Home
Unlabelled
kabila njiani kuelekea india
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kabila bwana nani kakudanganya hizo ndevu??? au ndo mambo ya ndoa usionekane handsome
ReplyDeleteHiki kijamaa kishaanza kunenepa? kalikuwaga kembamba haka, pesa nzuri jamani!ataanza mabp na sukari sasa hivi!
ReplyDeleteKabila ndevu hazilipi hizo ndg yangu!!!
ReplyDeleteDogo anakwiva tu siku hizi mambo ya nafasi hayo.
ReplyDeletenyumbani ni nyumbani tu lazima asimame kwao maana huyu siyo mcongo man!ni mtz huyu safi sana mtanzania anawaongoza wazaire!
ReplyDeletefiirakbu tamaasiih adhab layufqadu
ReplyDeleteJAMANI NI MACHO YANGU AMA..NAONA KAMA JAMAA ANA SAA 2 AMEVAA MOJA KILA UPANDE....JAMAA AMEKUA NA AMESHAKOMAA KIUTENDANI PAMOJA NA KASHKASH ZOTE NCHI INASONGA...UCHUMI WAKE ALHAMDULLILAH..NASI JE TUKIPATA MAKASHESHE KAMA YAO..TUTAWEZA HATA KUNYANYUA MGUU KIUCHUMI??
ReplyDeleteMheshimiwa pinda mbona mguu ume..nda.
ReplyDeleteNimekubali maneno ya Baba yake Kabila alipokuwa akimsifia sana mtoto wake kwamba 'Ni lulu ya Congo,kwamba ni mtoto mwenye akili sana na mwerevu na shupavu'.Na kweli muda mfupi tu madarakani amethibitisha kwamba ana akili za kiutu uzima,mjanja na akili nyingi,mwerevu na shupavu.Amefanya yaliyo washinda viongozi wengi wenye umri mkubwa zaidi ya wake.Bana Congo wote wajisikie fahari kuwa na Kiongozi kijana mwenye nidhamu na uzalendo mkubwa kwa Taifa lake la Congo na Afrika kwa ujumla.Binafsi nampongeza sana na namtakia mafanikio makubwa zaidi ili aje kuliunganisha Bara La Afrika liwe moja lenye nguvu zaidi kiuchumi!Tumpe SUPPORT ya nguvu!
ReplyDeleteMkongomani kama vile ana saa mbili- mkono wa kushoto na wa kulia.Hizi ni mbwembwe za kiKongo au saa moja ya majira ya nyumbani na nyingine ya majira ya asafiriko/aendako?
ReplyDeleteyani we anon wa 1:38pm umenichekesha hadi machozi, yani nimecheka huwezi amini, kwanza nimecheka comment kabla sijarudi tena kuangalia pic vizuri,
ReplyDeletejamani kuna watu hawajatulia, hivi akili yako inafikiria nini, mguu haujapinda jamani ni suruali imepulizwa na upepo, ila wewe sasa ulivyochomekea swali lako, u-made my day though