Home
Unlabelled
jk apokelewa boao kwa kishindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usione big deal kualikwa yeye peke yake kutoka Afrika kwani hujui yeye ni mwenyekiti wa AU? Usije ukafikiri yeye ni special kuwazidi viongozi wote wa Afrika.
ReplyDeleteSpecial ni Mugabe pamoja na matatizo yote ya nchi lakini wana-nchi bado wanamtaka.
Mdau
jk anakismati sana
ReplyDeleteKwa nini au kwa sababu wamemualika Rais Kikwete tu kati ya viongozi 54 wa nchi za Afrika?
ReplyDeleteKama kuna anayejua sababu ya kweli naomba atuelezee na sisi tusiojua ili tujue.
Asante.
kama alivyosema mdau hapo juu JK ni mwenyekiti wa AU OAU ya zamani
ReplyDeleteKutofurahia Mwaliko wa JK, ni sawa na kukataaa kuchamba kwa Kopo ukang'ang'ania Upawa. Heshma pekee sana na najua huko aliko anaboresha mahusiano hasa ya kuendeleza uchumi wetu.
ReplyDeleteHaya nyie Kalaga Bao.
Uchumi gani anaouendeleza na ufisadi wote huo anaoushikilia?
ReplyDeleteNadhani wananchi wengi hawafahamu mambo ya kisiasa na kibiashara ya dunia kutokana na kisomo.
ReplyDeleteChina inapigania mafuta na rasilimali nyingine kama ya migodi hapa Afrika kwa kuwa uchumi wake unategemea mali hizi ili izidi kutajirika na kujiendeleza, chuma ni muhimu kwa kutengeneza magari na kadhalika. India pia ipo mbioni kutafuta mali hizo pia. Hawa super power wawili pia wana competition na Brazil pia kutafuta migodi.
Ndio maana tunaona viongozi wao sasa hivi wapo mbio sana hapa Afrika na kuwaalika viongozi wetu. Usifikiri hata siku moja kuwa wanatupenda au kutumind viongozi wetu, dunia siku hizi ni biashara tu ya kujilinda na kujiendeleza. Afrika tuamke, sio tunasinzia tu kila siku, tusome uchumi jamani, sio makatuni ya billy wizi au warembo wa blogi ya Michuzi.
China imekuwa ikifanya Biashara kubwa sana barani Afrika na nchi mbalimbali pengine kuliko hata biashara ile iliyopo kati ya Tanzania na China.Hivi sasa imethibitika kwamba huenda China sasa ni ya pili baada ya Marekani kwa Nguvu ya Uchumi Duniani ikifuatiwa na Japan katika nafasi ya tatu na India katika nafasi ya nne.Kutokana na kasi ya ukuaji wa uchumi China sasa inakabiliwa na mahitaji makubwa sana ya malighafi kwa ajili ya viwanda vyake na Bara la Afrika ni sehemu mojawapo ambayo China itafanya kila liwezekanalo ili kuwa na ubia mkubwa katika uvunaji wake hata ikibidi kwa gharama zozote zile ili kushinda ushindani wowote ule kutoka makampuni ya magharibi.Inakadiriwa kuna makampuni yasiyo pungua 800 ya Kichina yanayo fanya shughuli zake Barani Afrika.Kwa mfano China imekuwa ikivuna malighafi zifuatazo kutoka nchi zifuatazo:Crude Oil-Mafuta toka Angola,Sudan na Congo DRC;Cobalt toka Congo DRC;Iron Ore toka South Africa na Gabon;Manganese toka South Africa na Ivory Coast;Cotton-Pamba toka Egypt,Burkina Faso,Benin na Mali;Cocoa toka Ghana na Ivory Coast;Coffee Beans-Kahawa na Tea-chai toka Kenya;Fish & Fish Meal toka Namibia;Phosphate toka Mauritania;etc etc.Karibu 30% ya mahitaji ya Mafuta-Crude Oil ya China yanatolewa na nchi za Afrika ukilinganisha na 15% ya mahitaji hayo toka Afrika kwa ajili ya Marekani.China ina kampuni ya PetroChina inayo chimba mafuta nchini Sudan iliyo ifanya China kuwa baridi sana kuhusu janga la DARFUR.Biashara kati ya China na Afrika imefikia siyo chini ya Dola za Marekani Bilioni 50.6 hadi kufikia Robo ya Tatu ya Mwaka 2007, ongezeko la 42% toka Robo Tatu ya Mwaka 2006.Hivi sasa China ni ya Tatu baada ya Marekani na Ufaransa kwa ukubwa wa Biashara baina ya Afrika na Mataifa hayo.Kwa hiyo Watanzania wasije wakadanganywa na yeyote kwamba Tanzania ina nafasi ya 'Pekee ya Upendeleo' baina yake na China.Tupo wengi na pengine nafasi ya Tanzania kibiahsara na China ni finyu sana kuliko nchi zingine barani Afrika kwa sababu moja tu kwamba kiwango chetu cha uzalishaji bado ni cha chini sana.Ili kukidhi mahitaji yake China inalazimika kujenga mahusiano na nchi nyingi zaidi Barani Afrika.Yapo maelezo mengine mengi tu ambayo ni vigumu kuyatumbukiza katika nafasi hii ndogo.Mwenye muda wa kusoma anaweza kuongezea haya niliyo yadokeza kwa kutembelea tovuti www.ecobank.com, SO FELLOW TANZANIANS DONT BE DISILLUSSIONED BY SOME (?)ZEALOTS BY THINKING OTHERWISE!Hapa sijazungumzia the Negative Side of the Coin!Matatizo ni mengi Wazee,we acha tu!
ReplyDeleteEndeleeni kuwachekelea wachina soma hapa chini
ReplyDeleteChina eyes idle farmland in Kenya
Written by Dominique Patton
Irrigation of a wheat farmApril 7, 2008: Chinese investors, who have lately gained a strong presence in Kenya’s telecoms and heavy industry, are now eyeing the country’s farmland as a source of useful raw materials and employment opportunity.
Several thousand acres of land outside Nairobi are unused and could be turned into farms planted with wheat, corn and pineapples, says Liu Jianjun, chairman of the China-Africa Baoding Business Council, an organisation that sets up negotiations with African governments for Chinese investments.
He also wants to open a new cornflour processing factory in Kenya and raise donkeys on the grassland to supply donkey hides that can be turned into Chinese medicine.
The plans are far from approval. Kenya is still not open enough to foreign investors, explained Mr Liu in his temporary office in a Beijing hotel room. But he is determined for China to get more than just minerals out of African earth. Chinese farmers can also earn a living off the continent’s farmland, he says.
Widespread industrialisation in China has already encouraged millions of farmers to migrate to cities to take up factory jobs. But there are not enough jobs to go round for the millions more that will lose their land when rapidly developing cities swallow up still more farms.
The solution is an easy one. Chinese farmers should move to Africa where frequent food shortages would reward those with modern farming techniques, says Mr Liu.
“Lots of land in Kenya is not farmed and yet it still receives food aid from the UN. At the same time, China faces a shortage of farmland,” he told Business Daily.
Chinese farmers have already been successful in Uganda which has leased an area of about 10,000 acres to around 300-400 Chinese. They grow corn and other crops and employ hundreds of local workers.
Now the business council wants to replicate its success in Kenya. It claims that Chinese farms in Africa benefit local communities. A plot of 10,000 acres would require 5,000 local workers. As well as creating jobs, Chinese farmers bring know-how and modern machinery, such as small tractors that can cope with hilly terrain, says Liu, who has visited Kenya five times. “We also have good quality seeds with several times the same output as Kenyan seeds.”
Li Zhu, chief of one of the Chinese ‘villages’ in Uganda, seems sincere when he conveys how China can help local agriculture. “Uganda is similar to the way China was in the 1980s. We can help them by showing them how to avoid the dead ends that China took during its development. We can show them what works.”
But he admits that most Chinese arriving in Africa are driven by a desire to one day return home with hard-earned savings. “The living conditions in Uganda are not as good as China but we can earn more. Chinese people are used to working hard and enduring tough times,” he said, using the Chinese expression that literally translates as ‘eating bitterness’.
For centuries, millions of Chinese have emigrated around the world to search for better opportunities and to improve their children’s prospects. With China’s government repeatedly citing its strong relationship with Africa in recent years, many have been persuaded to try their luck on the continent, despite their nervousness about tropical disease and civil wars.
The head of China’s Export-Import Bank, Li Ruogu, has even publicly pledged his support for Chinese farmers migrating to Africa. In a speech last year in Chongqing, a central Chinese city believed to be one of the fastest growing urban areas in the world, he said that more than 12 million farmers from the surrounding region will have to leave their land by 2020. Finding work in Africa would be easier than finding a new job at home, he suggested.
“The bank will give full support to the farmers in terms of capital investment, project development and product-selling channels,” he said, according to the local South China Morning Post newspaper.
Even without government support, many farmers say they can improve their incomes in Africa. In Uganda, Chinese farmers earn more from their crops than they would at home, says Mr Li. “Chinese prices for crops are not so high because we export but in Uganda they import a lot of food so you can get better prices.”
Tomatoes sell for just 6 yuan (Sh53) per kg in Beijing markets while potatoes and cucumber sell for half that. Prices in Kenya are significantly higher.
Chinese farmers in Africa get other opportunities to increase their earnings too, often finding work with firms set up by compatriot businessmen in value-added processing. Agribusinesses in Africa tend to produce higher profits than those in China.
A Kenyan cornflour factory could make $0.8 (Sh49.60) per 500g compared with just $0.1 (Sh6.20) in China, said Mr Liu.
A bigger Chinese presence in Kenya’s farming community still depends on government policies towards investment however. Mr Liu complains that foreigners leasing land are taxed 50 per cent of their profits made on the land, a prohibitive cost.
It is also more difficult for Chinese to get visas for Kenya than Uganda although some arrive via the Ugandan border. “China is richer than Africa but still welcomes foreign investment. I’d like more African countries to open up to more investment.”
Duh !!!! Hongera baba...leo kwenye CNN hapa USA mwenge wa olympic ulisimama Tanzania tu katika bara lote la Africa. Mara tena kuna wamasai wamekimbia London marathon kutoka Tanzania..duh raha tu...nikisikia habari za nchi yangu yaani naanza Monday vizuri tu...ila nimesikia hao wamasai wamekimbia na viatu vilivyotengenezwa na matair ya gari....Ouch
ReplyDeleteBwana tutake tusitake huyu raisi anajitahidi kutangaza nchi yetu
Kismati wapi anakumbatia MAFISADI!
ReplyDeleteAjaribu kwenda PEMBA kama atapokelewa kwa shangwe hivyo.
Tanzania kwa nchi za nje nzuri sanaa a a ila ndani imeoza na wanachi wanaungua na moto.
kuuza sura nchi za nje mzuri badala ya kudeal na mafisadi wa nchi yake na mpasuko wa zenj.
tutachoka siku si nyingi, real revolution soon,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
mmmhh haya!!
ReplyDeleteHata sijui kina mfurahisha nini maana nchi yake inamatatizo kibao, bei za vyakula vinapanda kila siku, umeme ndio usiseme na bei mpya ya maji inakuja vyote hivyo vina wagusa wananchi wa hali ya chini.
ReplyDeleteSerikali yake ndio inaongoza kwa ufisadi may be than any TZ government in history. Uozo ukigunduliwa anatengeneza ulaji mwingine wa kuunda tume. Na hao waliogunduliwa anasema hakuna hatua zitakazochukuliwa zidi ya viongozi wa zamani sasa ALIUNDA TUME YA NINI?? Haya Chenge kakubali hela ya JERSEY ni yake what next.
Kwa nini tusiingie barabarani kushinikiza Chenge na Lowasa wafunguliwe mashtaka?
huyo raisi wetu anatuyeyusha tu nchi yake huku inamshinda kwa kuweka ushikaji mbele anajifanya nguvu mpya na kasi mpya kumbe hamna lolote mafisadi kibao hamna aliyefikishwa mahakamani na kesi za upuuzi ndio wa2 wanafungwa maisha na wala nchi wanadunda huku masikini wakitaabika 2.
ReplyDelete