Jk akisalimiana na mwenyeji wakeWaziriMkuu wa India Mh. Manmohan Singh katika Ikulu ya New Delhi leo . Jk yuko nchini India kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wakuu wa Nchiza Afrika na India unaoanza kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mzee Msafiri hebu jitahadhari...huyo singa singa amekupa mkono na akilikaza kwa nguvu basi hawezi kukuachilia,manaake hataki tu reli yetu bali chochote kitakazoweza kumfaidisha...basi ningekua mie hapo ningesema 'Namaste'bila ya kumpa mkono!!!Sasa baada ya hapo unaelekea wapi...Beijing???

    ReplyDelete
  2. Is JK trip udosini has to do with TRL. Its too much of a coinsidence with this situation to me. On the other hand is JK gonna get some more wadosi to buy some more companies and let the goverment bail them out.
    Bongo, goverment officials are too much smart in ripping off the country than trying to develop it. The whole deal stinks and everyone can smell it.
    My honest opinion if its who needs to be bailed out is the MZAWA.

    ReplyDelete
  3. VASCO DAGAMA IS BACK!!!!

    ReplyDelete
  4. Ukiachana na haya mengine kubwa ambalo nimikuitia ni kuhusu haya matatizo yaliyompata huyu mdogo wako wa TRL..........teh!teh!

    ReplyDelete
  5. Ndugu zangu hapa tumecheza Galasa!

    ReplyDelete
  6. lakini nayo serikali wakati mwingine inakuwa sijui ina nini yani wamekosa wawekezaji mpk wanaenda kuwapa hao wadosi?ona sasa aibu hii.kila wakati tunasikia viwanda,makampuni yanayomilikiwa na watu wa asia ni matatizo matupu wafanyakazi wake wabongo hawapewi haki zao kama wafanyakazi na wengi wanafanyakazi kama vibarua kwa mda mrefu na hawapewi mkataba wa kazi.mimi nadhani wangekuwa wanapewa watu wanaotoka mataifa yanayoeleweka na wenye mkwanja haswa sio hawa wababaishaji.
    Ms Ben

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...