, and get us out of two wars better than Hillary Clinton. Whose ;-) husband (Bill Clinton) went to war only when he was convinced that he absolutely had to. Then completed the mission in record time against a nuclear power. AND DID NOT LOSE THE LIFE OF A SINGLE AMERICAN SOLDIER. NOT ONE!

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with no experience saving the environment is better than Hillary Clinton. Whose ;-) husband (Bill Clinton) left office with the greatest amount of environmental cleanup, and protections in American history.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with little or no education experience is better than Hillary Clinton. Whose ;-) husband (Bill Clinton) made higher education affordable for every American. And created higher job demand and starting salary's than they had ever been before or since.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that Obama with no experience will be better than Hillary Clinton who spent 8 years at the right hand of President Bill Clinton. Who is already on record as one of the greatest Presidents in American history.

    You Might Be An Idiot!

    If you think that you can change the way Washington works with pretty speeches from Obama, rather than with the experience, and political expertise of two master politicians ON YOUR SIDE like Hillary and Bill Clinton

    ReplyDelete
  8. Chattbar namfagilia kwa saana, ni mtu wa watu, hana ubaguzi wa kijinga na anajua nini maana ya kuongoza watu. Alinisaidia sana wakati akiwa bosi wetu (Mhariri Habari) hapa TSN.

    ReplyDelete
  9. Huyu jamaa anony wa 12.40 pm mbona simuelewi?Anacho elezea hakihusiani kabisa na picha hapo juu.Au akili ndiyo zimemzidi mwenzetu na wengine wote kawaona wajinga?Kwanza nikupongeze Michu kwa kazi nzuri na Blog yako bomba!Hii Blog itakuja kuwa tishio nakuambia huko tuendako!Keep it up, Wabongo watakapo kuja tambua umuhimu na conveniency ya Blog kama hii ya kwako na ile ya mshikaji Mjengwa mambo yatakuwa poa kishe***.Huyo jamaa hapo juu anaye jifanya anajua sana siasa kwa kumponda Obama for lack of experience na kumsifia Hillary Clinton namsikitikia sana.Kwa taarifa yake Obama kesha chaguliwa na Democratic Party ashindane na McCain wa Republican kwenye uchaguzi mkuu ujao.Hiyo experience ya Hillary unayo isifia si experience ya mumewe kwani ni yake yeye?Lini Hillary Clinton alishapata kuwa Rais wa Marekani kama siyo mumewe?Kwa taarifa yako,Wamarekani sasa wamesha jifunza na imewagharimu sana.Clinton alikwisha ongoza Marekani akiwa Rais kwa vipindi viwili mfululizo.Kwa miaka minane mfululizo Wamarekani walilazimika kumsikiliza na kufuata uongozi na mawazo ya mtu mmoja Bill Clinton.Kwa bahati nzuri alifanya kazi nzuri na kila mtu aliisifia nchini Marekani.Pia baba yake Rais George Bush wa sasa alikuwa Rais wa Marekani miaka ya karibuni.Baada ya Clinton kaja George Bush aliyekaa madarakani kwa vipindi viwili mfululizo.Kwa hiyo katika vipindi zaidi ya VINNE MFULULIZO Wamarekani wamekuwa wakiongozwa na Mawazo ya Familia Mbili tu kati ya Bongo zote zilizoko Marekani.Kwa wenzetu wanao ijua siasa na wliopitia uzoefu wa kuongozwa na Marais wa aina nyingi jambo kama hilo 'NI ISSUE'Mzee ambayo haiwezi kupuuzwa.Kwa hiyo kama kuna kitu kitakacho mfanya Hillary Clinton asichaguliwe tena Wamarekani WEUPE WENZAKE ni suala hilo la kukataa kuongozwa na MAWAZO YALEYALE MAIKA NENDA MIAKA RUDI.Wenzetu huthamini sana mawazo mapya na hususan yanapokuwa machanga zaidi ya kinda lla kisiasa kama OBAMA.Subiri uone matokeo ya Texas na Ohio halafu utatambua ninachokiongelea.Kuishi Marekani kaka siyo quarantee ya kujua kila kitu mjomba.Sisi tuko Matakoni mwa Dunia huku lakini tunaweza kukupiga bao vilevile ingawa ni Mbongo mwenzetu,kaa ukijua hilo!Na kitakacho mfanya McCain wa Republican naye ashindwe na Obama ni matokeo ya sera za Bush zilizoufanya Uchumi wa Marekani hivi sasa uwe taabani tokana na matumizi makubwa sana ya
    kivita nchini Iraq ambako hapakustahili kuwepo na vita yoyote mbali na vijisababu vinginevyo.Nakupa pole iwapo chaguo lako ni Hillary Clinton.Atashindwa na Obama kwa sababu hizo nilizozitaja.Clinton ni mama jasiri na mpevu wa akili lakini factor hiyo ya mumewe kuwa Rais kwa vipindi viwili mfululizo na Bush naye vipindi viwili mfululizo na Baba yake kipindi kimoja ,basi kwa Wamarekani hiyo ni nongwa tosha wanahitaji mabadiliko.TIME FOR CHANGE IN AMERICA!Na Obama akiwa Rais wa Marekani usitarajie Bara la Afrika litapata mteremko!NEVER!Obama bado atatekeleza sera zitakazo linda maslahi ya Taifa la Wamarekani!Kwa heri Mjomba!MIGHT BE YOU WHO IS AN IDIOT,CHECK IT OUT!

    ReplyDelete
  10. mama clinton kashinda texas na ohio..Huree

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...