sanamu ya sheikh abeid amani karume. chini ni sikukuu za kitaifa kwa mwaka huu. kesho ni siku ya mapumziko ikiwa ni kumkumbuka mwasisi huyu shujaa wa mapinduzi ya zanzibar


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. 16 days holiday + sat and sunday. Mimi nashangaa sana nchi masikini kuwa na siku nyingi za mapumziko hizi nyerere na karume day naona zingekuwa ni siku za kazi kwani J.K Nyerere alikuwa mchapa kazi mzuri hata alipong'atuka alikuwa mkulima kule Butiama sasa iweje leo siku ya kuadhimisha kumbukumbu yake watu walale?Nyerere hakuwa goigoi
    Mohammed H.

    ReplyDelete
  2. Huyu ndo baba wetu wa taifa sisi wazanzibari halisi wengine hatuwatambui- ni mtazamo tu tusijenge chuki

    ReplyDelete
  3. mhe raisi karume junior fanya kila uwezalo ulivunje au ukalitupe baharini hilo sanamu kwani kwa muisilamu kujengewa sanamu ni haramu,watu waliopotoka zamani walikua wakiyaabudu hayo masanamu.

    ReplyDelete
  4. Mzee Marehem Father K,mungu akulaze mahara pema peponi!kwa msingi ulio tujengea!kuwa waswahili weusi hadi leo tunakula
    uroda na mabinti wa kiarabu na magabachori! uwamuzi wako wa kulazimisha ndoa kila kati yetu!umeondoa ubaguzi japokuwa sasa kisiwa chetu kimejaa wateja wa madawa ya kulevya na mashoga.

    ReplyDelete
  5. we michuzi kama watu tunatoa maoni huyatundiki kwa sababu tu yako huru si ya kiCCM basi funga blog yako uende ukawe mjumbe wa NEC,tumechoka na upuuzi wako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...