chinga akipiga raundi za chap chap na askari wa jiji mitaa ya kati. refa ni huyo mgambo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ELIMU YA HAKI ZA MSINGI ZA RAIA HATUZIJUA TULIO WENGI NA WACHACHE WANAOZIJUA WANAZITUMIA VIBAYA KUWANYANYASA WENGINE NA PENGINE KIFO.
    ELIMU HII NI MUHIMU SANA KWA KILA RAIA KUFAHAMU HAKI ZAKE ZA MSINGI NA SERIKALI NA WADAU WOTE WANATAKIWA KUWAELIMISHA RAIA WA TANZANIA....NA SIO TU HAKI YA KUPIGA KULA(KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA KAMA KUPO KWA WASIO NACHO....
    HII NI HATARI SANA KWA UMOJA WETU KAMA TAIFA LA MWALIMU NYERERE.

    ReplyDelete
  2. bro michuzi~~hayo ni mambo ya kichina china!!!raha hilioje!!inanikumbusha mbali sana,toka enzi zile za yang kibadachi yang shoda cat%$$#^^er ilikuwa poa sana??itabidi na mgambo sasa waperekwe uchina wakare tizi sio kuwapa virungu tu!!!siku hizi watu wanapiga jeb!!

    ReplyDelete
  3. Yap na ndio kilichobaki tu wamechoka kuonewa hapo asiingilie mtu (mtu mbili tu) unajua hao wagambo wanajiona kama wanajeshi poa tu ila mwambieni aweke hiyo rungu pembeni watu wamshughulikie.

    Katochi)

    ReplyDelete
  4. Mmmekula au mnapigana tuu!!waswahili bwana wanaona ngumi ndio kitu cha maana!!kapiganeni basi na tyson.

    ReplyDelete
  5. Sasa matokeo ya huo mpambano yalikuwaje?? nani alipigwa na ni katika raundu ya ngapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...