bongo tambarare. siku za mvua huwa tunamfunikaga askari wetu asilowe usoni na kwenye begi lake mgongoni. hakika wabongo kwa ubunifu tu hatuwezekani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. nilikuwa sijui hii michu, imetulia sana, lakini kuna chemicals ambazo wanaweza kumpaka huyu jamaa asiathirike na mvua maana, mvua lazima impige tu, ndipo waje wamfunike.

    ReplyDelete
  2. Si anakosa hewa atakufa jamani, mbona hawa jamaa makatili.

    ReplyDelete
  3. Sijawahi kuona mtu akimpelekea msosi wakati wa lunch ama hata kifungua kinywa lakini kwenye mvua ndiyo mnamjali haya huu ni unyanyasaji kabisa.

    ReplyDelete
  4. Hawa jamaa walimfundisha mjerumani vita vya misutuni kiasi cha kumpa homa kali mwingereza aliyekuwa akisaidiwa na kaburu. Kama kawaida ya enzi hizo jenerali mjerumani na wenzie ndio waliopewa sifa nyingi ulaya hata uingereza kwenyewe na kina babu kusahaulika!!

    ReplyDelete
  5. HIVI KWA KWELI NAOMBENI MSAADA KWANINI ANAFUNIKWAAAAAAAAAAAAAAA?

    ReplyDelete
  6. Anafunikwa sababu atamomonyoka.Kwahiyo vibaka mna usalama mvua ikinyesha askari haoni anashuti wapi anakuwa kafunikwa.Hata lile sanamu la new york huwa linafunikwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...