WADAU HAWA PAMOJA NA UMRI NI SAA TISA NA ROBO LAKINI HAWAKUKATA TAMAA WAKAAMUA KUENDEKEZA LIBENEKE KWENYE KUSAKA NONDOOOZ.
HAPA NI KATIKA MAHAFALI YA CHUO KIKUU MZUMBE CHA MJI KASORO BAHARI WAKATI WALIPOVUTA NONDOZZZ ZAO ZA MASTERS DEGREEHIVI KARIBUNI. TOKA SHOTO WADAU HAWA NI KIMOLA, KIKWAPPE NA BAKUNDA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mh mmependeza, lakini kweli elimu haina mwisho, hata wale wazee wenzangu msikate tamaa! BIG UP!

    ReplyDelete
  2. Kaka Kikwappe hongera sana. Japo naona ume-change mno, mwili unaonyesha kuelekea kwenye ufisadi. Nawaombea Mungu mjenge nchi mjiepushe na ufisadi.
    Wako, Jacinta Mote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...