Home
Unlabelled
tatiana atua bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK assures Norway of honest use of aid cash
ReplyDeleteSEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam
PRESIDENT Jakaya Kikwete has once again assured Tanzania’s development partners that the government will spend external aid money honestly.
Speaking at a joint news conference with the visiting Norwegian Prime Minister, Jens Stoltenberg, at State House in Dar es Salaam yesterday, the president promised the Norwegian government and taxpayers that such aid coming from that country and others will be properly utilized for designated purposes.
’’Norwegian aid is spent well, that’s what I can assure you,’’ he said in answer to a question from a Norwegian journalist about allegations of high-level government corruption, including the recent resignation of former cabinet minister Andrew Chenge over such suspicions.
President Kikwete reiterated that his administration was committed to proper utilization of Norwegian aid money, and pledged tough action on corruption and mismanagement of public funds.
’’Whenever there are issues involving corrupt practices, we have not hesitated to take the required action, to investigate and prosecute all those who have participated in such unethical practices,’’ he said.
Other journalists also asked the president to explain the government’s position on the mining sector.
He briefed them on the ongoing mining sector review process, explaining that the committee formed to carry out the review of all mining contracts is expected to hand over its final report soon.
’’I have a great concern over how little my country, particularly its citizens, has been benefiting from the large reservoir of mining resources we have, and we hope the committee’s report will help us create a win-win situation,’’ he said.
The president also mentioned difficulties in the implementation of various partnership projects with Norway in the forestry sector, but said the government has taken strong measures in replacing officials who became obstacles.
On his part, Norwegian premier Stoltenberg said his government was satisfied with how Tanzania is carrying out various Norwegian-supported programmes, particularly in implementing the fourth and fifth Millennium Development Goals of reducing maternal and child mortality rates.
He said that was why Norway was now increasing its aid package to the country, including the latest signing of a partnership agreement on climate change ’’for which my government will provide both financial and technical support.’’
He noted that while there was need for economic growth in the country, there was also equal need for the conservation of the environment that has great impact on climate change.
Norway will provide 100m/- to fund the latest partnership on climate change, with areas of concentration to include tree-planting, preservation of forests, and promotion of indigenous communities.
However, Stoltenberg said the country still faces tough challenges like the need to improve good governance and effectively fight corruption which is undermining development.
’’More effort should be put in areas of good governance and the war against corruption, so that the aid provided by donor nations may be used accordingly,’’ he said
Utumbo mtupu . mbona mzungu sasa .. au ndio kisha jibadilisha.
ReplyDeletemazee, huyu demu ni mbaya, yaani brother Rich kweli ulikosea njia...yaani ni kabaya duh!!! kanisamehe tu ila habari ndo hiyo.
ReplyDeleteMimi bado najiuliza hao waliomwalika wana mpango gani na ndoa ya Richard??? Sijawaelewa anakuja kuonyesha mavazi gani hapa Tanzania ambayo wanamitindo wengine wasingekuja kuonyesha?? Eti na Abby kamwandalia chakula jamani hivi huo si uchokozi tu kwenye ndoa ya Richard? Abby Gaitano alimtema na akaona bora aje East Africa tu labda atabadili uamuzi, Mwisho akadakwa na warembo wa bongo bahati yake akapata Muitaliano sasa huyu nae anakuja kuzamia mtaniambia
ReplyDeleteMwisho Mwampamba akimuona hamuachii...Rich si alimtema??
ReplyDeletekaka naomba kuuliza hii blogu ni kwa ajili ya picha?
ReplyDeleteau uko likizo?
wifi karibu nyumbani.
ReplyDeletevp kaka,
ReplyDeletenatumai umzima wa afya!
sasa naomba kuuliza huu ujio wa huyu dada Tatiana Durao ni kwa ajili ya maonyesho ya mavazi, sasa how do we benefit from the onesho kaka? au kuna some % inaenda kusaidia jamii? maana sijaona umuhimu wa yeye kuja Tanzania kabisa. Na kama yeye anaipenda sana Tz basi angealika wanamitindo wetu waende kwao ili atutangaze vizuri!
WAANDISHI WA BONGO WALIKUWA WAPI KUMMULIZA NANI KASHTAKIWA KWA KULA RUSHWA AU KUFUJA MALI ZA UMMA? Mkapa huyo anadunda, Richmond huyo yuko huru anahudhuria na mazishi, Visenti na yeye huyo. Watuhumiwa wengi tu bado wako serikalini kina Hosea na wengine. Wapinzani wawe wanafanya mpango wa kukutana na wafadhiri kuwaeleza ukweli kwani ndio wanao-ogopwa na si wapiga kura.
ReplyDeleteMzee wa shamba.
Msichana kwa kweli sio mbaya acheni majigamboo,Tatiana ni msichana mzuri sana,hila hili hand bag alilobeba mbona la kizamani sana!!na mavazi mbona kama sio mwanamitindo?Tatiana kajua anakuja kuitikisa Tanzania asijue wabongo wako mbali kichizi!!hatuko mbali sana na USA...MDAU!!!
ReplyDeleteSasa najua kwa nini maendeleo kwa wabongo yatakuwa ndoto. Hivi watu wazima na akili zao wanaweza kuacha kazi kweli wakaenda kumpokea huyu Kibaka mwizi wa waume za watu? tena kwa ngoma? Kwa kipi haswa?
ReplyDeleteAngalia sasa!Hali hii ikiachiwa iendelee mimi inanitisha sana.Hivi kweli tutakuwa na taifa lenye watu wenye busara siku zijazo ikiwa maoni na hisia za vijana wetu ndiyo kama hizo tunazo zisoma hapa?Sipendi kuamini kwamba watu wazima waliokwenda shule watathubutu uandika upuuzi kama huo!Pengine ni kutokana na kiwango kidogo cha elimu miongoni mwa vijana wetu.Lakini basi hata busara zimekosekana(common sense)?Tatiana Durao hakuja kutafuta mume au mchumba hapa nchini.Kaja on a goodwill mission to promote solidarity among the african youth,kaja kuwaonyesha vijana wa tanzania kwamba anawapenda na anawajali kama tamasha zake zitakavyo dhihirisha,na above all kaja kama mgeni wetu kuja kutalii.Ujio wake na wenzake bila shaka utalipatia taifa letu mapato ya kigeni kidogo.Akitoka hapa na picha nzuri ya kwetu bila shaka huko aendako atatusaidia kuitangaza vizuri zaidi tanzania watu na rasilimali yake!Yote hayo hatuyaoni?Tumekumbatia ujinga tu na ulimbukeni wa kinoko!Kumbe kichwani majalala kwa papara hatuna halahala!Vipi vijana wetu mbona mnatuaibisha hivyo?Sisi wazazi wenu tuonekane hatukuwasomesha ipasavyo na kuwafunza adabu kwa wageni?Eti Tatiana mbona mzungu,kumbe akiwa mzungu kuna ubaya gani?Hana thamani tena japo katoka Angola?Tatizo la vijana wetu,midomoni mahodari sana wa kufoka na kupiga vita ubaguzi wa rangi.Lakini mioyoni mwao ubaguzi wa rangi bado umejaa tele!Kwao kuwa Mwafrika ni kuwa mtu mweusi tu peke yake.Msomali au muarabu wa Misri au Libya au Mhabeshi wa Etiopia kwa vijana wetu wote hao sio waafrika kwa sababu sio weusi!Mungu nisamehe.Pamoja na jitihada zote hizo za kuwaelimisha kama bado kuna kijana kwenye mawazo ya kijinga kiasi hicho katika wakati huu basi TUNA TATIZO KUBWA KITAIFA.Richa aliposhinda urembo na kuwa Miss Tanzania zilitolewa shutuma nyingi sana kwamba yeye siyo halali kuiwakilisha Tanzania eti tu kwa sababu ana chembe ya uhindi ndani yake japo ni mtanzania kabisa kama wewe na mimi!Mwenendo huu siyo mzuri hata kidogo kwa vijana wetu.Siyo wote wenye akili za kijinga kiasi hicho lakini kwa hawa wachache watako taka kutuharibia sifa yetu watanzania lazima kila mmoja wetu awpige vita ili tabia hii ikome.Eti Tatiana siyo mzuri ana sura mbaya,ulitaka awe na uzuri kiasi gani?Wa Malaika?Mbona ana uzuri wa kutosha kabisa.Aliyekuambia uzuri wa mwanamke ni sura tu peke yake ni nani?Ujinga gani huu vijana wangu?Komeni kabisa acheni kututia aibu wageni.Mambo haya zungumzeni na wazazi wenu mkiwa majumbani kwenu,sawa?Lakini siyo mbele za watu,Aibuuuuuuuuu.
ReplyDeleteSeba's article above on Norwegian Aid to Tanzania can not pass without comment.So the article says,that President Kikwete has reassured the Norwegian Prime Minister Jens and to all development partners that 'the government will spend external aid money honestly'.'Norwegian Aid is spent well,thats what I can assure you',he is reported to have said,in response to allegations of high level government corruption.The article continues to say that The President pledged tough action on corruption and mismanagement of public funds.But if I may ask,following the recent spate of scandals in public money mismanagement and outright theft who in the name of hell has ever been brought to book for conviction?Who is there to trust that nothing of the likes will ever happen again with the criminals being left scotfree TO munch their Loot unsparingly without shame?Within millions languishing in poverty and hunger!The Norwegians should think of funding and managing the funded projects themselves with Tanzanian counterpart employed directly by the Project itself.The government should be left out of this.We simply can afford any more squandering and Looting of Public funds be it foreign sourced or from within!There was a whisper somewhere and I happened to be along the corridor when that message went out,that,there is this one big state official so an so, who once told a foreign diplomat or something that,'heeey,dont make so much fuss about the Epa misappropriations,that money does belong to you,your foreign aid money is safe and intact and I can prove it to you,Mr.excellency!That money eaten away belongs to Tanzanians,does not belong to you.So,let the Tanzanians themselves sort out this mess according to their own Undugu Traditions.Msituingilie mambo yasiyo wahusu tafadhali Mheshimiwa Balozi umesikia?Next time you intend to go to the Serengetis please do not hesitate to inform me,could make a lot fo difference,mheshimiwa?Pointless in receiving any more foreign aid if the current spate of public stealing continues unabated!No thank you,Seba!
ReplyDeleteMMh jamani acheni hizo! waingereza wanasema "it takes two to tango", kwa nini yeye ahukumiwe peke yake tena kwa mambo yaliyopita? na yaliyofanywa na watu wawili? yote hayo wameyaacha nyuma kila mtu anaendelea kivyake,kuna ubaya gani huyu binti akija au Richard akienda Angola? kuwaona washabiki wake? hebu mwacheni binti wa watu jamani! mie nadhani Richsrd ndiye anayetakiwa kuweka zipu yake juu! na aendelee na mkewe! tusimuonee binti wa watu ana uhuru wa kualikwa na kila nchi inayomuhitaji.Tatiana feel at home karibu Tanzania.
ReplyDeleteMwacheni Bnti wa watu waingereza wanasema "it takes two to Tango" kwa nini mnamlaumu kwa makosa waliyofanya wawili? na yaliyopit? it's not fair yeye anaruhusuwa kuja TZ na Richard kwenda Angola au nchi yotote kuwaona mashabiki wake! mie nadhani ni jukumu la Richard kuweka zipu yake juu! na aendelee na mkewe,vinginevyo atakuwa amekusudia,mwacheni binti wa watu a enjoy trip yake hakumfuata richard! kafuata mashabiki wake.karibu nyumbani binti! Africa ni ya wote! na kwa uzuri ni mzuri! acheni wivu!
ReplyDeletewanaume bwana, sasa kaka Richard anatuthibitishia nini wanawake? yaani hata kujitokeza kumpokea mshiriki mwenzake! too bad!
ReplyDeleteby the way "who's Richard?Ana nini cha kuweza kuwa issue"?Si bora ya Chenge ana "vijisenti" at least tunaweza kumjadili hapa.
ReplyDeleteHeee hivi huyu dada kajikamilisha na nani yani anakuja kumuiba mume wa mtu nyumbani kwake kabisaaaaa. Anafa kupigwa mawe hadi kufwa.
ReplyDeleteWEEE Anony wa 23 April 1:09 'Gazeti' lote hilo la nini? Wewe ndio Publist Secretary wake? Au ndio unafukuzia tiketi ya bure kuingia kwenye hilo Onyesho lake? Yote hayo uliyosema sawa, lakini ndio iwe sababu ya watu kuacha shughuli zao na kwenda kumpokea kwa ngoma????????????? Hatuna kazi?? Yaani sisi kila anayekuja anastahili kupokewa kwa ngoma?? Basi hata mshindi wa pili wa BB,Jamani?? Tuacheni Ulimbukeni Jamani, tufanye kazi!
ReplyDeleteLeo asubuhi nimemsikiliza huyu shemeji Tati kwenye TBC Televisheni anadai walikubaliana na Rich wagawane nusu kwa nusu kama mmjowapo angeshinda shindo lakini cha kushangaza mwenzake kamgeuka alipofika TZ akaulizwa je kama yeye angeshinda angempatia Rich nusu akasisitiza kuwa lazima angempa nusu anadai mwenzake hakumfanyia fair kwani hata walipokaribishwa Nigeria tena wakiwa studio moja wanahojiwa Rich alimkimbia.
ReplyDeleteTafadhali Rich jitokeze umuone mtu pekee aliyekupigania na kuipigania nchi yetu kama tulivyomuona akivaa bendera yetu ya TZ muda wote.
Kila mtu Tatiana, Tatiana wakati demu mzuri ni Victoria Martin!
ReplyDeleteExcellent Anon 7:28pm.....una macho kama yangu. Mimi macho yangu kwa Victoria Martin!! Demu amesimama sio mchezo :)
ReplyDeleteAnon wa April 23, 2008 4:57 PM unayeshangaa mapokezi ya ngoma naomba nikutaarifu kuwa hayo ni mambo ya fedha tu.
ReplyDeleteHata wewe ingawa you are a nobody ukihitaji kupokelewa kwa ngoma fadha yako tu. Kuna vikundi kibao vya ngoma vinatafuta tenda.
ANONYMOUS WA 1:09 hapo juu sisi vijana wa Tanzania kwa common sense yako Tatiana ndiye wakutupa solidarity??????
ReplyDeleteThen umetumia muda mwingi kuandika .......kielimu chako ninakufanya unaelekea Hovyo kabisa.
Umeona huyo anastahili kutuunganisha African youths....??Huna msaada wewe!!