profesa ali mazrui akisalimiana na rais mstaafu mh. benjamin mkapa alipotembelea bongo mwaka 2005. chini akiwa na familia yake
profesa ali mazrui ni mmoja wa wasomi wa afrika wanaoheshimika duniani kote. sio vibaya kama ukiojua wasifu wake pamoja na maandiko kwa kumtembelea kwenye tovuti yake binfasi kwa kubofya hapa.

Huyu jamaa akili kama mchwa, sema sisi waafrika kuwatupa wasomi wetu ni kama kawaida.
ReplyDeleteUshauri wake, kuhusiana na mambo ya Afrika, katika milolongo ya kisiasa ungekua ukisilizwa tungefika mbali sana.
icon wa Afrika
Watoto wake bado wadogo compared na umri wake.Nadhani kachelewa kuvuta jiko kiaina.Hongera sana Profesa.Watu kama hawa ni hazina ya Africa.
ReplyDeleteHuyo Mkenya maneno matupu...manaake debe tupu hupiga makelele mengi!hata kwao hawakumsikiliza na mwalimu wetu alimwambia afunge virago,ndio maana kwa muda mrefu alihamia kule kwa wabeba maboksi,na mke kachelewa kidogo manaake aliwadoelea zeru zeru kule ughaibuni!!!kweli...
ReplyDeletehuyu mzee nilikua nafagilia sana program zake wakati nipo kule zanzibar nilikua namfananisha na mhe ali hassan mwinyi.
ReplyDeleteProf.Ali Mazurui
ReplyDeleteatuwezi kusema heti ni bingwa sana!kama vile Prof.Commred Abdulrahman Babu na wengio,Tatizo kubwa la Mzee Ali Mazrui aliukumbatia sana Uarabu(pro-Arabu)kuliko uafrika,
na hili ndilo lilomfungisha virago Bongo na kwenda ughaibuni.
Kule kwao Mombasa ndio hoi kabisa hana alichokifanya
Nakubaliana na mtoa maoni huyo juu
ReplyDeletekuwa Professor Ali Mazurui,hatuwezi kumwita bingwa,au kumfananisha na marehem Professor Abdulrahaman Babu! hata kidogo,
Pamoja kuwa wote wawili wana sifa zinazofanana katika maisha yaani kufungwa Jela!
lakini Professor Comred A.Babu alikuwa muwazi yaani alikuwa anaelezea wazi kuwa kishawai kufungwa na wakoloni na pia na utawala wa Tanzania!Mazurui Hawezi kuelezea kuwa kishawai kufungwa huko Kenya na utawala wa Kinyatta!
Professor Babu,alikuwa mwanamapinduzi sio "mchora ramani tu" ya mapinduzi tu bali alikuwa anashiriki kivitendo "Front Line"
katika mapinduzi mengi si Unguja,hadi Eretria,pia wanamapinduzi wengi walikuwa wakienda kuchota maarifa kwa Commred Abdulrahman Babu.
Proffesor Mazurui ni mtu wa Nadharia siyo vitendo
Harafu Wagirihama kwa kupenda kuoa visichana vidogo dogo!
ReplyDelete