TUNAKUSHUKURU SANA KWA KAZI NZURI UNAYOIFANYA KWENYE BLOG YETU YA JAMII NA TUNAYAONA MAVITU YAKO KILA DAKIKA.
MIE NAMTAFUTA RAFIKI YANGU WA DAMU AMBAE TUMEPOTEZANA FOR TEN YEARS NOW KWA MARA YA MWISHO NILIONANA NAE DAR 1998, ANAITWA GODFREY JOHN MBARUKU NILISOMA NAE GALANOS SEC BAADAE ALIENDA HIGH SCHOOL MAZENGO. WAKATI HUO ALIKUWA ANAFANYA KAZI KIBO BREWERIES.


Security:: Agreement:: Humu tumekubaliana anayemtafuta mtu atume 'takwa' lake likiambatana na picha na jina (anuani umetoa). Mie namfahamu, ila nina mashaka (?)
ReplyDeleteSEV
Aksante mtuma maoni wa kwanza naitwa Pashency naishi London nitashukuru sana nikipata contact za huyu rafiki yangu
ReplyDeleteUmenikumbusha huyu mtu nimesoma naye Mazengo alikuwa mwanachama mzuri wa Msazengo ha ha haaa!! nami mara ya mwisho kuonana naye alikuwa anaishi Lugalo Jeshini.Kweli Blogu ni kubwa na inakutanisha watu wa kila aina
ReplyDeletekwani mtu anayemtafuta jamaa yake ni lazima aweke picha yake? sio picha ni kwa anayetafuta mwenza? kaka mithupu naomba nieleweshe hapo
ReplyDelete