Mbunge wa Kuteuliwa, Al-Shaymaa Kwegyir (kulia) akisindikizwa na baadhi ya wabunge wa CCM na Ofisa wa bunge kwenda kula kiapo cha ubunge mbele ya spika wabunge, Samwel Sitta, bungeni mjini Dodoma leo
Mbunge wa kuteuliwa, Al- Shaymaa Kwegyir akiapa kuwa mbunge mbele ya spika wa bunge, Samwel Sitta, mjini Dodoma leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kanisaidia Airport huyu dada jamani!! Hongera sana.

    ReplyDelete
  2. ..mbunge wa kuteuliwa...! mimi naomba msaada, hivi huo wingi wa wabunge hautoshi kufanya maamuzi sahihi? kwa ufupi mi' nachanganyikana akilini..

    ReplyDelete
  3. WAJAMENI, MBONI SHYROZE BHANJI NAYE ALIGOMBEA VITI MAALUM VYA WABUNGE NA NILIKUWA NA UHAKIKA ATAPATA. SASA MICHUZI IMEKUWAJE?

    ReplyDelete
  4. Da Kwegya hongera sana!dah!umestaili muda kuwa bungeni ni dada wa pekee!Inshaallah mungu atakupa zaidi-amini!

    ReplyDelete
  5. HIVI HUYU DADA NI MDHUNGU!!!!!, MWARABU!!!! AU MACHO YANGU!!! MAANA JINA LAKE GUMU MNO. ANGEKUWA WA CHAMA PINZANI WANGESEMA EBU TUMCHUNGULIE UZAWA WAKE, ITS ALL GOOD BONGO TAMBARARE!!!!! MWE!!!!

    ReplyDelete
  6. Hongera mama. Ila huyu president wetu safi sana! Mazeruzeru wanauwawa katafuta mwakilishi wao akae bungeni, Wakongwe nao wanasumbuliwa kawawekea Kingunge Ngomaremwiru. Sasa mererani wanakufa na mafuriko muda si mrefu atateua mtu wa kuwatetea bungeni. Safi mkuu wa nchi we safiri tu, mbona kila mwenye matatizo unamwekea mwakilishi bungeni ubaki bongo kufanya nini, we apsua anga tu mkuu tunakushemu sana kaka.

    ReplyDelete
  7. Tarehe April 08, 2008 8:17 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Umenichekesha sana.... It seems hata humu bloguni tukilalamika sana atamteua mmoja wetu au Bro Mi-soup kutuwakilisha bungeni.....

    LMAO.......

    ReplyDelete
  8. April 08,2008 8.17pm umedata!!

    nimecheka bila kujizuia, ur so Fani!!

    ReplyDelete
  9. hongereni sana wabunge wapya ukishakula kiapo iliyobaki ni kuchapa kazi. haya waliosusia kikao wanaenda wapi wajameni. tuchague mbunge wa blog bwana mirojo unaonaje hilo?

    sweet

    Arusha

    ReplyDelete
  10. Duu we Anony wa Tarehe April 08, 2008 8:17 PM...fala sana, yaani umenifanya nicheke mpaka nitambae....kumbe ndiyo maana hata wenye matatizo ya akili wanawakilishwa na Mzee Makamba au siyo?

    That was a real good laugh though...

    ReplyDelete
  11. Huyu ni mtasha, ila alizaliwa Bongo kwa hiyo msianze hapa mambo ya ooh uzawa, tuanglie uraia ...ni mbongo

    ReplyDelete
  12. Dada Shaymana hongera sana, nimefurahi sana nitikutafuta kwasimu, tuongee zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...