Kwanza Natoa Pongezi Zangu Nyiingi Kwako Kaka Misupu Kwa Kazi Nzuri Unayoifanya Kwa Jamii Nzima. Endelea Na Moyo Huo Huo Kaka Mungu Atakuzidishia Kwani Bila Wewe Tusingefumbua Macho Na Kuona Vinavyoendelea Nyumbani.
MUNGU MBARIKI MISUPU AWE DIKO DIKO.
Kaka Mimi Niko Hapa Sweden Nachukua Diploma Ya IT Katika Chuo Kimoja kiitwacho KHT. Sasa Basi Kuna Kaka Yangu Mmoja Niliambiwaga Yupo Hapa Sweden Nimejaribu Sana Kumtafuta Bila Mafanikio Kwani Kila Niliebahatika Kumuulizia Hamfahamu Ila Kupitia Blog Yetu Hii Jamii Natumaini Anaweza Bahatika Kuona Huu Ujumbe Na Kufanya Mawasiliano Kwa E mail Yangu Hii
Au Anaweza Nipigia Simu Hii Hapa
0767099032.
JINA LAKE ANAITWA RASHIDI CHIKILINI NAOMBA UWASILIANE NA MIMI KAKA UONAPO HUU UJUMBE.......
NI MIMI MZEE WA KUNAWA
iihweee!! Kwa Blogu hii ilivo maarufu lazima umpate...afu iyo namba ni ya fokodau, kweli romingi tamu nkajua napigwa changa...mzee mnakula voda mkiwa mbali ivo, soon na Maalim atakula tiGO akiwa Uarabuni! ahahah nadhani muda si mefu dunia itakua kijiji kimoja, Blogu moja
ReplyDeleteAcha ushamba wako hakuna mtu atakupigia kwenye simu ya bongo,sisi tuko uswidi lakini tunakucheki tu maana wewe ni TP.TAFUTA MSAADA SERIKALINI MEN AU KWENYE CRAIG LIST
ReplyDeleteMDAU HAPO KATUPIGA CHANGA LA MACHO HIYO NAMBA NI KWELI YA VODACOM LKN HAIPO KWA VODACOM.
ReplyDeleteNI MIMI MDAU VODACOM MBEYA OFFICE
kama hujui kaka yako alipo, basi huyo siyo kaka wa maana, acahan naye, halafu utakuaje Sweden na utumie namba ya bongo?
ReplyDeleteWadau wengine bwana.. yaani tu kuona 076.. mkajua VODA. Namba hiyo inaanza 0046 halafu jazia na hiyo VODA.
ReplyDeleteMijitu mingine bwana,nyie mkiona namba zinafanana na za kibongo basi kelel mtindo mmoja,kule houston kuna namba zina area code ya 713,kwa hiyo nayo mtaiita ni simu ya TIGO?
ReplyDeleteWabongo kweli sijui tutakuwa lini,lol
msimshambulie bure jamani, hiyo number ni ya Sweden, na I guess itakuwa ya Tele 2 Comviq.
ReplyDeleteWAMAKONDE BWANA!!! NA MAJINA YAO YA AJABU AJABU !!! HUYU ANAITWA CHIKILINI - KWA KIZUNGU SCREEN, PENGINE SIR NAME YAKE NI CHINEMA. BIG HOLLA TO CHIBIRITI..
ReplyDeletewe anonmy unayeeleza majina wa wamakonde, umenifanya nicheke mpaka basi! Yaani jamaa sir name ni CHINEMA! ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteHivi lini serikali itaanzisha elimu ya bure kwa kujiendeleza kwa knowledge au hata busara......manake naona humu tunabanana na wajinaga wajinga tu...I am sorry to say that ....lakini nyie kuona tu number imeanza na 0767 basi makajua voda...get knowledge people.....msijifanye wajuzi kumbe hajui kitu chochote ...
ReplyDeleteSometimes nasema thanks to God niliweza kutoka nje ya nchi nikaondoa matongotongo...sijui na mimi nilikua mjinga hivyo nilivyokua naishi bongo..?????
Watu wanajifanya tumepigwa changa, sijui huyo sio kaka yako kweli...who cares...kama sio wewe uanyetafutwa kawanini usifunge bakuli lako....and mind your business...???
Wengine kwenye computer hamna la kufanya ni kungia kusoma tu kutwa nzima humu kwenye blog ya Michuzi...matafute wa kumtolea hasira...mkina mtu anaongea tu kutoka nje ya bongo basi sijui manafikiri si show off!!!!
Halafu wengine kila siku kikiwekwa kitu huku wanakimbilia wikipedia.com kutafuta infomation na kuja kusema ohhh unatudanganya nimeona this is this ....Nyie watu.....kuna mambo mengi ulimwengu huu sio ya kugooogle tu na kupata ukweli....kuna mambo mengine yanahitaji hands on, kuona na kusikia .....ukitegemea internet ndio itakufundisha kila kitu...now what....0767 mmeshakalia kuwa ni Voda....ELIMIKENI
Jamaa hapo juu anaye eleza majina ya kimakonde kafanya nyumba nzima kuamka maana nimecheka basi chinema hii kali big up
ReplyDeleteUmeanza na bold ututushie HTML code, ok Wewe Anon April 05, 2008 12:31 AM nimekuBOLD kikwetu AM na wenzako hapo juu mnakosea jambo moja. NYIE NDIO HAMJUI MSEMALO! We fikiria unatangaza kupotelewa kaka afu unaweka namba pungufu mi namba yangu nikitoa tangazo la kimataifa si 0713123456 bali ni +255 713 123 456, huwezi Kurupuka na tangazo la kimataifa ukaweka kanamba kako kasiko na ufafanuzi, ivi unadhani mi nna muda wa kujua namba za nchi nyingine zinaanzia wapi, na wewe mzushi wa USAriva hiyo 713 inaanzia na ngapi au unakurupuka tu. Mi najua mtu siriaz km anamtafuta kakake na hajui alipo asingeweka namba ya wanaojua ni waswideni tu, halafu huwa ukitafuta kitu km mtu unatoa na namba mbadala kadhaa (huamini pita matangazo yote ya vitu siriazi) ye amepachika namba lake tata, haa!
ReplyDeleteHuko nje ya TZ mnadhani dili? sisi tunakamua hapahapa!
ACHENI UGONJWA WENU WA ABUSIVE BEHAVIOUR, YEYE AMEWEKA NAMBA YAKE KWA AJILI YA KAKA YAKE ALIYE SWEDEN NA HUYO ALIYE SWEDEN HAIWEZI KUPIGA HIYO NAMBA AKAWEKA CODE YA SWEDEN, ATAPIGA KAMA ILIVYO.
ReplyDeleteUSHAMBA UMETUJAA WABONGO NA UNATUTIRIKA MPAKA MASIKIONI.
KAMA WEWE HIYO EMAIL HAIKUHUSU SIO KAKA YAKE WALA HUMJUI KAKA YAKE MNAKANDYA HUYO JAMAA WA WATU KAKOSA NINI? HUU SI WEHU HUU NA USHAMBA NA KUKUOSA KUFIKIRI.
HEBU TUACHE TABIA ZA KIJINGA ZA KUONEANA WIVU USIO NA KICHWA WALA MIGUU! KAMA HUMJUI HUYO KAKA YAKE SHUT UP! KAMA UNAMJUA MSAIDIE, NINA UHAKIKA WENYEWE WATAKUWA WAMEWASILIANA HUKO WALIKO KAMA KAKA YAKE AMESOMA HIYO MSG KWENYE BLOGU. GROW UP, NI UTOTO TU NDIO UNAWASUMBUA NA MKIKUWA HIZO TABIA MTAACHA!
wewe April 05, 2008 12:28 PM ndio hujui kabisaa, umeona mwenzako juu amesisitiza nini? kama anajua kaka yake yu swedeni akatangaze swideni huko, mi najua unaposema unatafuta maana yake hujui yu wapi, kakake anaweza kuwa Cuba pia ndio maana akaweka huku, unajidai unajua namba, basi na hii ni ya stokholm hii apa 0711454545,Unabisha? huwezidhania mi nawezajua namba ya wapi kirahisi hivyo, hawa wabongo wengine ukiwaanzia +255 hawajui so ni heri uweke kamili, mi sina Menhi ila mwenyewe angalia namba ya tangazo la Seattle, Hatukandi bali anatakiwa ajifunze! Usirudie tena!
ReplyDeleteKwa kweli ninaumwa lakini nimecheka hadi basi, mhh Jamaa wa hapo juu na majina ya kimakonde!! umeniacha hoi sina mbavu. Chikilini bin/bint Chinema!!!!!!! Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Keep it up. U are intellectual
ReplyDeleteMdau Groningen!
Haaaaaaa. Chikilini wa Chinema mdau umenifurahisha sana na hayo majina ya Kimakonde. Nimecheka hadi kichwa kinaniuma . Yaani huyu mmakonde kweli kanifurahisha. Hahahaaaaaaaaaaaaa uwwwh.
ReplyDeleteKwanza nyie watu wa blog hii mmedata. Hivi kitu hakiendi bila comment? Nimeona hili tangazo la mtu nikashangaa limewekewa maoni. Ikabidi tu niangalie kuna nini. Hivi jamani lazima useme kitu kwa kila jambo? Grow up!
ReplyDeleteHebu angalia hata kinachoandikwa na matokeo yake mnavunja watu mbavu,HUYU ANAITWA CHIKILINI - KWA KIZUNGU SCREEN, PENGINE SIR NAME YAKE NI CHINEMA. BIG HOLLA TO CHIBIRITI. Haya yanakuhusu nini kwa mfano? Kwenu hakuna majina ya ajabu ajabu? Hebu weka lako tuone. Shenzi type! Achani ujinga humu. Kaka Michuzi nakereka sana na hii tabia.
Naomba uone namna ya kuchuuja yanayotolewa na wadau wa humu, usibandike kila kitu. Ila hii yangu wawekee mabwege hawa wajifunza, maana elimu si lazima uende darasani.
NAUFUNGA MJADALA
ReplyDeleteKwanza Kabisa Nawapa Asante Sana Wadau Waliojaribu Kuwaelewesha Hawa Vichwa Maji Wa Blog Yetu Ambao Wanapenda Sana Kudandia Hoja. NIKIANZA NA NAMBA NILIIANDIKA 076 KWA SABABU HUYO MTU NINAEMTAFUTA YUKO NDANI YA SWEDEN SIKUONA HAJA AU KAMA INAHITAJIKA 0046 AU + NAZANI HATA NYIE VICHWA MAJI HAPO MLIPO HAMTUMII + KWA SIMU ZA NDANI. PILI KUHUSU VODA HII NAMBA SIO VODA NA HIO VODA SIO YA TANZANIA KAMA MNAVOIPIGIA KIFUA PIGIENI KIFUA TTCL VODA NI WORLD WIDE JAPO ULAYA NI VODAFONE .MWISHO HUO UJUMBE KAMA NYIE VICHWA MAJI HAMJUI KISWAHILI NILISEMA KAKA UKIONA HUU UJUMBE NIPIGIE SIMU HII..... SIAJASEMA JAMANI KAMA MNAMJUA NIPIGIENI SIMU HII.. KIUFUPI UJUMBE ULIKUA NI WAKE KUPITIA HAPA NA ILINISAIDIA SANAA KWANI MASAA MAWILI TU TANGU MICHUZI ATOE HUU UJUMBE ALINIPIGIA SIMU HUYOO KAKA YANGU. ASANTE MZEE CHIBIRITI bin CHIGARA .. MUNGU IBARIKI TANZANIA HASA WATU WAKE
Vizuri kama umempata nduguyo, maana ulaya kama huna umjuae utafia ndani maiti itagundulika baada ya mize mitatu tena hapo baada ya kutumiwa bill wakaona huzilipi ndio waje kuchukua vi2 wanakuta maiti.
ReplyDeleteKwa kweli hili jina na limenifurahisha sana yaani nimecheka hata huyu mzungu ninayeishi nae amebidi ashangae na kumuelewesha siwezi.. damn that comment made my day..