Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kipanya,

    You never been far from the truth, instead of Government admitting mistakes they throw mad into a pond, they will never built a hut that way.

    Can someone tell them, it doesn't work that way. Is TRL saga a start of unravellings of series of mismanagement, dysfunctional, clueless government, playing politics with the people trust, there is a time people patient will start wearing down, when they will start seeing a ray of light from enclaved dungeon. There and then the government will be too late to see the chicken had already came home to roost.

    Can someone explain to me what is wawekezaji means in swahili, may be understanding of the word is too little, as far as understand, should be vice versa of what we are doing, handing out money to wawekezaji, it goes beyond the conventional method of defining this swahili word. It is a twist and turn.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  2. KP keep it up kazi yako impact yake haina maelezo. Hawa wahindi walipewa reli kwa bei ya kutupa sasa wanapewa mkopo kwa kodi zetu. Hiki ni kituko cha ajabu sasa sijui huo mkopo una hata hiyo riba maskini na sijui utarudi au ndio hivyo tena; mungu help us;

    ReplyDelete
  3. mchangiaji umesema ukweli kabisa, badala ya wahindi kewekeza (invest)ktk TRL serikali yetu ndo inawekeza kwa hao wahindi kwa kuwakopesha hata fedha za mishahara, yaani wahindi wanashangilia tu kwa kutupata sisi wa-tz midebwedo.

    ReplyDelete
  4. Kwani majameni wawekezaji wenye uwezo hamna? sasa hapo itakuwa tumewekeza au tumejiwekezea wenyewe?Tofauti ya TRL ya sasa na hapo zamani ilipokuwa ipo chini ya sirikali iko wapi? kama fedha za kuiendesha bado inatoka sirikalini?Kipanya upo sahihi,wakati wa kusaini mikataba huwa wanatumia kilevi.Hivyo wanagundua kuwa ni mikataba feki baada ya kilevi kutoka.Endelea kuuguza huo ugonjwa wako,kumbuka una ugonjwa usiotibika[richimondi], ila tunaoteseka ni sisi walala hoi.Tumechokaa !![Eazy]

    ReplyDelete
  5. usikute hao wahindi , ndio waliwaambia wafanyakazi wagome kwa kujua watapata hela hizo, na usishangae kusikia wamekimbia na hiyo minoti.

    Sasa serikali inafanya nini, kumbe ina hela nyingi tu, watu wanateseka mahospitalini, kila ofisi wakisema wagome, watalipa sh. ngapi ???

    Kuna haja ya kuangali uwezo wa wawekezaji, haya mambo ya kuuziana mashirika kwenye grocery haya Bwana ndio Tanzania yetu.

    ReplyDelete
  6. kaka Kipanya, unafanya kazi nzuri kweli kweli...hongera sana. sasa nenda basi kule kimara kuna njia moja ya king'ongo kule eti hiyo njia imetengenezwa mwezi uliopita njia za kuingi akwenye vimitaa mungu wangu ni kama unapanda milima ya usangu kisha mvua zimenyesha ilenjia sura yote imepotea ila njia nyingine ambayo kuna kitega uchumi na kgogo mmoja wao imetulia hiyo yani nisiseme mengi kimara njia hazifai wanachi wanadanganywa balaa .. kajionee kaka utoe kikatuni walau watashtuka. Please.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...