


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shughuli, alikuwa mwanamke, akachange sex kuwa mwanaume, then now amekula hormones za kike kupata uzazi, what a crazzy world
ReplyDeleteinasemekana huyi=u mtuu alikuwa mwanamke wa kuzaliwa alafu akan=badilisha jinsia yake kuwa mwanamme kwa hiyo bado uhalisi wake ulikuwa pale pale.
ReplyDeleteMambo hayo jamani... dume jike labeba mimba.
ReplyDeleteHuyu ni mwanamke kajibadilisha kuwa mwanaume na sasa tunadanganywa eti mwanaume anazaa. I think kichwa cha habari kina mislead watu.
ReplyDeleteSAC
Hiyo fix. Huyo unayemwita mwanaume alizaliwa mwanamke alafu akafanya sex change. Mbele ya mungu huyo ni mwanamke.
ReplyDeleteBwana Michuzi hii habari ni kweli kabisa.Sasa 3 usiku kwa saa za hapa Marekani nilikuwa nikifuatilia habari za kisiasa, hasa kuhusu kura za maoni zinazoendelea kwa upande wa mademocrat kupitia channel ya FOX NEWS.Ghafla ikaja habari ya huyu jamaa.Sikuamini,nilishtuka.Najua kuna mashoga wengi katika nchi hii,lakini kwangu habari ya ujauzito ikawa imeshtua sana.Kweli hivi ni vibweka vya walami!!!
ReplyDeleteUkisoma hilo gazetti la Telegraph, linasema kuwa alikuwa mwanamke. Inelekea kuwa alivyo fanya hiyo trasformation from female to male, hakufanya operation kubadili kilakitu kwahiyo bado ana female reproductive organs zake ndiyo maana ameweza shika mimba.
ReplyDeleteHUYO ALIKUWA MWANAMKE AKAJIBADILISHA KUWA MWANAUME ILA HAKUTOA TUMBO LAKE LA UZAZI ALIKATA MATITI TAKE TU NA KUNYWA MADAWA ILI AOTE NDEVU SAUTI NK. LAKINI SEHEMU NYINGINE ZOTE NI ZA KIKE. JAMANI KIAMA HIKI...TUTUBU TU DUNIA IMEISHA HII.
ReplyDeleteKUNA MWINGINE PIA CHEKI
www.malepregnancy.com
michuzi
ReplyDeletenimesoma hiyo link uliyoweka kwa kweli hii ndio laana ya ulimwengu wa mwisho. huyu jamaa alikuwa demu kisha akabadili jinsia na kutaka kuwa dume. sasa anatamani mtoto. huko nyuma ameshawahi kuwa msagaji. kwa kweli alaaniwe huyu hawa ndio wanaoupoteza ulimwengu wa sasa.
Huyo alikuwa mwanamke na akajibadili kwa kutoa baadhi ya viungo vyake kama matiti na kula hormon za kuotesha ndevu. viungo vingine vya kike kama vya uzazi alivibakiza, hivyo kimsingi ni mwanamke tu.
ReplyDeleteMichuzi acha watu wawe na uhuru wa kutoa maoni, kwa nini lazima uyachuje? Mtu anatoa maoni yaleyale ambayo watu wengine wametoa kwa sababu wewe ulikuwanayo kwenye bank yako kabla hujaya publish. Maoni hayana muendelezo na maswali hayajibiwi.
ReplyDeleteNashauri uziache comments zitolewe moja kwa moja, halafu upitie na kuzifuta zile zitakazokuwa zimekosa maadili.
Hiyo ndio dunia ya leo tunapoelekea ni kubaya.
ReplyDeleteCrazy indeed, for those faithfully I have a constant feeling the doomsday are coming near.
ReplyDelete"When man pretends/acts like woman, and woman pretends/acts like man"
By Mchangiaji.
Hii news nimeiona kule kwenye blogu ya walokole inaitwa sayuni.blogspot.com
ReplyDeleteYaani misupu ndo unaiweka leo.
Watu wa namna hii wapo wengi sana huku India.Wala hakuna cha ajabu hapo.
Chenay,
India
jamani mi mbona sielewi kabisa mwanaume mjamzito toba huyo mtoto atatokea wapi tu kama hii siyo kiama? MUNGU TUSAIDIE!!!!!
ReplyDeletemimi ningependa kuuliza hizo mbegu zilizompatia uja uzito zimepitia wapi?
ReplyDeleteAnony 1:14
ReplyDeleteJamaa/mdada huyu hakutoa kizazi chake alipoamua kubadili jinsia yake. Ujauzito wake ulipatikana kwa 'artificial insemination' ya mbegu za kiume toka kwa sperm donor.
Mdau
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/
kwa hili inaomesha wazi kuwa dunia imefikia ukingoni na yale yaliyotabiriwa zama hizo na wanazuoni wa dini yamefika.
ReplyDeleteKweli kwa mwanaume kushika mimba hii ni sawa na kumrushia Mungu Mawe au kumtukana aliyekuumba hali hii inatisha tena sana.
we mdau we chenai umekosea watu walokua uku india ni wanaume waliogeuka kuwa wanawake na sio wanawake waliogeuka kuwa wanaume wapo kabisa wanaume wanavaa na saree kabisa.
ReplyDeleteinasemekana ata wabongo pia wapo wa aina iyo!
Hebu mtazame vizuri huyo dume! Alikuwa mwanamke na bado ni mwanamke kwa vile baada anavyo viungo vyake vya kike ingawa anaota mandevu na kapichwa bolo! Hivyo kusema ni mwanaume mwenye mimba si sahihi!
ReplyDeleteNimeona taarifa kuwa wanaume wanaotwanga bia sana wana hatari ya kuota matiti. Wanaume wa Bongo mnaopiga sana ulabu ngojeni tu, iko siku mtajionea wenyewe. teh teh teh teh.
ReplyDeleteNakubaliana na mdau wa Apr 4, 4:40am .. Media wazushi sana, niliposikia mwanamme anamimba nikasema eeh ngoja nione miujiza nakuta huyu mwanamke mnasema mwanamume.. Hebu wacheni hizo mnadhani uanaume rahisi?
ReplyDelete