Home
Unlabelled
mkoa wa kagera watoa asante kwa wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya! hongereni wana kagera ila msifanye ufisadi ili kupata pesa za kuchangia.
ReplyDeleteWengine nao wajifunze hasa ndugu zangu wa Pwani
bora safari hii wameamua kufanya la maana kidogo,sio kuishia kwenye majigambo tu ya kwenye michango ya harusi na sendoff alafu mji wao hawauendelezi,jitahidi wakina rwekiza,buberwa,kaishozi,mutabaji n.k ili kagera iwe jiji
ReplyDeletehaya ndio mambo tunatakiwa kuyaona nchi nzima, citizens taking matters at their own hands na sio kusubiri ufadhili. Mpaka lini tutategemea misaada kutoka nje? Watanzania inabidi tutilie umuhimu swala la elimu na sio mashuleni tu, hata 'after school hours' vipindi vya Televisheni viwe na mwelekeo wa kielimu kuchangamsha ubongo wa vijana wetu na kuinua 'exposure', na sio kuwa na ushabiki ktk masuala ya 'muziki, na udaku' ktk vipindi vya TV na magazeti. Kijana wa form 6 unaweza kumuuliza Global warming ni nini na akashindwa kukujibu. We need to create future minds; inventors and innovators. We have to be serious and stop meaningless ushabiki ktk masuala ya udaku.
ReplyDeleteDr. Rutachunzibwa,
Okinawa Institute of Science and Technology, Japan
mkoa wa kagera huwa hauna matatizo ya madawati hata kidogo labda vijijini
ReplyDeletemi nimeanzia kusoma bukoba- rumuli na sikujua kama kuna matatizo ya madawati tz mpaka nilipohamia mkoa mwingine
nshomile wanajitahidi nawapa hiyo kwenye madawati na ubora wa shule
Naungana na wanaopongeza juhudi hizi,tena naomba liwe ni jambo endelevu,yamkini si wote waliotarajiwa kushiriki uchangiaji wameweza kufanya hivyo kwa sababu mbali mbali,ikiwa ni pamoja na kukosa taarifa za kuwepo kwa uchangiaji huu,hivyo wapewe fursa tafadhali.
ReplyDeleteNatumaini jitihada hizi zitalenga pia kuhuisha THE UNIVERSITY OF BUKOBA,pengine si ajabu akina Dr... mlioko Japan,mkarejea kufanya kazi katika chuo hicho.
Mdau,
Finland
bado mji uko nyuma sana na ndo maana kina nshomile wamehamia mwanza. kwa michango hii wanaweza kuleta ahueni.
ReplyDeletemsifanye hili mara moja. iwe mara kwa mara. majigambo yasiishie mdomoni. mnajisifu nshomile wakati hata vyuo hakuna. sijui mlisoma wapi na mnataka watoto wenu waende wapi.
Dr. Rutachunzibwa! Unatisha mzee!
ReplyDeleteAroo mimi Prof. Rwechungura wa university of Angani sikupewa taarifa? kwa nini wamenibypass? Sasa kwa jeuri nitachanga dola milioni 1 na nitazipitisha kwa bwana michuzi ili aziwasilishe kwa wahusika. siku nyingine tupeanane tarifa wote akina nshomile kwani kwetu pesa siyo tatizo
ReplyDeleteOne gets frustrated kurudi kwani serikali yenyewe haina mfuko madhubuti wa kuchangia scientific research katika vyuo vyake. Jitihada za harambee kama hizi nadhani baadaye zikiwa'channeled vizuri zitaweza kusaidia kuwapatia 'grants' wanasayansi waTZ kufanya au kuanzisha research in natural sciences kwa mf. Tatizo pesa zitolewazo na serikali ni kwa ajili ya research za demographics/population studies, social health care issues, utandawazi nk. We need our own solutions to our own problems, we can't afford to import every bit of technology without us contributing to our own. Innovation drives development. Why can't we build our own pharmaceutical industries, processing industries, diamond cutting industries etc. Inabidi serikali iingilie kati na kusaidia hasa hasa scientific development na sio kupoteza fedha za umma ktk safari na semina kibao bila kuleta results. Pump money into biofuel research, wireless technology, molecular cell biology na vitu kama hivyo ndipo tutarudi. Lakini jitihada za wananchi zinanitia moyo, hasa hasa kuinua elimu ya kati (sekondari) kwani mpaka sasa kila mwaka asilimia 75% ya Form 4 graduates wanapata divisheni 4 na 0. Ni nchi gani tunatengeneza? Wazazi pia tuhimize watoto wetu ktk after school studies (si maanishi tuition), tuwahimize vijana wetu wawe members ktk maktaba, wasome literature, philosophy na vitu kama hivyo na sio kuwapa pesa kununua magazeti ya udaku (Ijumaa, Uwazi nk) au kushabikia eti Bongo Star search, big brother, urembo. Hamna nchi inayoendelea kutokana na hayo mambo. Ilinishangaza kuona Waziri akiwa kwenye VX akisoma gazeti la udaku.
ReplyDeleteE Byarugaba, PhD
Infact kagera tunaweza leta maendeleo makubwa sana kama walioko ng'ambo wakichangia zahid,nshomile wengi tunaish na kuleta maendeleo nchi za watu wengine,umefika wakat wa kukumbuka nyumban.
ReplyDeleteHongera wote waliochangia.
Mdau
Chicago
United States Of America
inashangaza sana mkoa wa kagera una wasomi wengi sana kulinganisha na mikoa mingine!ila cha ajabu katika huu mkoa maendeleo ni ziro!nshomile mnafanya nini ndugu zangu!MUNGU amewapa nafasi nzuri ila hamuendelezi mkoa wenu!
ReplyDeleteMdau!