mwanakijiji maggid mjengwa baada ya kumaliza mbio za nusu marathon ya kilomita 21 asubuhi hii hapa dar. ametumia saa moja na dakika 52 ambayo ni rekodi yake binafsi. kwa niaba ya wadau wote tunakupa hongera mwanakijiji pamoja na kaka luihamu ambaye naye alimaliza bila kuchemsha rejeta. mie nilikuwa nanihii kunanihii, hivyo sikuwepo azawaisi ningepiga mbio...

Hongera mwanakijiji mwenzetu Magid kwa kazi nzito uliyoimaliza.... Duh kumbe upo fiti mtu wangu, wengine tungeshiriki basi hata pale kona ya Mwananyamala ingekuwa shughuli kweli kweli.... wakuu mmekula basi ruti kama nne flani....
ReplyDeletehongera sana kaka yangu maggid
ReplyDeletemdau
HILD
Michuzi na maggid nyie wa2 cool sana! nawafagilia sana.. nikija bongo lazima niwaone..
ReplyDeleteT Texas.!
Bora ulikuwa nanihii kunanihii hivyo kushindwa kushiriki kwenye mbio hizo. Mara ya mwisho ulikimbia mwaka gani? nadhani kama sikosei ilikuwa miaka 18 iliyopita ulipokuwa Form IV kwenye yale mashindano ya shule ya kukimbiza kuku wa kienyeji.
ReplyDeleteBado Watanzania tunakuhitaji hivyo kila ukisikia kuna mbio hata za masafa mafupi, kama vile mita 50 ujiendee zako nanihii kunanihii usije ukaanguka bure ikawa tafrani.
Hongera sana Maggid!!
ReplyDeleteMimi nimecheza sana riadha na ninaelewa huu si mchezo lelemama!!!
hongera sana kaka ila mara nyingine ukishiriki tafuta fulana iliyo nyepesi.
ReplyDeletehiii!hiii!Maggid hongera sana!!!
ReplyDeletemwanakijiji kwa kutuwakilisha!
Heti Kumbe Mzee Small wa Ngamba na Majuto nao waarishiriki?
hila aliyemaliza alikuwa KINGWENDU!
hiii!hiii!Maggid hongera sana!!!
ReplyDeletemwanakijiji kwa kutuwakilisha!
Heti Kumbe Mzee Small wa Ngamba na Majuto nao waarishiriki?
hila aliyemaliza alikuwa KINGWENDU!
misupu pamoja sipati picha ngoma ingekuwa vipi, maana fegi na kufukuza upepo ni vi2 viwili tofauti!
ReplyDeleteJamani sasa hizi talenti kwanini hatuzilei ili baadae tupate akina Ikangaa, Nyambui na Bayi? Mimi natamani kuona wabongo tena wakidomineti hii field.
ReplyDeleteMdau - Boston, US