Kwa niaba ya familia nzima ya Kibodya kwa huzuni kubwa tunawaarifu msiba mzito uliotokea Dodoma, Tanzania, kwa kufiwa na baba yetu mzazi Alhaj mzee Abdallah Mkambavange Kibodya (pichani) aliyefariki dunia leo Jumapili tarehe 13 April 2008.
Mazishi yatafanyika huko Dodoma, Tanzania Jumatatu tarehe 14 April,2008 baada ya salat Asr.
Kwa hapa Marekani kilio kiko nyumbani kwa bwana Isaac Kibodya
7 Upper Church Street,
Apt # 213
West Springfield,
Mass 01089
Kwa kutoa mkono wa pole tafadhali wasiliana na wafiwa:
Isaac Kibodya 413.209.8666 (nyumbani) 413.219.1153 (simu ya mkono)
Ahmad Mkambavange Kibodya 413.221.2935 (simu ya mkono)
Mohamed Kibodya 413.273.4591 (simu ya mkono)
Omar Kibodya 413.330.2007 (simu ya mkono)
Khalfan Kibodya 44.780.961.7416 (simu ya mkono)
Msemwa Kibodya 214.916.0879 (simu ya mkono)
Zainab Kibodya 832.208.0316 (simu ya mkono)
Albert Kiputa 413.208.0033 (simu ya mkono)
Severine Kiputa 413.306.2109 (simu ya mkono)


Poleni kwa msiba, mola ailaze roho ya marehemu maala pema peponi Ameen.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa kwa msiba mzito ulio wapata ila tukumbuke kwamba Ila lilah wa ina ilah rajiuna (Sisi wote ni wa Mwenye Mungu na kwake tutareje) Tunamwombea kwa Mungu ailaze roho ya marehemu Baba yetu mpendwa mahali pema
ReplyDeleteAmeen
Katochi)
Mungu ailaze mahara pema peponi roho ya mzee kibodya!alikua mteja mzuri wa scandinavia express enzi hizo akielekea dodoma,he was a good person!
ReplyDeleteomar ,zainab,yahya kibodya....aiseee poleni sana may his soul rest in peace
ReplyDeleterey
Zainab you really look like your dad. Poleni sana, sana, sana. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteMungu awapee Faraja Nakumbuka Last Time Hamadi ulikuja na Sultan ofisni Kwangu hapa Dodoma CCT MY MOBILE 0786 359066 WOTE NAWAPA POLEE NDUGU NA JMAA NAONA HAPO NA KINA SOME BODY KIPUTE NAKUMBUKA SANA CHESTER FIELD MLIKUWA MKIPATIKANA
ReplyDeletepoleni wafiwa, bwana alitoa na bwana ametwaa! ila naomba nijulishwe huyu ni babu wa MBAI MDACHI?NA MKAMBA, ASIA, ambao mama yao ni ZAINABU KIBODYA? mana nimemfananisha ingawa ni muda mrefu toka nimwone around 1995 mwananyamala.pls ndiye yeye???
ReplyDeletemdau XXXL
Innalillah Wainailahirajiun, May Allah rest his soul in peace. our sympathy greetings go to the Kibodya family. Zainab, Msemwa poleni sana kwa msiba. Inshaallah mwenyezi Mungu atawapa nyote patience and my prayers go to the deceased and family. From Amina Hashim, ATL, GA
ReplyDeleteMy thoughts and prayers are with you all. R.I.P mzee Kibodya.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amlaze pema Mzee wetu Kibodya. Amen
ReplyDeleteInnalillah Wainailahirajiun!
ReplyDeletePoleni sana Familia ya Mzee Kibodya! He so much reminded me of my late grand father, walikuwa marafiki sana!
Kwa niaba ya Familia ya Mama Adam Sapi Mkwawa Dar es salaam. Tunawapa pole!
Poleni sana ndugu familia yote ya Kibodya.Mungu ailaze pema roho ya marehemu mzee wetu mpenzi wetu.
ReplyDeleteAnonymous wa April 14, huyu haswa ndie babu yao kina Mkamba na Mbai Mdachi, Mwenyezi Mungu ampumzishe mzee wetu kwa amani na amlipe malipo yaliomema...Amin!!
ReplyDeleteasante mdau kwa kunijulisha!mbai mdachi na ndugu wote poleni kwa msiba
ReplyDeletepls ninaomba contact za mbai au mbai mwenyewe ukiona hii koment nijulishe
agnes
INNA LILLAHI WAINNA ILLAIHI RAJIUUN
ReplyDeletePoleni ndugu zangu wote wa familia ya Al marhum mzee wetu Kibodya,familia ya mzee wetu Yahya Msalali na ya mzee Mkambavange kwa msiba huu mzito uliowapata.
Mohamed
Kwa niaba ya familia ya Al marhum mzee Shehe Mohamed wa Dodoma