Home
Unlabelled
askari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nilikuwa sijui hii michu, imetulia sana, lakini kuna chemicals ambazo wanaweza kumpaka huyu jamaa asiathirike na mvua maana, mvua lazima impige tu, ndipo waje wamfunike.
ReplyDeleteSi anakosa hewa atakufa jamani, mbona hawa jamaa makatili.
ReplyDeleteSijawahi kuona mtu akimpelekea msosi wakati wa lunch ama hata kifungua kinywa lakini kwenye mvua ndiyo mnamjali haya huu ni unyanyasaji kabisa.
ReplyDeleteHawa jamaa walimfundisha mjerumani vita vya misutuni kiasi cha kumpa homa kali mwingereza aliyekuwa akisaidiwa na kaburu. Kama kawaida ya enzi hizo jenerali mjerumani na wenzie ndio waliopewa sifa nyingi ulaya hata uingereza kwenyewe na kina babu kusahaulika!!
ReplyDeleteHIVI KWA KWELI NAOMBENI MSAADA KWANINI ANAFUNIKWAAAAAAAAAAAAAAA?
ReplyDeleteAnafunikwa sababu atamomonyoka.Kwahiyo vibaka mna usalama mvua ikinyesha askari haoni anashuti wapi anakuwa kafunikwa.Hata lile sanamu la new york huwa linafunikwa
ReplyDelete