Home
Unlabelled
magwiji wakijadili hakimiliki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hapo hakuna staili ya kujadili wala kutafakari. Inaonekana huyo mwenye kikofia chekundu anampiga mzinga waziri.
ReplyDeleteAngalia alivyokunja sura.
Naona Bitchuka umri umekwenda. Nadhani anajiandaa kustaafu.
ReplyDeleteDuh!! kweli wazee wamechoka na wana haki ya kulilia haki miliki ili wafaidi vipaji vyao. Hivi mambo ya haki miliki yameishia wapi au wasanii nao wenyewe wamekuwa kama wanasiasa kwa kuendesha makongamano bila mafanikio yeyote? Naona wahindi siku hizi mmewashau kabisa au wameanza kuwalipa vizuri? tehee!! teheee!!! teheeee!!!!
ReplyDeleteBitchuka afanye collection ya nyimbo zake zote za huko nyuma katika DVD umaskini wote utamtoka!Kama hana pesa atafute ushauri haraka iwezekanavyo wapo watakao kubali kumsaidia,ikibidi hata makampuni ya nje!Wapo Wabongo Majuu hivi sasa biashara ya muziki wanaijua.Wakati ukuta ndugu yangu Bitchuka,anza kula matunda ya jasho lako sasa!Yasije yakakukuta ya wenzako waliokutangulia.Muziki wako ni mzuri sana na unauzika asikudanganye mtu!Ukisubiri hao jamaa wa Cosota sijui ujue utakufa masikini.Wewe siyo masikini.Utajiri wako unawanufaisha watu wengine!Bitchuka amua sasa!DVD zitalipa zaidi kuliko CDs kwa umri wak hivi sasa!
ReplyDeleteHawa ni wakongwe ambao kazi zao tumeziona na tumezikubali. Nasikitika kwamba kazi zao hazijapata warithi. Wanamuziki wa leo kazi yao ni kuiga wakongo. Wamewaiga mipigo, sauti na mpaka mwisho wameamua kuwaleta wazima wazima katika bendi zao. Ukija kwa hao wanaojiita kizazi kipya ndio usiseme. Wazungu si wazungu wabongo si wabongo. Wanaiga mambo yasiyo na maana imefikia wasichana wanaimba nusu uchi na wavulana chupi nje na kujishika nyeti. Hakuna ubunifu wa utunzi wala melody. Hakika TZ inaangamia kimuziki. Hongereni akina Bitchuka, Waziri etc.
ReplyDeleteHapo ndipo nilipowaambia ..mnawapo mahela kibao watoto wanoimba nyimbo za copy Bongo star Search .
ReplyDeletena kuwasahau wazee wenyewe walioimba nyimbo hizo.....
HAPO KILICHO KOSEKANA NI COLGATE MAANA HIYO HALUFU WANAJUA WENYEWE DAMN NASIKIA KICHEFUCHEFU....
ReplyDeleteBongo star search, tusker project fame na pop idols zinatatrtibu zinafanana lakini ya pili kwa vile imefanywa na wabongo waswahili wanatafuta maneno, acheni hizo.Na kwa taarifa Bongo star search peke yake ndio imelipia performing rights kwa copyright society of tanzania kwa hiyo waliotumiwa nyimbo zao watapata kifuta jasho
ReplyDelete