Home
Unlabelled
rasta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yeah huwa zinachukua kuanzia masaa 8 hadi 10 kutegemea na bichwa la mtu.
ReplyDeleteUkiwa na bichwa kubwa sana kama nanihiii halafu pochi ndogo Wamasai wanakukimbia.
Sijui utaratibu huu ukianza kwenye daladala kwa wasio vipotable hali itakuwaje.
Siyo saba tuu KUMI NA MBILI na unaweza ukawa hujamaliza ukamalizia kesho yake... Ni matatizo kwelikweli kutafuta urembo kwa wadada...
ReplyDeleteKWA SIKU HIZI HALI HIYO YAKUSUKA MASAA MENGI IMESHAMALIZIKA KWANI KUNA MADUKA AMBAYO UNANUNUWA HIZO NYWELE TAYARI WEWE NI KUVALISHA KICHWANI TU LABDA BADO HAZIJAINGIA KATIKA MADUKA YA TANZANIA NA PIA KUNA MAFUTA YA MGANDO AMBAYO HUBADILISHA NGOZI YA MTU TOKA MWEUSI NA KUWA MWEUPE AMBAYO HAINA MADHARA TAYARI ZIMEKUWA MADUKANI HAPA NIGERIA NAIMANI WENYE KUHITAJIA WANAWEZA KUYAPATA
ReplyDeleteMichuzi,huyo dada jicho moja kama Lady JD vile au naangalia vibaya?
ReplyDeleteNa hasa zikiwa ndogo ndogo ata cku tatu mtuwangu lakini watu awajali wala nini kwasababu mambo ya uremboooo
ReplyDeleteNilimpeleka binti yangu wa miaka 7 saluni nikakoma ubishi. Sitorudia. Sikumbuki masaa mangapi - lakini adhabu niliipta. Nakumbuka kwetu zamani mama zetu wakisukana nywele muda mfupi na vichwa vyao vikipendeza kwa usukani wa asili. NAsikitika kusema kuwa toka nywele bandia zimeanza dada zetu wengi huonekana kama mashetani - samahani vichwani.
ReplyDeleteSometimes even a week or month kama mshiko ni mdogo then ukampa mtu mmoja tu aifanye hiyo kazi.
ReplyDeleteKweli kazi ipo!!!!!!!!
Michuzi kuhusu kiswahili hakuna MASAA ni SAA,kwa hiyo ungeandika huchukua saa kumi na nae au kumi na mbili au kumi na tatu au saa nane na sio masaa nane.
ReplyDeleteHizo nywele zikisukwa hayo masaa 12 au 24 halafu zinaachwa mpaka miezi sita, so time ya kusuka haijalishi midam unaweza kukaa nazo kuanzia miezi 3 mpaka 6. Lakini na jasho la Bongo mhu kichwa kitawasha kama nini. Na uwe na huo muda wa kuweka matako chini na kusukwa kwa wengine saa 1 umeshafanya mambo kibao, hayo masaa 12 utayatoa wapi ya kupoteza bure!
ReplyDeleteHuyo mwenye kutaka mafuta ya mgando kubadilisha ngozi yake kutoka nyeusi kwenda nyeupe, nafikiri ana matatizo ya self esteem, kujijua na kujitambua.
Mafuta ya mgando mengi yanatokana na bidhaa za petroli ndio maana huitwa petroleum jelly, huwa nawashangaa watu wanaoona petroleum jelly haina madhara na kuwakandika watoto wao wadogo. Sijui labda haina madhara kweli lakini bidhaa itakanayo na petrolii!! Mhu! haya tutayaona mengi. Haya kina dada mkorogo huo kutoka Nigeria wanaotaka kuwa wazungu chap chap waagize!
ni kweli kabisa inaweza kwenda hadi twelve hours inategemea pia na size ya hizo nywele maana nyingine zinakuwa ndogo sana sana, kwa hiyo zitachukua muda mrefu zaidi.
ReplyDeleteMdau ameongelea kuhusu rasta zilizosukwa unavaa kama wigi, ni kweli zinarahisisha lakini naona watanzania wengi hawajazipendelea sana na labda pamoja na kuwa zipo madukani lakini sio kwa wingi. hizi ukitumia sura inakuwa haina mvuto sana kama za kusukia moja kwa moja (au wanasema unaonekana uko too artificial), labda ni sababu hata mtu akifungua badala ya kukuta ngozi ya kichwa unakuta kitambaa au material yoyote ambayo wamegandisha hizo rasta.
Swali kuhusu hayo mafuta, ni kwamba yaniibadili ngozi kutoka rangi yake ya asili kwenda kwenda kwenye rangi nyeupe? au yenyewe yana rangi nyeupe kiasi kwamba ukipaka kichwani rangi inayoonekana inakuwa ni hayo mafuta?
Inategemea na msusi lakini sio wote wanachukua masaa nane au saba. Kama mie nikimsuka dada angu the least hours i take is 4 to 5. Mkono wa mtu unachangia kuna wenye mkono mzito na mkozo mwepesi. Lkn duuuh nywele za wamasai nzuuuuuuuuuuuuuuuuuri dadake walalh
ReplyDeleteukitaka uzuri sharti udhurike ........
ReplyDeleteBINAFSI NASHANGAA MNAPOSEMA ETI MASAA 4 WENGINE 5,6 MIMI MKE WANGU ANA WEEK MBILI SASA TANGU AMEKWENDA KUSUKA HIZO RASTER KWA SHOGA YAKE MAGOMENI MIKUMI NA BADO NAMSUBIRI ARUDI AKIWA BOMBAA ILE MBY NA SIO MARA YAKE YA KWANZA
ReplyDeleteUREMBO NI JADI YETU SISI WANAWAKE
ReplyDeletelakini tunapendeze ehh tukimaliza kusuka au sio, zamani watu walikuwa wanasema basi honii kibao siku hizi wote tunamagari tunasema kwenye traffic light watu wote machoo juu
ReplyDeletehizo kamba za katani kweli zinatupendeza juu ya vichwa vyetu,tena katani hii inapandwa katika mashamba ya Tanga na Morogoro!!!
ReplyDeleteInategemea wasusi wangapi...Huku niliko wasenegal wanachukua $200 lakini masaa mawili na nusu umemalizwa...Wako kama manyigu huko kichani....Unafikiri waliokaa mbele watakusuka vibaya nywele ziende mbele...mhhh mhhh mhhh mhhh ...ukitoka umependeza ila Advil uwe nazo mkononi...wanazikaza hizo siku ya kwanza hulali...Huu urembo unatuua siku moja....LOL
ReplyDeleteNa kuzifumua inachukua wiki!!!
ReplyDeleteHalafu hayo masaa saba ni kama msusi anajijua fani yake, kama mwanafunzi; hali yako mbaya. Hapo hatujagusia maumivi ya kichwa kwa siku fulani baada ya kusuka. Uzuri hadimu!
ReplyDeleteWe anony hapo juu unaemruhusu mke wako aende kwa shogaye kusuka kwa wiki mbili unatania ama kweli ?hahahahahahahahahahahahaah !!! sijui nikwambie ?? sasa ngoja mpaka akirudi hapo kwako baada ya viwiki vichache atakwambia ana kamimba labda ndio hiyo akili yako isiyo na akili itakaa sawasawa...ama na wewe unafurahia hiyo freedom una yako ? ndoa nyingine bwana !!!
ReplyDeleteNYINYI MA ANON MMENIFURAHISHA SANA HAPA CHINI, WABONGO MNANIUWAGA SANA.
ReplyDeleteTarehe Wednesday, April 2, 2008 3:17:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
BINAFSI NASHANGAA MNAPOSEMA ETI MASAA 4 WENGINE 5,6 MIMI MKE WANGU ANA WEEK MBILI SASA TANGU AMEKWENDA KUSUKA HIZO RASTER KWA SHOGA YAKE MAGOMENI MIKUMI NA BADO NAMSUBIRI ARUDI AKIWA BOMBAA ILE MBY NA SIO MARA YAKE YA KWANZA
Tarehe Wednesday, April 2, 2008 10:48:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
We anony hapo juu unaemruhusu mke wako aende kwa shogaye kusuka kwa wiki mbili unatania ama kweli ?hahahahahahahahahahahahaah !!! sijui nikwambie ?? sasa ngoja mpaka akirudi hapo kwako baada ya viwiki vichache atakwambia ana kamimba labda ndio hiyo akili yako isiyo na akili itakaa sawasawa...ama na wewe unafurahia hiyo freedom una yako ? ndoa nyingine bwana !!!
huyo anayesema zinapatikana nigeria, hivi umeshawaona wa-nigeria wanavyofanana wakizivaa badala ya kusuka. ni afadhali uzisuke zitakaa vizuri ukivaa kama wig na hilo joto si kuna kufa hapo?
ReplyDeletejamani kweli wanawake tunakazi kwanza hizo nywele zinasukwa ghali kweli pili unachukuwa masaa mengi zamani ilikuwa unasuka siku mbili kwasasa unaanza saa moja asubuhi mpaka saa moja usiku ukitoka hapo mmmm haifai kabisa.
ReplyDeleteSasa mbona mmesahau.."whatever goes up..must come down" Je inachukua masaa mangapi kuzishusha? Mbona hiyo ni very uneconomical na wasted time? Jamani labor force inayofanya kazi hiyo ingetumika kufanya something else..ukizingatia majority wako mitaani hata kodi hawalipi..hhe he he...!! Na wewe wa wiki mbili kwa msusi..Mkeo amekuwa kimeo..hiyo ndoa Ndoana?.....!!
ReplyDelete