jk akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu ditopile leo huko kinyerezi
jk akiaga baada ya mazishi ya marehemu ditopile huko kinyerezi jioni hii
sehemu ya umati uliohudhuria mazishi hayo
jk, waziri mkuu mizengo pinda na viongoz
waombolezaji kwenye mazishi ya ditopile leo huko kinyerezi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Sasa huyo mpiga picha hapo juu anachekelea nini meno nje

    ReplyDelete
  2. Na hakika kifo ni mawaidha tosha kwa mwenye kutafakar..! Ni uthibitisho wa pekee kwamba mungu ni m'bora wa waadilifu, haangalii wazifa wako, haangali nguvu zako, haangalii umaarufu wako, hajali wewe ni maskini sana, au wewe ni mgonjwa sana, au wewe ni mzima sana! Hajali kwamba wewe unapendwa sana au unachukiwa sana!

    Ukishafika muda wako, hata kama una vijisent visiwa vya jersey basi utakwenda tu! Ukisha fika wakati wako hata kama una makampuni ya kitapeli kama RICHMOND kumi au zaidi basi utakwenda tu, ukishafika muda wako hata kama unamiliki meremeta 1000, basi utakwenda tu, ukisha fika muda hata kama una madili KAMA YA EPA 10,000 basi utakwenda tu...!

    Ah lait mafisadi wa nchi hii
    wangekuwa wanatafakar, basi wasingeli thubutu kuwakamuwa watanzania kiasi hiki...! Lait wangejuwa kwamba majumba yao yote ya wizi, magari ya wizi, fedha za wizi na kila kitu chao cha wizi basi havitawafaa kitu pindi tu watakapo anza kuitwa marehemu, basi wasingethubutu kutuibia kiasi hiki!

    Mungu waulimwengu naiweka hatma ya mafisadi mikononi mwako,wewe ni muweza wakila jambo, halishindikani jambo kwako, wewe ukisema kuwa basi huwa! Wadhalilishe mafisadi kama wanavyo tudhalilisha sisi, kwa kutufanya tuwe maskini wakutupwa hali kodi zetu zinaishia kwenye matumbo yao na familia zao!

    Ewe muumba wa nchi na mbingu wape hekima watanzania ya kujuwa utawala bora wa kuwaongoza!

    ReplyDelete
  3. yaani hata mimi nimemuona sasa minjino nje ndo nini....
    washamba bwana utawajua tu basi kumuona JK ndo anaona rahaaaaa

    Ina lillahi wa ina illahi rajiun...
    Mola ailaze roho ya marehemu mahali pema na namuombea aione pepo...
    inshallah...

    ReplyDelete
  4. Vipi hao na minguo yao ya kijani!! hivi wanadhani ni sherehe za ufunguzi wa mashina ya CCM eeeh!! waulize wenzao, sherehe hizo Londooon!, hapo ni msibani jamani!!! Tuna machungu.
    Roho ya merehemu ipumzishwe mahali pema peponi, Amina.

    ReplyDelete
  5. Babu Ally au Bablii tumeshachoka na hutba za siasa kwenye mambo ya msiba huko ulikokwisha weka hakutoshi tuu au hapa ndio unafikiri watu watabadili mawazo na kuchagua CUF? wote ni wale wale! Subiri post ya CUF na Chenge!

    Lakini leo umeamka na kabusara kidogo sio yale matusi yako ya siku zote! Wasalimie huko uliko!

    Innallilahi wainnaillaihi rajiun, poleni wafiwa jamani popote pale mlipo.

    ReplyDelete
  6. Kapata angle nzuri ya kupiga picha ya mh JK ya kumbukumbu ya mazishi ya Mheshimiwa Brother Dito. It made his day. Wengine huwa wanafurahishwa na vitu vidogo na siyo vibaya kwa maoni yangu.

    ReplyDelete
  7. mbona haukumuombea yule jamaa wa daladala haione pepo unamuombea muhuaji ngoja watakutana huko juu na jamaa mungu kampa cheo nyampala sasa sijui itakuwaje dito lazima akukamue tu

    ReplyDelete
  8. lakini kweli akimkuta mbonde(dereva wa dala dala) ana cheo sijui itakuwaje haya mimi sina la kusema sijui ata msotesha au la!

    ReplyDelete
  9. Hivi wee anon April 22, 10:07 pm, unamatatizo gani na mimi? Inaana wewe ukiingia hapa na blogs zote huwa unatafuta mimi nime comment nini?!
    Jaribu kukuwa mtu wangu! Umbri wako na mambo ya kitoto kama hayo hata hauwendani? Wewe unaitwa baba flani sasa alaa! Waachie watoto wako mambo hayo! Mbona una tabia za jinsia flani hivi (Tofauti na wewe). Na kwa jinsia yako ukiwa na vijitabia hivyo haipendezi!

    We umeona nimehubiri CUF hapa?! Alaa! Ustake kunijuwa sana, kiivyo mtu wangu! Naomba tuheshimiane, umekuja kwenye blog unalo la ku comment, comment, huna kabauwe ukalale! Sio unaanza kunifatilia, utafkir tunashea mama nani hii bwana!
    Get a life man!
    Samahani Bro michuzi kwa kutumia lugha tata!

    ReplyDelete
  10. Akapuzike kwa amani mzee wetu..nakumbuka enzi zile shuleni kwenye somo la siasa tukikariri majina ya mawaziri.. jina hilo nililipenda sana .. nilikuwa naona kama sentensi..(Ukiwaona Athumani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri)si ndio hivyo Muhidini ? au nimekosea..!!

    ReplyDelete
  11. nimeliona lile lipiga picha halina akili nzuri labda

    ReplyDelete
  12. Babii usikasirike sana! Sie tunajua ni kwa nini anakufuatilia. Hata hivyo sie tunajua ni nani ana mapenzi ya kweli na nchi yetu kati yako na yeye! Usijali tuko nyuma yako.

    Napenda tu kuwataarifu kwamba alivyokufa Dito ndivyo tutakavyokufa wote, na hakuna hukumu yoyote wotw wamepumzika mpaa siku ya kiama. Hukumu itapita kwa wote. Ila advantage tuliyo nayo sisi ni kwammba bado tuko hai tunaweza kurekebisha mambo yetu. Ukisha kufa umekwisha huna sala wala swala unyoweza kuifanya ikabadilisha matrndo yako. Tufanye toba tungali hai wakuu!!!!!

    ReplyDelete
  13. HIVI NAOMBA KUWAULIZA WENZANGU WENYE EXPOSURE, SUIT INAWEZEKANA KUVALIWA NA BARAGASHIA? NAONA MUHESHIMIWA HAPO AU KACHEMKA?

    ReplyDelete
  14. Naam huyo ndiye Bablii au A.M ninayemjua mimi, ukimsifia kosa ukimwambia kosa na kila siku kutukana wenziwe eti wana jinsia fulani hivi si utamke wazi tu, maana kwako wewe wanawake hawana thamani, halafu mwanaume mzima kwa mipasho hujambo.

    Na leo nikiamua nakumwaga mpaka na namba yako ya nyumba mpaka kijijini unakotoka mpaka huko shuleni uliko. Kazana na shule umalize acha mambo ya mipasho ya taarabu.

    ReplyDelete
  15. JUMA RADHI POLE.

    ReplyDelete
  16. Anon april 23, 6:18 PM.Sasa ukiweka jina langu, mpaka kijiji nnachotoka, sijui nyumba nnayo kaa, ndo nini? I dont get your point! What's so special?! Haaa we vipi eti naweka jina sasa ukiweka ndo nini? Ili uwonekane wanijuwa sana au? We huna kazi?! au frustration zina kusumbuwa?! Ndo maisha kaka! Mie nakula shule alhamdulillah, mungu niwetu sote! Huwezi kunifundisha mimi shule we ***¤%Ö* ! Halafu sio kwa sababu unajuwa mie mpemba ukafkir ntakuowa. Mie siowi wanaume wenzangu! Nenda kwengine bwabwa we!

    Sasa kama umenuna kapunguze maziwa hayo, mtoto wa kiume maziwa makubwa!

    Kwa kukusaidia Jina langu Ally Mahadhy! Nipo Lund University,sweden, nyumbani nnakotoka (we unaita kijijini) nyumba namba 105/JD/W/02, Jadida, wete pemba, zanzibar, na dar nipo magomeni mapipa! Kuna zaidi bwabwa we?!

    Msumari huo...!

    ReplyDelete
  17. Mpiga picha ni anaitwa Alex, jamani si kafurahi kumuona JK, kwani kuna ubaya ku smile hapo? , sio lazima kulia au kununa kuoneysha huzuni, wengi hapo wako kwa ajili ya kuonekana nasio kwamba ni wana majonzi kweli, ...damn It.

    ReplyDelete
  18. Hayahaya!! babu Ali we haya weee, we kunya tuuu mi ntazoaaaaa. mwambaje mbaje huko Abaaa?

    By the way nimependa dua yako paragraph ya 4 na 5.

    ReplyDelete
  19. Bablii, najua kuwa unakaa Magomeni ndio maana nikasema huishi mipasho kwa kuwa unakaa karibu na Travetine, lete mashairi yako basi ya taarabu tuwape wasanii wa taarab wakuimbie. Ukiunganisha tangu uliyaanza kusema unapata wimbo wa kuimba Zanzibar Stars. Najua kuwa unasoma Lund na unasoma Masters ya environmental science, kazana kusoma wapemba waliosoma ni wale wenye Phd na huwaoni humu wakiimba mipasho wako buzy na mambo ya maana, ukimaliza hiyo Masters yako angalau unaweza kuingia kundi la wasomi na labda mdomo/kauli zitatakata.

    Halafu angalia hayo mambo ya mipasho wenzio watakufikiria vyengine. Khakhaahaa, hapo umeona mie nimetia tusi! Kwa sababu maneno ya kiswahili yamejaa tele na wala sitakutukana 'kibua'.

    ReplyDelete
  20. Ha ha ha anon April 24, 10:43 AM, You sound like he he...!
    Eti nasoma master ya Environmental,kama unataka details zangu sema! Kwa kukusaidia tena ili uongoze CV yako, (huenda wewe ni shu shu shu).Mimi nafanya Master ya Biotechnology, ok?!Kuhusu mashairi, mimi ni mswahili, ni mlumbi wa lugha, kwa hiyo naweza kuidadavua na kuisanifu nnavyotaka, wewe kama unaona ni mipasho, basi msumari huo...! Kuhusu taarab we "vocha" taarab sikujulia traveltine, taarab ni ngoma ya asili zanzibar, kama ilivyo segere kwa wazaramo au sindimba kwa wamakonde!

    Mwisho wa yote nimeshakusoma, kumbe kinachokusumbuwa ni chuki, choyo na majungu!

    Nlipoteza muda sana kukujibu, coz nlikuwa sijui kinachukusumbuwa nini, but from now nishajuwa kumbe kuinachokusumbuwa sio comments zangu,bali unasumbuliwa na mimi mwenyewe kama Bablii!

    Hayo yako ni maradhi, na dawa hakuna. Unasumbuliwa na ukabila, choyo na umbea aka ushankunaku!

    Maradhi haya huambatana na husda,majungu kiburi na upumbavu! Mwisho wa maradhi haya ni umaskini wa fikra, utaishia kupiga kelele kwenye blog watu wanasonga mbele!

    You can't stop me maaan! Kama unalinganisha vyanzo vya maji basi hii bahari wewe nikama kijibwawa cha msimu kikija kiangazi umekwisha...!

    Prof J ameimba watu kama wewe "..wanakufa kama wafuasi wa kibwetere kimya bila kelele.."

    Siwezi kupoteza muda kujibishana na "idiot" kama wewe tena!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...