Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vipi Kipanya ulikuwa kwenye semina 'Elekezi'nini?Maana sijakutia machoni kama siku mbilitatu hivi!'Um so broke that I can not even concentrate,Kp!'.By the way zile Bilioni Moja kisiwa cha Jersey Uingereza ni Visenti tu vya Juici na Vocha za simu!Nashangaa Wadanganyika kushupalia Visenti Vidogo hivyo,wamesahau Madini tulionayo nchini!Itabidi tuingize syllabus ya Bongonomics katika mchepuo wa Sakandari na ikibidi hata wa Choo Kikuu,au vipi?
ReplyDeletemichuzi kaka yangu naomba kukuuliza hivi unaweza kutolea katoon za kingo?ombi langu hasa ni HUU NI MJI,kama inawezekana basi sikumoja moja tuletee unajua tena mambo ya huku ughaibuni tuna miss sana vichekesho.Naomba kaka yangu
ReplyDeleteDon't worry KP this time next year everything will be in the Open, wenyewe kwa wenyewe watasemana tu!and we will certainly know wheather it is Dr.Slaa or Prof.Lipumba for a change.
ReplyDelete**You know i have always believed that MONEY is not an END,but just a means to an END -hauxtable.