Home
Unlabelled
krini mpya bandarini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NCHI ILIINGIA MIKATABA MIBOVU YAKIKORA.SASA UPOFU WA WANANCHI UNAELEKEA KWENYE MAKENGEZA WANAANZA KUOGOPA WANAJIFANYA WANAONGEZA UFANISI. HAYA NDIYO YALE MAMO ALIYOKUWA ANASEMA WAZIRI MKUBWA KUHUSU SHIRIKA LA RELI KWA NINI HAWANUNUI VICHWA VYA TRENI WANAJIUNGANISHIA MADILI YA KUKODISHA ILI WAJILIPIE MABILIONI WENYEWE.INAWZEKANA UKUFUATILIA UTAONA HIZO CRANES ZIMEKODISHWA.HII NCHI KUWA NA KIONGOZI MAKINI WA KUSHUGHULKIA HAYO MATATIZO NI RISK SANA NAFIKIRI YANAITAJI ULINZI WA MUUMBA
ReplyDeleteWanakumbuka shuka alfajiri
ReplyDeleteExcutive Solutions acheni kufanya spin wakati ufanisi bandari unazidi kudidimia.
ReplyDeleteKwanza hizo cranes ni kongwe, siyo mpya kama inavyodaiwa.Techonology ya sasa haitumii cranes za aina hiyo, inatakiwa ziweze kufanya high stacking.
UTASIKIA BAADA YA MIAKA MITATU KUWA HAPO KUNA MTU ALI RICHMOND CHA JUU AKAPELEKA PWANI NI KAWAIDA KWA BONGO YETU.
ReplyDeleteHONGERENI KWA KUONGEZA UFANISI.
Hivi kwa nini serikali haioni umuhimu wa kuzipanua bandari za Tanga,Bagamoyo,Lindi na Mtwara?Nchi ngapi katika bara la Afrika pwani ya bahari ya hindi zimepata bahati ya kuwa na ukanda mrefu wa pwani (coastline) kama nchi yetu ya Tanzania?Kwa nini hatutambui kwamba hatuzitendei haki nchi za wenzetu ambazo hazina pwani ya bahari (landlocked countries)kwa kuendelea kutoa huduma duni na zisizoridhisha katika bandari ya Dar es salaam peke yake?Badala ya kupanua zaidi huduma hizo ili bandari zingine ziweze kutoa huduma hiyo mara moja?Naishauri serikali iitishe kikao na nchi wadau wote zitakazo penda kuzitumia bandari za Tanzania kupitishia mizigo yao.Nchi hizo zionyeshwe bandari zote ili wachague wenyewe.Kisha yawepo makubaliano ya pamoja katika kugharamia upanuzi na uboreshaji wa bandari hizo kwa pamoja.Nchi hizo zisitozwe ushuru wowote wa forodha kwa kipindi chote cha kitakacho kubalika lakini kisiwe chini ya miaka ishirini.Katika kipindi chote hicho nchi zote wanachama zitagharamia matengenezo na nguvukazi itakayo hitajika.Kila bandari itakuwa na Mamlaka yake ya Bandari.Hawa TICTS hawatufai na hawatatufikisha mbali.Hii iwe mwanzo na mwisho wa kutoa mikataba mikubwa na nyeti kiasi hicho itakayo wahusisha Mawaziri na viongozi wa ngazi za juu serikalini.Baraza la Mawaziri lisijifanye liko juu ya Bunge!Serikali lazima iwajibike kwa Bunge na siyo vinginevyo.Huu mgawanyo wa madaraka inaelekea kuna watu wanautafsiri vibaya ili kukidhi matakwa yao.Jambo hilo lazima likomeshwe.Vinginevyo tutakufa na Bunge.Nafikiri Sitta amenisikia!
ReplyDeleteHatima ya tz iko mikononi mwa watz wenyewe. We can make a change in which we can believe. Ni wakati sasa watu wabadilike. Festi ileveni ya timu ya CCM inatakiwa iwekwe benchi ili walioko benchi waingie uwanjani. Si unajuwa mtu aliyeko nje akitazama mpira huona muvu kwa urahisi na kuanza kusema 'si angepiga huku akampa pasi yule pale'!
ReplyDeleteNi wakati wa kuweka freshi blad kwenye uongozi. Vinginevyo tutaishia kuandika kwenye globu halafu maisha ya walipa kodi yakiendelea kudhoofika!
Kalaga baho!
karamagi mjomba wako nini?
ReplyDeletehizi crane sio za kisasa ,kwa banadari kama dsm inahitaji vyombo vya kisasa ,hawa jamaa serikalini wako busy kuiba pesa za umma, wananchi wenyewe wamelala usingizi hawaelewi hata katiba ya nchi ya nyerere ilisema nini? tulipoanza ufunguzi wa demokrasia kwanini vyombo vya serikali kama RTD,majumba ya umma walipewa ccm, mfano makao ya ccm dododma mbona wananchi ndiyo walijenga imekuwaje wapewe ccm, uwnja wa ccm kirumba please give us a break!!!!
ReplyDelete