mama kassanga wa standard chartered ya dar (kulia) naye alikuwepo kunadi sera za benki hiyo kabambe. hapa akiongea na mwekezaji toka ujerumani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hi Genevieve you look so good!

    ReplyDelete
  2. Genevieve you are beutiful in person and in spirit god bless you, naona Izack anfanya matunzo kweli kweli, mambo ya Easy Finance hayo.
    Michuzi huyu dada bado yupo standardchartered london tangu 2002

    ReplyDelete
  3. Ehee Genevieve kotta amekuwa mnene siku hizi hakuna mtu mwembamba amekuwa ehhe.ninavyosema kama vile mimi mkubwa wakati yeye yuko form 5/6 mimi niko form 1 lakini namkumbuka vizuri

    ReplyDelete
  4. Isaak kwa kweli mke unae, lakini wote mnamatch sana, maana na wewe ni bonge la handsome ila punguza maringo na wewe kila kitu wife wangu hivi, wife wangu vile, kwenye simu, ofisini na kila mahali picha ya waifu tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...