
Mtoto Samuel pamoja na kamati yake ya matibabu wanapenda kutoa shukurani za dhati kwa wadau wasamaria wema wote waliojitolewa kwa hali na mali ndani na nje ya nchi kufanikisha harambee hii ambayo imezaa dola 8,000 taslimu.
Shukrani maalumu za kamati zinakwenda pia kwa mdau Jimmy Kihwele wa Wichita, Marekani, ambaye mara baada ya kuona tangazo la mtoto Samwel alianzisha blog maalumu na kuweza kufanya harambee huko aliko ambayo pia imechangia kujazia katika gharama za matibabu.
Tovuti ya mdau Jimmy ni http://www.jifunze.com/FundRaising/ ambayo pia inaweza kutumika katika kukamilisha gharama. ASANTE SANA JIMMY KIHWELE PAMOJA NA WASAMARIA WEMA WOTE WA HUKO KWA MICHANGO YENU YA HALI NA MALI. NI MOLA PEKEE ATAEWALIPA KWA USAMARIA WENU
Hata hivyo, baada ya juhudi za miezi kadhaa na kama hesabu zinavyoonesha hapo juu pesa za kukava gharama hazijatimia zote na zimepungua dola 4,000 ili kukamilisha kila kitu.
Kwa unyenyekevu kamati inaomba msaada zaidi kupitia namba ya akaunti ifuatayo kwa atakayependa kuchangia ili kufanikisha zoezi hili.
Account Holder:-- Samuel Emanuel
Account No.5819762620
Exim Bank,Clock Tower Branch
Zifuatazo ni picha mbalimbali za mtoto Samuel Emanuel Nkya katika nyakati tofauti wakati wa utoto wake na awamu mbalimbali za athari za tukio la kuungua kwa dawa alipokuwa akitibiwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivi sasa, Samuel ana umri wa miaka minne na nusu. Chini kabisa ni maelezo kamili na gharama za maradhi yake kama ilivyoanishwa na hospitali husika ya huko India
Account No.5819762620
Exim Bank,Clock Tower Branch
Zifuatazo ni picha mbalimbali za mtoto Samuel Emanuel Nkya katika nyakati tofauti wakati wa utoto wake na awamu mbalimbali za athari za tukio la kuungua kwa dawa alipokuwa akitibiwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivi sasa, Samuel ana umri wa miaka minne na nusu. Chini kabisa ni maelezo kamili na gharama za maradhi yake kama ilivyoanishwa na hospitali husika ya huko India
Dear Mr.Imanuel,
Please find below the opinion of Dr.Sitaram Prasad.
Quote: Dear Mr. Imanuel,
This is Dr. Prasad from Wockhardt Hospital. I have seen the photographs of your child. Your child has most likely suffered from acondition called Cancrm Oris. This is a disease that destroys alltissue that it infects. The defect that it has left behind requiresmultiple reconstructive procedures.
We start by replacing all the skinand inner lining (mucosa) that has been lost in the disease process. One of the options we have is to do a mcrovascular flap. Whatever hasto be done, it will have to be planned carefully, keeping bothcosmesis and the child's future growth in mind.
This is one reason whyI have suggested to saurav (our International Marketing Manager to send you the estimate for a level 7 surgery. Once I have examined thechild both by photographs and physically I may change my plans anddowngrade the level of surgery.
I thought I would communicate with youdirectly, since we would require to wxchange views and communication. You may please mark a copy of each of your communication to me to Saurav as well
Sinc, Dr. Prasad: Unquote
As per the opinion above by Dr.Sitaram Prasad , the estimated package cost for the surgery would be 10200 USD for a stay of up to 20 days in a private room, where a companion can stay with the patient. Our Package Cost includes the following additional services besides the cost of the tests and procedures mentioned above: -
(i) Internal transfers by AC Car to and from the Hospital to Bangalore international Airport on arrival/ departure
(ii) Initial consultation with the Surgeon/ Physician on arrival at the hospital
(iii) Standard pre-surgery tests, including X-rays, scans, as required
(iv) Standard pre / post surgery medication
(v) Stay in an AC room for the number of days indicated against the package. One companion can also stay with the patient in this room, which is equipped with Colour TV, connected to Cable.
(vi) Our Guest relations officer provides priority facilitation to overseas patients during their stay at the hospital.
(vii)A comprehensive written medical report before discharge
(viii) A personal dietician who will advise the patient throughout the stay and advise F& B to serve from a special international menu of food and beverages for the patient.
(ix) Post discharge consultation if required after patient's return to his home by email/ telecalling ( review of scans or X Rays, telephonic consultation, etc. )
(x) We accept International Master Visa Credit Card and provide Currency Exchange facility in the hospital.
(xi) Daily E mail updates to the referring doctors and the patients family.
Once you decide to come, we will send you a letter that will help you get Indian Visa on priority and we would also help you with your travel arrangements For any further assistance please feel free to write back to us.
Assuring you with best of our services.
Saurav Chatterjee
Manager - International Marketing
Wockhardt Hospital ,
Mulund Mumbai :400078
Tel:(O) - (0091) 67994221 ,
(M) - (0091) 9833874545
Fax - (0091) 67994242
Website: http://www.wockhardthospitals.com/
Nashauri Michuzi na wanakamati wengine muwasiliane na Wizara ya Afya, kitengo kinachoshughulikia matibabu nje ili Wizara nayo ichangie kiasi au kuziba pengo lililobaki.
ReplyDeleteMdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Natabiri Kombe la FA Premier League litaenda Man U mwaka huu. Kwa kasi hii Arsenal natabiri itakuwa ya tatu na huenda ikatolewa Champions League.
ReplyDeleteMdau
http://drfaustine.blogspot.com/
Pole sana Samuel, mungu atakujalia na utarudi katika hali yako ya zamani kabla ya kuathirika na dawa kwani dunia hivi sasa imeendelea sana katika masuala ya tiba.
ReplyDeleteMay God almighty bless you. I hope all will go well and you will get cured soon. Mungu wetu ni mwaminifu, for us who cant contribute in terms of money, we will try to contribute with prayers.
ReplyDeleteGood luck.
Namuombea huyu mtoto kwa Mwenyezi Mungu amsaidie kufanikiwa kupata hizo hela na afanyiwe operation yenye mafanikio. God bless you my dear Samwel!
ReplyDeleteMdau,
Gothenburg, Sweden.
Wewe unayeweka mambo ya mpira kwenye hii article hauna akili kabisa. Inasikitisha kuona mtu mzima hovyoo namna hiyo. Kama ulikuwa hauna cha kuandika, afadhali ungeacha.
ReplyDeletePole sana mdogo wangu Samuel. Nakuombea kwa Mungu akupe nafuu na akurudisha katika hali yako ya mwanzoni. Pia nawapongeza wazazi (Mr and Mrs Nkya) kwa moyo wao wa upendo kwa mtoto wao.
ReplyDeleteMungu atamsaidia mtoto Samweli na atapona kwa jina lake mwenyezi kwani kwa Mungu hakuna lishindikanalo. nawapa pole wazazi wa Samweli nawapongeza kamati ya afya Mungu azidi kuwapa nguvu na maisha marefu.
ReplyDeletePole sana Mr & Mrs Nkya. Namuombea mtoto Samwel apate nafuu
ReplyDeleteMama Malaika
UK