Samahani kwa kuchelewa kuleta tangazo (nilikuwa najihudhurisha mbele ya liwali asinisahau kwenye ujira)

Kuna linki katika:
http://nukta77.com/soccer.aspx mtu kuweza kuchagua pa kutizamia mechi za michezo mbalimbali ikiwemo huu wa soka/futiboli la leo (Liverpool vs Chelsea)

Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nitakupiga kichwa kama RIIIIIIIIIIIIIISEEEEEEEEEEEEEE unanitania mimi wewe Michuzi, kwanini ile picha ya mkeo umeiondoa?????? enheee, nitakupiga kichwa dakika ya mwisho mimi???????????, unajua mijamaa ilikuwa na hamu ya kuongeza bao la pili sasa ikajisahau badala ya kuokoa inajipiga bao! tehetehetehetehe

    ReplyDelete
  2. mkuki kwa Arsenal kwa lpool mchungu kaka.Hata hivyo nataka lpool washinde wakutane na barca.Barca washinde kombe.Sababu kubwa ni My love for Henry.

    ReplyDelete
  3. brother mithupu vipi mbona hutoi matokeo,au tv yako imeharibika mtanga

    ReplyDelete
  4. Rise with the "headaaaaaaaa!!"
    Yeees.......(...malizia mwenyewe Michu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...