Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. BRAZA KIPANYA TUKO WOTE,NA MIMI NARUDI BONGO VERIII SOON,ANGALAU NIAMBULIE UBUNGE WA VITI MAALUM.
    HUU ULAJI LAZIMA TUGAWANE

    ReplyDelete
  2. Kazi ya uongozi utaipata Kp wewe!! Kama huna uwezo wa kuwahonga bia na mapilau watanzania hiyo itakuwa ndoto kupata uongozi ila kama unao uwezo utaupata kiulaini. Ila usisahau kwamba wakati wa kampeni unatakiwa uwaite wapiga kura wako waheshimiwa wananchi then ukishinda wewe ndiyo utakuwa mheshimiwa na utawakejeli unavyotaka, si unajua nchi haina muelekeo na pia wakati huo utakuwa umeshashiriki japo mikataba miwili ili kurudisha pesa zako za kampeni. Hivi CHENGE bado ni waziri huko tz? duh! ama kweli tz kisiwa cha amani na kisiwa cha mafisadi!! Haiwezekani mtu aite bil.1= vijisenti huku watu wakiishi kwa mlo mmoja na wakati huo huo anachwa aendelee aingie ofisini kufanya kazi. Watz mna matatizo gani? mbona waoga sana? au ndiyo mmefundwa akupigae shavu la kulia, mgeuzie na la kushoto!

    Angalieni! mafisadi watawomba mtandao wa tiGO ili muwasiliane vizuri.

    ReplyDelete
  3. Mimi sishangai kama ni hela zake. Lakini nachotaka kieleweke ni jinsi alivyozipata hizo hela na je amelipia kodi kiasi gani? Manake kama alizitengenezea TZ lazima alipe kodi kabla hajaziwekeza huko nje ya nchi. Hiyo ndio hela ya kihalali inavyotembea. Nadhani accountants wake wanpaper zote za kuthibitisha hayo.

    Na hawa sio wazalendo. Hawaipendi nchi yao kabisa. Kama unahela zote hizo kwa nini ukainvest kwenye nchi nyingine. Kwanini asiwekeze nchini kwako. JK kila siku akituembelea huku ni kubembeleza na kukumbusha watu tuwekeze nyumbani. Tuweke hela kwenye bank za nyumbani sijui niseme ni vipenny vyetu wakati wenye vijisenti bongo wanaekeza nje ya nchi.

    What a county tulio nje tunapeleka nyumbani na walio nyumbani wanapeleka nje ya nchi. Labda kuna kitu wenzetu mnachokijua huko siye wajinga hatukijui .....mtwambie....Nyie viongozi tena ndio mnakimbiza hela nje ya nchi sasa raia tutafanyaje?????

    ReplyDelete
  4. Halafu hawa watu bwana hebu jiulize ni lini umesikia mtu kama huyu amesaidia hata kitu kidogo tu kwenye shule au jamii kwa ujumla.

    Wako wengi tu hapo wanamihela mingi tu wameilimbikiza nchi za nje lakini hata kusaida kitu hawawezi mpaka MASHAKA asiye na hata kitu atoke huku kwenda kusaidia huko bongo.


    SHAME ON YOU PEOPLE

    ReplyDelete
  5. wacha kuweka hela nje kipanya hao viongozi wetu hata watoto wao pia wamewakimbiza nchi za nje na mabox hata hawabebi wanaishi na kutumbua maisha na pesa ya ccm.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...