Jumuiya ya watanzania Washington Dc-Metro ikishirikiana na ubalozi wa Tanzania (USA) inayofuraha kuwakaribisha katika sherehe za muungano zitakazofanyika tarehe 04/26/08 siku ya jumamosi.
zitafanyika katika ukumbi wa Mirage Hall
1401 University Blvd.
Hyattsville Md 20783,
Wote mnakaribishwa!
NB. Sherehe zitaanza saa mbili usiku mpaka asubuhi,
Tafadhali usisahau kuja na Mswaki!!
Kama ubalozi unahusika na ndio serikali kwa nini kuwe na kiingilio
ReplyDelete.miaka ile wakati yupo Nyang'anyi hakuuwana mambo ya kuchangishana pesa.
WEWE ANONYMOUS HAPO JUU UNAONGEA KUHUSU KIINGILIO WAKATI INVITATION HAIJASEMA UJE NA KIINGILIO. JE UMESIKIA WAPI KUWA KUNA KIINGILIO? LAKINI INAONEKANA KABISA KUWA ULIKUWEPO KTK HIVYO VIKAO VYA KUPANGA HIYO SHEREHE NA SASA UNAWAGEUKA WENZAKO.ANYWAY NA NYIE VIONGOZI MUWE WA WAZI MNAPOTOA INVITATION KAMA HIZI MAANA SASA HIVI JUMUIA ZETU ZINAKOSA UHAMINIFU. SWALI, JE HIYO JUMAMOSI MTU UJE NA MSWAKI TU? AU KUNA KUUZIANA BIA PAMOJA NA KIINGILIO MLANGONI?
ReplyDelete