Home
Unlabelled
mwananchi limevamiwa na mumiani?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kuwa hacked maana yake nini?
ReplyDeleteMaana yake ni kuwa mwananchi limechumbiwa na mjanja wa mitandao! ni wakati sasa kwa ntwk admins wa kibongo kufanya kazi kwa umakini kwani watu duniani hawalali wanatafuta loopholes ili kujionyehas umwamba wao ktk teknolojia kilakukicha.Hii ni kama hobi tu.
ReplyDeletemdau.
Tshwane.
mdau unayeteke kujua maana ya kuwa hacked.
ReplyDeletekuna watu wanaitwa hackers. hawa ni watu wenye ujuzi wa fani ya it na wanaitumia vibaya kwa kuingilia mitandao ya watu, taasisi au mashirika na kuihujumu. hackers wanaingilia na kubadilisha, kufuta au kuharibu taarifa mbali mbali katika mitandao hiyo.
wanawekza kuweka picha za uchi kama walivyowahi kufanya kwa website ya bunge la tz. mitandao kama ya mzumbe university imeshawahi kuhujumiwa kwa njia hii.
kwa ufupi hackers hutumia software maalum kwa kazi hiyo nyingi zao zikiwa katika mfumo wa virus na kushambulia mtandao husika. wanamfanya mwenye mtandao (administrator) ashindwe kudhibiti mtandao wake.
kwa elimu yangu ndogo kuhusu it nadhani mdau nimekusaidia. wadau wengine wataongezea.
mdau
dar es salaam
kufumaniwa!!!
ReplyDeletemi nadhani computer yako ndo victim,mbona kwangu inafunguka poa tu.
ReplyDeleteKwa Anonymous,
ReplyDeleteKuwa 'hacked' ni pale tovouti au mifumo ya tarakilishi inapovamiwa na mtu wa nje asiehusika na hiyo kampuni. Kuvamiwa huku kunafanya yule mvamizi aweze kutawala chochote katika yaliomo katika tovuti au mfumo wa tarakilishi. Ila kwa sasa hiyo tovuti ya mwananchi imeshaachiwa na huyo 'hacker'(kama iliwahi kuwa 'hacked' hapo kabla)
Hacking ni nen linalotokana na programme za computer zenye lengo la kutatua matatizo ya computer kwa haraka kama vile virus kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu.
ReplyDeleteLakini siku hizi neno hili 'hacking' linatumika kama kuingia kenye computer au website ya mtu bila ruhusa yake (unauthorized access) kwa lengo la kuiba au kuharibu taarifa au kumbukumbu (data)
Hata hivyo hackers wenyewe (innovative computer programmers) wanawaita hawa 'majangiri' wanaoiba au kuharibu data za computer za watu kuwa ni 'crackers'
By Big Sam
Huyu jamaa amefanya Photo-Shopping. Mbona website iko bomba kama kawaida.
ReplyDeletemaana ya hacked http://en.wikipedia.org/wiki/Hacked
ReplyDeleteNahisi kuna ajira YA MTU WA NETWORK SECURITY inabidi mwananchi watangaze Wataalam tuje kufanya kazi.
.Kama huyu mtu yupo inabidi aachie ngazi.
.aibu kubwa kwa Organization
Mdau
Nikweli hiyo website asubuhi ya leo ilukua inaonekana kama ilivyoonyeshwa, lkn baada ya muda mfupi ikawa ipo kama kawaida
ReplyDelete