WADAU HAWA PAMOJA NA UMRI NI SAA TISA NA ROBO LAKINI HAWAKUKATA TAMAA WAKAAMUA KUENDEKEZA LIBENEKE KWENYE KUSAKA NONDOOOZ. HAPA NI KATIKA MAHAFALI YA CHUO KIKUU MZUMBE CHA MJI KASORO BAHARI WAKATI WALIPOVUTA NONDOZZZ ZAO ZA MASTERS DEGREEHIVI KARIBUNI. TOKA SHOTO WADAU HAWA NI KIMOLA, KIKWAPPE NA BAKUNDA


Mh mmependeza, lakini kweli elimu haina mwisho, hata wale wazee wenzangu msikate tamaa! BIG UP!
ReplyDeleteKaka Kikwappe hongera sana. Japo naona ume-change mno, mwili unaonyesha kuelekea kwenye ufisadi. Nawaombea Mungu mjenge nchi mjiepushe na ufisadi.
ReplyDeleteWako, Jacinta Mote.