mhariri wa mwanaspoti frank sana juzi kaamua kumeremeta na bibie janeth kimwaga. kwa habari zaidi pamoja na picha mtembelee mzee wa sumo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nimeamini.Kuoana siku hizi hakuangalii umri wala sura.
    Kila mtu anaweza kumeremeta.

    ReplyDelete
  2. Maamuzi mazuri sana kumeremeta ila naomba kuuliza bwana harusi anacheka au anafuraha?

    Sweet
    Arusha

    ReplyDelete
  3. Ebwanaee kwanza hongereni lkn mbona munafanana sana, mulishauliza vizuri juu ya ukoo wenu isije ikawa ni damu moja.

    ReplyDelete
  4. Hongera sana sana

    Mama malaika

    ReplyDelete
  5. The beauty and the beast!!!

    ReplyDelete
  6. HONGERA SANA BWANA FRANK KUPIGA HATUA HIYO MUHIMU. MMEPENDEZA, NATUMAINI NA MAISHA YATAKUWA YA FURAHA HIVO HIVO. SIKU ZOTE KUMBUKA FURAHA MLIYOKUWA NAYO LEO, IWE ISHARA YA KUPENDANA MAISHA YENU YOTE DAIMA. SALIMIA WADAU WENGINE OFISINI KWAKO!


    M. Mwipopo,
    USA.

    ReplyDelete
  7. Jamaa ulimi nje anatamani amlambe kabisa bi harusi, kweli bro umefurahi sana kuvuta hiyo mashine ingawa sura zenu zaonesha umri umesogea si kitoto.Hongereni sana ndugu zangu.

    ReplyDelete
  8. Huu ni yule mdogo wa Susy Kimwaga kutoka Butimba T.T.C. au ni binti mwingine kabisa

    ReplyDelete
  9. hongera sana frank, kwa niaba ya wanasosiolojia waliomaliza mlimani mwaka 200 tunakuhongera, na kukutakia maisha meama na mkeo, achana na vicheche wa dar wanaumiza.

    ReplyDelete
  10. Hongera kaka mmependeza sana ndugu zangu muendelee hivyo hivyo, msije kudanganywa maisha ni vile mtu anavyotaka na yanakuwa , mkitaka kuwa watu wa kugombana na kweli mnakuwa, hebu nambieni mbona mnafanana sana hivi nyie kweli siyo ndugu, kwa jina sanga unaweza ukawa mkinga na huyo kimwaga jeee hahahahaha!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...