Mbunge wa Bunkoba Vijijini, Mh. Nazir Karamagi, akichangia hoja iliyowasilishwa kuhusu malalamiko dhidi ya kitengo cha makontena cha bandarini jijini Dar es Salaam (TICTS) leo. Karamagi alikiri bungeni kuwa ni kweli yeye ni Mwenyekiti wa TICTS na anamiliki hisa 35 katika kampuni hiyo ambayo ndiyo roho ya bandari ya salama
Mbunge wa Bunkoba Vijijini, Mh. Nazir Karamagi, akichangia hoja iliyowasilishwa kuhusu malalamiko dhidi ya kitengo cha makontena cha bandarini jijini Dar es Salaam (TICTS) leo. Karamagi alikiri bungeni kuwa ni kweli yeye ni Mwenyekiti wa TICTS na anamiliki hisa 35 katika kampuni hiyo ambayo ndiyo roho ya bandari ya salama

Mmhhh Ohhh Ok?.
ReplyDeleteThis is what we are talking about, NO transparency, hidden truth, nothing but lies, and creepy politicians.
They scare the hell out of us!.
So When this is gonna end? Sometime I am speechless ? So all the imports and problem facing our main port(our livelihood of all majority of imports' goods) are operated by politician.
THIS IS TOO SCARY to comprehend.
By Mchangiaji
swali langu mie je hela za kuweza kumiliki hizo hisa kazipata kihalali?
ReplyDeletena hio zabuni ya kuendesha kitengo cha makontena ilitolewa kihalali?
kama kila kitu ni okay kwa nini basi tumnyooshee vidole? tunataka waje wahindi na wachina ndio waendeshe sehemu nyeti kama hizo?
RICHMOND, ANABERN, KIWIRA, EPA,RADA,MADINI PIA MKAPA ALINUNUA NDEGE YA RAIS SIKU CHACHE KABLA HAJAONDOKA WAKI PROB NAYO WHO KNOWS.
ReplyDeleteHAYA KARAMAGI KAKUBALI 35% ZA KWAKE, NA COTECNA NANI MMILIKI WAKE? KWA KWELI CCM KWELI NI (CHAMA CHA MAFISADI)HAKUNA KAMPUNI ILIYOWEKEZA AU MKATABA ULIYOPO AMABAO KIGOGO HAJATIA MKONO.
KAMA KWELI LAANA IPO BASI NAWALAANIWE.
Mdau
THE GUYS WE VE PUT OUR TRUST ON ARE SELFISH AND THEY DONT CARE ABOUT THE LIVING CONDITIONS OF THE PEOPLE .
ReplyDeleteWE ARE NOW GETTING THE FULL PICTURE OF WHAT IS HAPPENING .
WE HAVE TO HIRE VLADIMIR PUTIN TO CLEAR THE MESS.HE HAS DONE A GOOD JOB IN RUSSIA AFTER WHAT BORIS YELSIN DID.
Michuzi unaposema TICTS ndio roho ya bandari ya salama una maana gani?nawe umemwagiwa Hudi wa kifisadi....kuwa makini tunakueshimu. Sisi wananchi tunaasira mnooo na hawa jamaa.
ReplyDeleteKuna usemi unaosema kuwa mganga hajigangi! Sasa hawa viongozi wetu wa sasa wote ndiyo wanaomiliki makampuni yote nyeti na kuwa na hisa kubwa kwenye makampuni yanayoendesha shughuli kama hizi, hii style imeanza lini? They have to choose to be leaders of the country na kulinda mali za wanabchi au wang'atuke na kuendelea na biashara. Maana huwezi kuwa mtunga sheria for your own pocket! Hii ndiyo imezaa madudu ya wao wenyewe kuuziana mapori ya kuwinda nasikia kuna mawaziri na waziri mstaafu wanmiliki mapori ya kuwindia ambayo wageni wanalipa milions of Tsha kwenda kuwinda na ukiuliza wamelipa kiasi gani kumiliki hiyo ardhi you will be shocked, change money making maximum profit in our expense! What a shame. Baba mwalimu tunakuomba your spirit to come back and touch these viongozi uliowakabishi nchi uliyoisotea kwa uchungu toka kwa mkoloni na bado tunanyonywa na viongozi wetu tuliowaamini na kuwachagua kulinda mali ya taifa badala yake wanaweka mifukoni mwao!!! THIS IS A SHAME KUSIKILIZA BUNGE LENYE VIONGOZI CORRUPT WAKIKIRI UFUSKA KAMA HUU, WHERE IS J.K. NI KWELI HAYA HAWAYAJUI? AU KUNA MAMBO SISI WALALA HOI HATUJUI KINAENDELEA NINI HUKO SERIKALINI. KAMA HAYA YANAJULIKANA CCM INASEMAJE? MAANA HAWA WOTE BADO NI WABUNGE NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU NA KAMATI KUU, TUWAAMINI VIPI VIONGOZI KAMA HAWA KUTUWAKILISHA NA KULINDA MALI YA TAIFA. TAFADHALI MWENYE MAJIBU ANIPE.
ReplyDeleteJamaa kazi wanafanya na wanajitahidi kweli ila serikali hijitaidi kuboresha miundombinu sio kulalamika tu
ReplyDeleteWADAU MAMBO VP NA IMANI MKO POA KIMSINGI MIMI SIONI KAMA KUNA KOSA KWA KIONGOZI KUFANYA BIASHARA ,TATIZO LINALOJITOKKEZA KWA MTAZAMO WANGU NI KUWA WATANZANIA WANADAI WANA HASIRA NA VIONGOZI KAMA KARAMAGI NA WENZIE WANAOMILIKI WANAOMILIKI VITEGA UCHUMI IE TICTS NK ,ANON WA APRIL 25,3.04PM (ANAPODAI ANA HASIRA NAO MI SIMUELEWI )KUMILIKI MALI KWA KIONGOZI SIO DHAMBI TATIZO WATANZANIA WANA KASUMBA MBAYA KIONGOZI MPAKA AWE MASKINI AU LOFA NDO WAJUE ANAWATENDEA HAKI UKIWA TAJIRI UMEWAIBIA ,NASEMA HUU NI WIVU TENA WA KIKE,GEORGE BUSH HAPA KIWANJA NI TAJIRI WA KUTUPWA ANA PESA ATI,LAKINI HUWEZI SIKIA WANACHI WANALALAMIKA KAWAIBIA ,NYUMBANI UKIWA TAJIRI HALAFU KIONGOZI AMANI HAKUNA TABU TUPU,ENDELEZA BIASHARA ZAKO KARAMAGI,WENYE MAJUNGU NA WIVU WA KIKE SHAURI LAO SA SIJUI WALITAKA NA HIZO 35%ANAZOMILIKI KARAMAGI TUMPE MZUNGU NDIO WAFURAHI,KARAMAGI NI MWANANCHI MWENZETU TUMUUNGE MKONO NA NADIRIKI KUSEMA TICTS INAFANYA VIZURI KWA LEVEL YA KIBONGO BONGO UKIZINGATIA WAMILIKI WAKE NI WABONGO MI NADHANI TUNAPIOGA HATUA KWENDA MBELE SASA KWA BIASHARA KUBWA KAMA HIYO BANDAR KUMILIKIWA NA WAZAWA ie K NA WENZAKE,MWISHO WANAODAI JAMAA WANAPATA VITU KWA NJIA YA KIFICHO,BASI WALETE USHAIDI,KWA JINSI NINYOIFAHAMU BONGO HT WANGEKUJA WAGENI BADO HIVYO VITU IE VITEGA UCHUMI NA MASHIRIKA WANGEPEWA KUPITIA MLANGO WA NYUMA ,SASA BORA IPI TUMPE MT MWENZETU KWA MLANGO WA NYUMA AU MGENI KWA MLANGO HUO HUO ,MI KWA UPEO WANGU NAONA BORA TUMPE MWENYEJI,NI MAWAZO YANGU TU ,
ReplyDeletekila la heri michuzi na team yako
MTz KAMA WEWE
TICTS ilipewa mkataba wa miaka kumi bandarini na kabla haujaisha ikaongezewa miaka 25 kuendrsha huduma hapo bandarini. Cha msingi utendaji wake ni mbovu na unasababisha msongamano wa mizigo na hivyo kufanya meli nyingi zishushie mizigo Mombasa.
ReplyDeletejambo la kushangaza ni kwamba licha ya upendeleo wa utoaji wa zabuni hii kampuni inaitia serikali hasara kwani haina uwezo wa kundesha shughuli zake hapo bandarini.
Nimewaelewa Viongozi wetu ndio maana walikuwa wanasisitiza ubinafsishaji (Privatision) kumbe nia na madhumuni ilikuwa wajibinafsishe hizo mali za Watanzania wote.
ReplyDeleteMaskini Tanzania, juhudi yote ambayo imefanywa na wahasisi wetu kuweka mali zote chini ya umiliki wa Umma,Sasa mali zenyewe zimekuwa za wachache tena Viongozi haohao.
Huu ni wizi wa hali ya juu na watu hawa wanaitaji kuadhibiwa na hakuna ubishi.
Popobawa
Wamiliki sawa lakini na pesa zao waweke kwenye mabenki ya kitanzania sio kwenda kunufaisha watu wengine.
ReplyDeleteNyie mnaolalamika hivi ni bora amiliki hizo hisa mtanzania au mhindi ambaye anapeleka kwao? Cha msingi viwe vya kihalali na pesa zinazopatikana zizunguke hapa hapa Bongo sio kwenda kuzificha huko kwenye mabenk ya watu na kunufaisha wengine, unless mnataka siasa ya ujamaa irudi ambacho kitu hakiwezekani kwani ujamaa umeshindwa na hata hao warusi na wachina wameshakuwa mabepari. South Africa kuna kitu kinaitwa black empowerment yaani ukitaka kuwekeza lazima uwe na ubia na mzawa ili mali isipotee nje!
Mkumbuke kkuwa Karamagi alikuwa mfanyabiashara kabla hajawa mbunge, labda mseme kuwa wafanyabiashara waendelee na biashara na kuendeleza sekta binafsi na wanasiasa waendelee na siasa na mmoja asiruke kuingia kwenye kundi lingine!
Hongera karamagi kwa kuamua kuviwekeza Tanzania vijisenti vyako na hivyo kutoa ajira wa wtz kwani wengine wameamua kwenda kuficha ulaya. Bora ya wewe kodi unalipa na ndugu zako wtz wanaendesha maisha kupitia ajira ktk kampuni yako. Mimi nadhani karamagi asaidiwe ili TICTS iwe bora zaidi badala ya kuibeza. Wabongo tuache ile hali ya kuona kila kitu kinachomilikiwa na mbongo wenzetu hakifai bali kilichowekezwa na wazungu au wahindi ni bora. Si mnaona wawekezaji wa nje walivyokuwa wananua kuku, nyanya n.k kutoka kwao ili wakuze uchumi wao na sasa pia mnashughudia TRL inavyokodisha vichwa vya treni paomja na kununua spea kutoka india ili kukuza uchumi wa india. Wabongo tupendane, wafisadi tuwakatae, wanaohitaji msaada ili wafanikiwe tuwapati bila kuwawekea kauzibe
ReplyDeleteNadhani huu mwaka unakitu kinawinda TZ kwani rate ya kubomoka kwa chain ya untouchables imekuwa kubwa,!
ReplyDeleteNAMANI NAWAOMBA MUSOME UJUMBE WA PICHA HAPO JUU SIJUWI MUNAONA NINI?//
NADHANI WABUNGE PALE JIRANI WANAONESHA KUGUSWA PIA! OR WANAONESHA KUHISI SOON NAO YATAWAKUTA? OR WANAONA JUST SIO BIG DEAL! JUST HELP ME COZ NADHANI THIS IS TOO MUCH...
BUT AGAIN DAWA KUBWA NI CCM NAO KUHOJIWA KWAMBA WHY HAWASHIKI HATAMU JUU YA HAO JAMAA. NADHANI KAMA KILA CHAMA KITAWEKA TABIA YA KUWAWAJIBISHA WATU WAKE THEN ITAKUWA NGUZO SAFI YA USHINDANI.
POLENI SANA WABONGO WENZANGU! YANAZUNGUMZIKA HAYA!
G7
UK
jamani musigeuze mada humu ndani tatizo sio yeye kumiliki hisa tatizo ni jisi walivyo jiapatia hiyo tenda na kujiongezea mkataba wakati mwingine haujaisha na pili hizo hisa amenunua na pesa halali au ndio 10pacent yake?? kama amepata kihali sisi wabongo hatuna noma na vijisent vyake ila kama zina harusu ya rushwa au 10 pacent hilo ni tatizo na inabidi sheria ichukue nafasi yake bila kujali ni mzawa au ni mdosi
ReplyDeletejose morinyo
Sasa Michuzi, huyu Karamagi ana hisa 35 ama ana hisa 35%?
ReplyDeleteNa nyingine ni za nani?
Point hapa ni mtaji uliomwezesha kuwa na hisa katika kampuni hii. Yeye ni mwanasiasa, uwezekano mkubwa wa kupata mtaji kwa nafasi yake serikarini au katika siasa ni mkubwa. Turejee kauli ya Rais kuhusu hilo. Utajiri hatuukatai, umiliki hatuukatai, lakini kuwa hivyo kupitia siasa na nafasi serikalini ndio issue. wapo wanaofanya biashara nje ya siasa na wanafanya vizuri tu. Biashara na siasa kulikoni? viongozi wote wa kisiasa wamulikwe walivyozipata mali.Walitakiwa wafanye shughuli za kisiasa tu(angalia confict of interest) hata kama u mtendaji mzuri serikalini.
ReplyDeleteNa wewe Annoy unayesema hongera karamagi unatumia medulla yako kweli? Yaani mtu awe ni politician, amiliki share 35% halafu huyo huyo ndiye anaye-approve tender za serikali, Ni Mbunge anayetetea maslahi ya wananchi..hivi kwa akili ya mtoto wa miaka 5 huoni kuwa kuna-conflict of interest? I don't care wapi wanaweka hizo pesa, wizi ni wizi tu....hata kama unatoa mfuko huu na unaingiza mwingine...!! Karamagi ni Jambazi..aliingia kwenye siasa akiwa mfanyabiashara ili aweze kufanya vitu vyake kiulaini...sasa kwani akiziweka hapa Bank ya Tanzania hizo pesa zinakuwa zako? au za wananchi? Mbona hutumii akili?..........!! Bado ni zake na wewe "karigabagaho" huna hisa ya aina yoyote whether ziko Tanzania au Ulaya...tumieni akili jamani..mtafunguka macho lini. Kikwete kasema chagua moja...biashara au siasa....!!! Kuna ugumu gani wa kufanya hivyo kama si tamaa na wizi?
ReplyDelete