Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Reli ncnini (TRL) wakimsikiliza Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye steshani ya Dar es salaam leo kuelezea juhudi za serikali za kutatua mgogo wao na uongozi wa shirika unaoendelea kwa muda sasa. pamoja na mambo mengine wafanyakazi hawa wanadai mishahara mipya ambayo toka waahidiwe bado hawajaanza kulipwa.

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Reli nchini, (TRL) kwenye steshani ya Dar es salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge na kulia kwake ni Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma Kapuya
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisindikizwa na mjumbe wa Bodi ya Shirika la Reli Nchini (TRL) ambaye pia ni mbunge wa Tabora Mjini,Siraju Kaboyonga (wapili kulia) na Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Juma Kapuya, baada ya kuzungumza na wafanyakazi wa TRL kwenye stesheni ya Dar leo a


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapa mie naona bado hakijaeleweka, maana sura za wafanyakazi zinaonekana zina makunyanzi.
    Mzee pinda pigania haki za walalahoi!

    ReplyDelete
  2. INA MAANA KUWA WALIVYOAMBIWA WATALIPWA 160,000 WALIDANGANYWA? JAMANI WATU WAZIMA HAWA NA FAMILIA ZAO MIMI TU MSELA LAKINI HIYO 87,000 HAINITOSHI KWA MWEZI NA NAISHI MAISHA YA KAWAIDA KABISA.VIPI HAWA WAMAMA NA WABABA WANAOEGEMEWA NA FAMILIA? DUH MIMI HUNIFANYISH KAZI HII.NIKI UZA NDIZIMTAANI KILA SIKU NAPATA SH.7000 FAIDA HAPA NI KAMA 3500 UKIZIDISHA KWA MWEZI NINA FEDHA YA KUTOSHA SASA NIKAFANYE NINI HUKO TRL.

    ReplyDelete
  3. huyo kapuya yuko uchi according to our sukuma custums!inawezekanaje ukavaa suti halafu nguo ya ndani ikaonekana!!hako mnakokaita white vest!! keupe hakatakiwi kuonekana! acha unyamwezi kapuya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...