mhariri wa mwanaspoti frank sana juzi kaamua kumeremeta na bibie janeth kimwaga. kwa habari zaidi pamoja na picha mtembelee mzee wa sumo
mhariri wa mwanaspoti frank sana juzi kaamua kumeremeta na bibie janeth kimwaga. kwa habari zaidi pamoja na picha mtembelee mzee wa sumo

Nimeamini.Kuoana siku hizi hakuangalii umri wala sura.
ReplyDeleteKila mtu anaweza kumeremeta.
Maamuzi mazuri sana kumeremeta ila naomba kuuliza bwana harusi anacheka au anafuraha?
ReplyDeleteSweet
Arusha
Ebwanaee kwanza hongereni lkn mbona munafanana sana, mulishauliza vizuri juu ya ukoo wenu isije ikawa ni damu moja.
ReplyDeleteHongera sana sana
ReplyDeleteMama malaika
The beauty and the beast!!!
ReplyDeleteHONGERA SANA BWANA FRANK KUPIGA HATUA HIYO MUHIMU. MMEPENDEZA, NATUMAINI NA MAISHA YATAKUWA YA FURAHA HIVO HIVO. SIKU ZOTE KUMBUKA FURAHA MLIYOKUWA NAYO LEO, IWE ISHARA YA KUPENDANA MAISHA YENU YOTE DAIMA. SALIMIA WADAU WENGINE OFISINI KWAKO!
ReplyDeleteM. Mwipopo,
USA.
Jamaa ulimi nje anatamani amlambe kabisa bi harusi, kweli bro umefurahi sana kuvuta hiyo mashine ingawa sura zenu zaonesha umri umesogea si kitoto.Hongereni sana ndugu zangu.
ReplyDeleteHuu ni yule mdogo wa Susy Kimwaga kutoka Butimba T.T.C. au ni binti mwingine kabisa
ReplyDeletehongera sana frank, kwa niaba ya wanasosiolojia waliomaliza mlimani mwaka 200 tunakuhongera, na kukutakia maisha meama na mkeo, achana na vicheche wa dar wanaumiza.
ReplyDeleteHongera kaka mmependeza sana ndugu zangu muendelee hivyo hivyo, msije kudanganywa maisha ni vile mtu anavyotaka na yanakuwa , mkitaka kuwa watu wa kugombana na kweli mnakuwa, hebu nambieni mbona mnafanana sana hivi nyie kweli siyo ndugu, kwa jina sanga unaweza ukawa mkinga na huyo kimwaga jeee hahahahaha!!!!
ReplyDelete