Braza Michu,Nimeona nitume picha hii kama nilivyoinasa asubuhi hii ya leo wakati na browse mitandao mbalimbali. Inaelekea tovuti ya gazeti la mwananchi imekuwa hacked.

Ndimi MAK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. kuwa hacked maana yake nini?

    ReplyDelete
  2. Maana yake ni kuwa mwananchi limechumbiwa na mjanja wa mitandao! ni wakati sasa kwa ntwk admins wa kibongo kufanya kazi kwa umakini kwani watu duniani hawalali wanatafuta loopholes ili kujionyehas umwamba wao ktk teknolojia kilakukicha.Hii ni kama hobi tu.
    mdau.
    Tshwane.

    ReplyDelete
  3. mdau unayeteke kujua maana ya kuwa hacked.

    kuna watu wanaitwa hackers. hawa ni watu wenye ujuzi wa fani ya it na wanaitumia vibaya kwa kuingilia mitandao ya watu, taasisi au mashirika na kuihujumu. hackers wanaingilia na kubadilisha, kufuta au kuharibu taarifa mbali mbali katika mitandao hiyo.

    wanawekza kuweka picha za uchi kama walivyowahi kufanya kwa website ya bunge la tz. mitandao kama ya mzumbe university imeshawahi kuhujumiwa kwa njia hii.

    kwa ufupi hackers hutumia software maalum kwa kazi hiyo nyingi zao zikiwa katika mfumo wa virus na kushambulia mtandao husika. wanamfanya mwenye mtandao (administrator) ashindwe kudhibiti mtandao wake.

    kwa elimu yangu ndogo kuhusu it nadhani mdau nimekusaidia. wadau wengine wataongezea.

    mdau

    dar es salaam

    ReplyDelete
  4. kufumaniwa!!!

    ReplyDelete
  5. mi nadhani computer yako ndo victim,mbona kwangu inafunguka poa tu.

    ReplyDelete
  6. Kwa Anonymous,
    Kuwa 'hacked' ni pale tovouti au mifumo ya tarakilishi inapovamiwa na mtu wa nje asiehusika na hiyo kampuni. Kuvamiwa huku kunafanya yule mvamizi aweze kutawala chochote katika yaliomo katika tovuti au mfumo wa tarakilishi. Ila kwa sasa hiyo tovuti ya mwananchi imeshaachiwa na huyo 'hacker'(kama iliwahi kuwa 'hacked' hapo kabla)

    ReplyDelete
  7. Hacking ni nen linalotokana na programme za computer zenye lengo la kutatua matatizo ya computer kwa haraka kama vile virus kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu.

    Lakini siku hizi neno hili 'hacking' linatumika kama kuingia kenye computer au website ya mtu bila ruhusa yake (unauthorized access) kwa lengo la kuiba au kuharibu taarifa au kumbukumbu (data)

    Hata hivyo hackers wenyewe (innovative computer programmers) wanawaita hawa 'majangiri' wanaoiba au kuharibu data za computer za watu kuwa ni 'crackers'

    By Big Sam

    ReplyDelete
  8. Huyu jamaa amefanya Photo-Shopping. Mbona website iko bomba kama kawaida.

    ReplyDelete
  9. maana ya hacked http://en.wikipedia.org/wiki/Hacked
    Nahisi kuna ajira YA MTU WA NETWORK SECURITY inabidi mwananchi watangaze Wataalam tuje kufanya kazi.
    .Kama huyu mtu yupo inabidi aachie ngazi.
    .aibu kubwa kwa Organization

    Mdau

    ReplyDelete
  10. Nikweli hiyo website asubuhi ya leo ilukua inaonekana kama ilivyoonyeshwa, lkn baada ya muda mfupi ikawa ipo kama kawaida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...