hapa ni jicho la ndege linavyoona toka angani katika mojawapo ya majiji ughaibuni. nadhani kila mdau wa bongo anaomba siku ambayo wadau wa mipango miji watajifunza toka kwa wenzetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Chenge?!

    ReplyDelete
  2. Eti mji uliotukuka!!nani kakuambia duniani kuna mji uliotukuka?kila siku mabomu,vita,osama.. na hata raha hakuna,mji uliotukuka ni mbinguni tuuu!!!hakuna cha marekani wala wapi...kyekue

    ReplyDelete
  3. Mabadiliko yanawezekana lakini mpaka sisi wenyewe tukubali kubadilika. Kama kweli tunataka mabadiliko ni kuhakikisha viongozi wote mafisadi hawapati nafasi ya kurudi madarakani.
    Kura zenu ndizo zinanoweza kuleta mabadiliko. Lakini mking'ang'ania `kidumu' mtadumu na hali hii hii daima dumu
    m3

    ReplyDelete
  4. Tunaomba wilaya ya Tegeta ifanane hivi siku zijazo, chini ya usimamizi wako!

    ReplyDelete
  5. Michu, acha kubabaisha watu. waambie kweli kwamba hapo ni kwetu Bumbuli, Wilayani Lushoto mkoani Tanga na nyumba yeti ni ileee paleee...teh teh.

    ReplyDelete
  6. TATIZO SIO MABADILIKO YA MIUNDOMBINU BALI NI MABADILIKO YA SOFTWARE ZILIZOMO VICHWANI MWETU. WENGI WETU TUNAKAA NA KUSUBIRI SIKU MOJA TUAMKE TUKUTE MAMBO KAMA ULAYA NA USA BILA HATA KUJITUMA NA KUBUNI MAMBO MAPYA!
    NINGEKUWA NAWEZA NINGEWADELELETE WATU WOTE MUNAODHANI MABADILIKO YANASUBIRI JK THEN NIKAWALETA WATU WENGINE AMBAO KILA SIKU WATABUNI NA KULETA MAMBO MAPYA KUANZIA NYUMBANI KWAO.
    HAO WAZUNGU NA MIJI YAO NA KILA KITU NIKWASABABU WANAJIBIDISHA KUTAFUTA SOLUTIONS NA KUZITEKELEZA. LAKINI WEWE HATA NJIA YAKURUDI NYUMBANI UNATUMIA SAME KILA SIKU UTAFIKAJE HUKO UTAKAKO UFIKE WAKATI HUJIBIDISHI KUTAFUTA UFUMBUZI,: FALJUNUUN FUNUUUN.

    g7
    UK.

    ReplyDelete
  7. aah Michuzi mbona hapa kunafanana kabisa na ile picha uliyotuwekea inaonyesha nyumbani kwako,ambapo nje watu wanacheza PULI.Ukiangalia vizuri hapa ni sawa na mitaa ya kwenu kaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...