Home
Unlabelled
crdb ndani ya diaspora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaaawww, I c my aunt Caroline Chipeta
ReplyDeleteYeees nakuona dada angu Caro!! wow!!Keep it up sis!!wenye wivu wajinyongeeeeee
ReplyDeleteMisupu, Personally hakuna bank ambayo imeniboa kupita zote kama CRDB! Ambao nlikuwa nawaheshimu sana. Niliondoka home hapo bongo kama kipindi cha miaka kadhaa hivi, niliacha account yangu niliyokuwa naitumia ikiwa active na hela kadhaa. Niliporudi home nikataka nianze kuwa na save pesa kwenye hiyo account. Nikaenda kuuliza..guess what? nikaambiwa kwamba account haikuwa active kwa hiyo inabidi nilipe pesa kusudi iwe reactivated! Nikasema you people hamko serious maana hata ughaibuni nilikaa less than two years. and kibaya kulikuwa na hela ambayo mlikuwa mnakata kila mwezi..sasa mnataka niwalipe elfu nane kuactivate tena!
ReplyDeleteNikawaambia ok, sasa nikiifungua harafu nikaondoka tena (maana nilikuwa safarini) wakaniambia ikimaliza mwaka hujaigusa then inafungwa (ila hela wanaendelea kukata kila mwezi!!)..I was disspointed na hawa jamaa, kwa sababu as a Tanzanian working outside nilitaka niwe naweka atleast hata laki tano kila mwezi...well guess what..I have my account is well and sound with Citibank! wala hawanichaji chochote as long as I have certain maximu amount ambayo wanaihitaji wao...Well mwenyewe naumia kumpa hela mzungu, lakini, as long as anafanya kazi yake professionally..why deny him what he deserves?
Sasa kweli CRDB are they serious to attract vijana watafutaji kama sisi? au ndo hivyo tuu wako wanawatunzia hela mafisadi akina Chenge? Please CRDB learn how to conduct business. US au KWINGINEKO WALIKO ENDELEA UNAWEZA KUMANTAIN ACCOUNT HATA KAMA INA $$10 MIAKA KIBAO na huchajiwi. I know ofcourse lazima mchaji some fee, lakini kwa kweli CRDB mliniboa sana na hela yangu wala sijui sasa mmeshakula ngapi..ila sina mpango wa kufungua account na nyinyi tena. You either reform or you perish from the market.
Huo ni kind of ujanja wa kizamani..I pay a monthly fee...leo naambiwa kwamba, lazima nilipe tena account kuwa activated? You people! Mnashindwa kujua kwamba account yangu nikiiweka bila kuigusa itanisaidia mbeleni...
Kila lakheri na biashara zenu..after all..biashara huria sasa...
Commentator, April 18, 2008 5:51 PM, sadly, we all share the same kind of frustration from these CRDB money mongers! They are self-proclaimed to be “the bank that listens”…but to be honest, I don’t think so. They are one of the most over rated financial institutions ever existed in Sub Sahara region, and the one which pays its employees smaller wages than many banks in Tanzania despite its ‘big name’!
ReplyDeleteAnyway, let me share my story! I had a foreign currency account with CRDB (I hope they haven’t closed it off and swindled the small cash remained!) so few years ago I went to Azikiwe branch to draw my money. They told me there was no foreign currency but they offered me ‘TzSh’ but at their lowest rate in town! I refused because if I agreed, I could be on the loosing end twice. First, for CRDB charging me a lot of money for each withdrawal (which I don’t think they deserve) while there was no any valuable services what-so-ever from CRDB and secondly, for the lowest foreign currency rate, which signifies another CRDB’s gain and nothing else.
Don’t get me wrong, I don’t mean, they don’t have to charge people for the services (if at all there is one!) but their charges must be justified! It doesn’t make any sense, if they (CRDB) ripped off people’s money every month in the name of “bank charges” while they give no ‘valuable services’ back to customers.
“Tanzanite Account”, when you heard of this name, your mouth starts to get wet with a lot of excitement! But I don’t think this account is up to the people’s expectation! It’s a laughing stock! And many would argue, it is a failure because if follows the same principles other CRDB accounts underpin. By year 2005, more than 72% of CRDB’s workforce were holding at least a degree (Source: crdbbank.com) but I wonder where is ‘business creativity’ disappeared!...is it in their big pockets?!
Not once or twice, I saw their marketing force, which comprises of ‘young ladies’ only moving around the global looking for new customers of Tanzanite account, but I ask myself; “is it just another days in ‘paradise’ or they really mean business”?
Time has come for CRDB to mean business and remember their corporate social responsibility. They should stop ripping off their hard saving and working customers. They (CRDB) have been deaf for long now; it’s time for them to be really “a bank that listens”!
Mzee Wauyagauyaga
jamani ndugu zangu nyie mtaliwa pesa zenu bure crdb haiyaminiki inamtosa kila mtu inatuliza sana weka pesa yako kwa mzungu utaikuta .
ReplyDelete