WADAU KUNRADHI, MSIONE SPIDI YA LIBENEKE IMEKUWA NDOGO MKADHANIA VIPI. NI KWAMBA KWA SASA NIKO SAFARINI NANIHII NA NITAPOWASILI TU LIBENEKE KAMA KAWA.
KUNA MDAU KAULIZA KUHUSU MDAU WA MILIONI 4 AMBAYE ATAPATIKANA WIKI HII PANAPO MAJAALIWA. NIMESHAONGEA NA WAFADHILI NASUBIRI JIBU LEO USIKU.
TUOMBE MUNGU ATUFADHILI TENA LA KAMA ITASHINDIKANA BASI TUTASHEREHEKEA KAVU KAVU...


Nimepata tetesi kuwa upo safarini wilayani "tegeta" kushughulikia matatizo ya wana-wilaya yako.Haya Bw. DC nenda kawajibike nakutakia mafanikio mema.Ha ha ha ha
ReplyDeleteKaka michuzi na wewe umekuwa Vasco Dagama nini?kama rais wetu hahahaaaaaaaaa!aya mkuu haina noma sisi tupo tunasubiri hizo mpya.
ReplyDeleteTUNAJAUA KAKA UNAMFUATA JK USA. AAH MICHUZI WEWE UNAPEWA SAFARI ZA USA PEKE YAKO TUU!
ReplyDeleteDah Bro Michu naona unakula dunia na mafisadi akina Chenge, Kikwete etc huko China...
ReplyDeleteHaya Kaka
poa safari njema.
ReplyDeleteDUH MICHUZI KWA SAFARI UTAFIKIRI KIKWETE!
ReplyDeleteKAMA VIPI MDAU WA MILLION NNE UMPE ZAWADI YA KUKUPA COMPANY YA ONE OF SAFARIZ INSTEAD OF KAVUKAVU. IMEKAA VIPI HIYO?
aah Chuzi nae utafikiri Jakaya!!!?mguu na njia ndio maana hamuoni matatizo hme.Chuzi endeleza libenekeeeeee.
ReplyDeleteaah Chuzi nae utafikiri Jakaya!!!?mguu na njia ndio maana hamuoni matatizo hme.Chuzi endeleza libenekeeeeee.
ReplyDeleteNasikia baada ya kupata ukuu wa wilaya eti umeenda kufungua account nje ya nchi kwenye kisiwa cha nanihii katika ile benki ya nanii zilimokutwa $1million za waziri wa miundombinu.
ReplyDeleteNilijua tu michuzi atakuwa amesafiri...ni kwa jinsi ya ile picha ya TBL walipokwenda kutoa msaada kwenye shule ya msingi ilivyo-hang kwa masaa zaidi ya 24 jana
ReplyDelete