Jumuiya ya watanzani ya washington Dc na vitongoji vyake, ikishirikiana na ubalozi inayo furaha kubwa kuwaalika katika sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Sherehe hizi zZitakazofanyika tarehe 04/26/08 katika ukumbi wa:
Mirrage Hall
uliopo 1401 University Blvd.
yattsville
Md 20783.
Wote mnakaribishwa!
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na Mwenyekiti
Steve Mhina 443-278-6119
Asante Kaka michuzi kwa msaada wako. Wewe mwenyewe unaalikwa Kama visa imekaa vizuri. Au kama tegeta wamekubana basi tumekusamehe!
the date is 4th month of 26 year of the lord 2008,holy ghost silly me,i thought april fools day was long gone - some mistakes really make us wonder
ReplyDeleteNot a mistake.....US ndiyo wanavyoandika tarehe zao...wakianza na mwezi then siku na kumalizia na mwaka.
ReplyDelete